Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiisha itanoga sana, wapi green pork ya naipori? 😁😁😁😁

images - 2022-07-24T183141.226.jpeg
 
Ujinga peleka mbali, mnajiliwaza sana na hamna kitu, weka hapa list ya all business investments in Dodoma vumbi town tokea muibatize 'capital city', Tatu city ya 10 years has over 70 companies already! where most are up and running,., yaani Tatu city ni ndogo but economic output yake inaenda kukua balaa, the reason it's an economic zone with an industrial park.., Dodoma ni town tu kama zingine., more of an administrative center than economic. Tanzania hakuna equivalent ya Tatu City, hilo liko wazi, Dodoma sio ya Kulinganisha na Tatu, jaribu Thika tuone, bado italambishwa sakafu by Thika economically 😂😂😂kalilieni kwa choo., Kule Mombasa Special Economic Zones are loading..., Stay tuned, mtalia sana, anzeni kukusanya picha za historian za takataka na akina Kibera mjikinge nazo maana mtaumia zaidi😜😜😂😂😂😂😂😂
Sasa fyatu city ni county au estate? 😁😁😁
 
naomba unapo angalia gdp, pia compare na idadi ya watu, sasa sisi ni 47m kwa gdp kubwa na ilhali nyinyi 62m kwa gdp ndogo. south africa 60m kwa gdp kubwa sana, whereas nigeria 230m kwa gdp kubwa sana for nothing! ni mashuzi mayai+mandondo[emoji100][emoji100]
Mko milioni 60+ census ijayo mtakuwa mshagonga milioni 65+.
 
Wale majinias na wabunifu hatari katika tehama kutoka kunyaland mko wapi. Mbona mnalia lia humu.....mkiambiwa hamna kitu mnaona tunawasimanga.

Tena ni gazeti la kwenu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I was hoping the article would clearly rank tanzanians ahead of kenya but wapi? Bring tanzania innovative companies then we will respond with ours
 
Uliongea kwa maumivu sana, ilibidi u guess tu la kusema, angalau tu😜😂😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania yote hakuna equivalent ya Tatu., poleni, sio kwa kupenda kwangu, zoea 😂😂😂😂😂😂😂
Mm tatu nimeisikia toka niko o level mpaka leo na sio kitu imefanyika 😂😂😂 zaidi ya white elephant











 
Back
Top Bottom