Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni total goods handled by Tanzanian ports kwa mwaka! Port sio tatizo, soko ni ndogo ata mkipanua ports, uwezo wa nchi ni mdogo, nchi zilizo wazunguka hazina economic muscles to import/export zaidi pia.., ndio maana SGR itakua white elephant kwa miaka kadhaa..,
Total goods ni 18 million mzee i think haujasoma vizuri
 
6

6 million tonnes zinaenda kwa majirani wa danganyika the rest mzigo unabaki Dar-is-a-scam, half ya 6m zinaenda Zambia&DRC ambako SGR haipiti hio route. 3m tonnes ya Rwanda na Burundi haitoshi kujengea sgr
ITS A WHITE ELEPHANT!!!
Kama Burundi na DRC wako tayari kuchangia tatito nn mkunya?

FYI Tanzania plans another link from Tanga-Mara region and thereafter across Lake Victoria to Port Bell!
 
Bado wanashindana tu 😂😂😂

C7C0508B-33B7-4E90-B377-4C361AB85F6B.jpeg
 
Ina maana SGR yenu ya cargo itakua ni white elephant kabla haijaanza kazi, eti 6.3 million tonnes kwa mwaka! alafu The best 007 aseme mko na GDP ya $150B, 😂 😂 😂 😂
Kenya ilipitisha mizigo 34.13 million tonnes na hiyo ni below the target of 35.90 million tonnes, yaani biashara ilikua chini., nchi ya GDP🔥🔥🔥
View attachment 2300878
Hii 34 whatever tons ni in transit? Sababu sidhani kama transit cargo ya Mombasa inafika 1 million tons
 
Hiii ndio kitu am too eager kuona, hiii rail ni a big white elephant, mybe kama dar ingekuwa Dodoma ama mwanza
Majirani zao ni maskini hakuna mzigo wa maana unaenda huko!
Unafikiri itakua white elephant kama Lapsset? 😁😁😁
 
Mbona sioni value investements bana, am just seeing govt offices na a few infrastructures na ma hoteli.., ziko wapi companies and other businesses zinazo set up in Dodoma kama vile Tatu city? yaani 10 years pekee kwa sasa Tatu City has over 70 companies na bado more are jostling for space., get serious mzee., Dodoma ni town tu.., economic value yake ni gani?
View attachment 2301023
View attachment 2301006
View attachment 2301008
View attachment 2301017
View attachment 2301018
View attachment 2301022
The whole fyatu city's totality doesn't have the money value of this single industry in Dodoma, kama unabisha sema

 
Wanadhani watatengeneza millions of dollars mwaka wa kwanza ndio wabreak even na watengeneze faida 😂😂😂😂
SGR ya Tanzania itakua white elephant tuu it's a matter of timeView attachment 2301027
Kwenye 1.3 ukitoa operating costs 800m unabaki na 500m ambayo bado hamjalipa deni la 4$ billion la milele 😅😅😅😅😅 hiyo profit unayoiongelea umeichomoa matakoni kwako?
 
6

6 million tonnes zinaenda kwa majirani wa danganyika the rest mzigo unabaki Dar-is-a-scam, half ya 6m zinaenda Zambia&DRC ambako SGR haipiti hio route. 3m tonnes ya Rwanda na Burundi haitoshi kujengea sgr
ITS A WHITE ELEPHANT!!!
Mkunya sgr yetu inaelekea kwa mganda na Northern DRC and sudan kwa wanaowapa jeuri, yaani inafata masoko mapya 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom