Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii site yako inaconvert register ton into TEU. Mimi nazungumza kuhusu metric ton. Kuna tofauti kubwa kati ya register ton na metric ton. Soma hapa.

Mimi nataka uconvert 1 TEU into metric ton sio register ton.
hapo kwenye TEU ingiza value utapata tons!
 
Egypt ni balaa, overated Nigeria has nothing to be compared to any of these two Big economies SA and Egypt.. 🤣🤣, hili suala la GDP huu ni ushenzi tu wa mzungu but yo.!! Egypt and SA ni moto wa kuotea mbali heb ona Egypt iyo 👇. Alafu hawa jamaa wako na miji mipya kama minne hiv underway
 
But i see westland there 😂😂😂 i see upper hill also and CBD as well

Kwani ulikua unajaribu kusema nn??😂😂
You can even see Hong Kong through these pictures if you like, nobody is gonna block you from seeing it.

11703855_elsnfaux0aavu8w_jpeg8bca2a56bf4f284b71c368599aa37a23.jpg
EQVvMvEW4AAX0J3.jpg
chaka-place-015-800x0-c-center.jpg
tapatalk_1542319044907.jpeg
segunfagbami_20200121_32.jpg
 
Egypt ni balaa, overated Nigeria has nothing to be compared to any of these two Big economies SA and Egypt.. [emoji1787][emoji1787], hili suala la GDP huu ni ushenzi tu wa mzungu but yo.!! Egypt and SA ni moto wa kuotea mbali heb ona Egypt iyo [emoji116]. Alafu hawa jamaa wako na miji mipya kama minne hiv underway
Hawa Egyptians sio wapole kabisa,hii kitu wanajenga itakuja outshines miji mingi sana ionekane takataka...
Nigeria wana gdp kubwa shida hawana vitu vya kutisha ssna kwa ground
 
naomba unapo angalia gdp, pia compare na idadi ya watu, sasa sisi ni 47m kwa gdp $114b na ilhali nyinyi 62m kwa gdp $67b. south africa 60m kwa gdp kubwa $418b,

whereas nigeria 230m kwa gdp kubwa sana$498b for nothing! ni bonge la ushuzi wa mayai+mandondo💨💨
 
Wale majinias na wabunifu hatari katika tehama kutoka kunyaland mko wapi. Mbona mnalia lia humu.....mkiambiwa hamna kitu mnaona tunawasimanga.

Tena ni gazeti la kwenu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The whole fyatu city's totality doesn't have the money value of this single industry in Dodoma, kama unabisha sema


Ujinga peleka mbali, mnajiliwaza sana na hamna kitu, weka hapa list ya all business investments in Dodoma vumbi town tokea muibatize 'capital city', Tatu city ya 10 years has over 70 companies already! where most are up and running,., yaani Tatu city ni ndogo but economic output yake inaenda kukua balaa, the reason it's an economic zone with an industrial park.., Dodoma ni town tu kama zingine., more of an administrative center than economic. Tanzania hakuna equivalent ya Tatu City, hilo liko wazi, Dodoma sio ya Kulinganisha na Tatu, jaribu Thika tuone, bado italambishwa sakafu by Thika economically 😂😂😂kalilieni kwa choo., Kule Mombasa Special Economic Zones are loading..., Stay tuned, mtalia sana, anzeni kukusanya picha za historia za takataka na akina Kibera mjikinge nazo maana mtaumia zaidi😜😜😂😂😂😂😂😂
 
Kwanza tatu ni white elephant 😂😂 project ina zaidi ya miaka 10 hata asilimia 1 hawajamaliza alaf kingine huyo invester kaona hakuna kitu hapo ndio maana anasua
Uliongea kwa maumivu sana, ilibidi u guess tu la kusema, angalau tu😜😂😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania yote hakuna equivalent ya Tatu., poleni, sio kwa kupenda kwangu, zoea 😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakenya bhana wakiachwa kidogo wajifurahishe kwenye hii thread wanaongea, wanatamba mpaka wanavuka mipaka, kuna chizi moja nimesoma post yake likiilinganisha Dodoma new City with the so called tatu city 🤣🤣🤣
Pole ukweli inakuachaga hoi Kisha maumivu, zoea😅😅😂😂😂😂.,
 
Back
Top Bottom