chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,692
- 45,963
Mganda tumemtia kibindoni
The whole fyatu city's totality doesn't have the money value of this single industry in Dodoma, kama unabisha sema
Tembo mweupe ni Sgr yenu ambayo haina mizigo ya kutosha sahivi ndo mnahangaika kutafuta masoko. Aisee msiwe mnaiga kila kitu tunafanya manake hatutoshani 😁😁Kwann munaumia sana wakenya kias kwamba sasa munafananis white elephant project yenu ya yetu 😂😂😂
Cha kushangaza leo munafananisha reli ya mkandarasi inayofanya majaribio na yenu 😃😃😃😃
Hamna tatizo tutagawana hasara na DRC na Burundi!Tembo mweupe ni Sgr yenu ambayo haina mizigo ya kutosha sahivi ndo mnahangaika kutafuta masoko. Aisee msiwe mnaiga kila kitu tunafanya manake hatutoshani 😁😁
Haina mzigo wa kutosha vp wakati hata kazi haijaanza rasmi tayar mushajinyea 😂😂Tembo mweupe ni Sgr yenu ambayo haina mizigo ya kutosha sahivi ndo mnahangaika kutafuta masoko. Aisee msiwe mnaiga kila kitu tunafanya manake hatutoshani 😁😁
Hasara mtaipata wenyewe manake hizo nchi mbili hazina uwezo na nia ya kujenga Sgr.Hamna tatizo tutagawana hasara na DRC na Burundi!
Haina mzigo wa kutosha vp wakati hata kazi haijaanza rasmi tayar mushajinyea 😂😂
View attachment 2301311
Mwendo wa silencia, Mkunya ukishtuka construction ime-kickstart!Hasara mtaipata wenyewe manake hizo nchi mbili hazina uwezo na nia ya kujenga Sgr.
Nimecheka sanaWakenya bhana wakiachwa kidogo wajifurahishe kwenye hii thread wanaongea, wanatamba mpaka wanavuka mipaka, kuna chizi moja nimesoma post yake likiilinganisha Dodoma new City with the so called tatu city [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Hamna tatizo tutagawana hasara na DRC na Burundi!
Kikubwa nashangaa wanafananisha plot ya beberu mmoja (fyatu city) na mkoa mzima wenye serikali, hapo ndio unapoona Wakunya njaa imetafuna ubongo 😅😅😅Kwanza tatu ni white elephant 😂😂 project ina zaidi ya miaka 10 hata asilimia 1 hawajamaliza alaf kingine huyo invester kaona hakuna kitu hapo ndio maana anasuasua
Maendeleo yanaendelea nyingine yamekamilika na mengine yanaingia na serikali ijayo ni muda mchache sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani gavoo ya wakunya wasi outsource contract za garbage collection , wawape kampuni zifanye hiyo kazi pia itakua source of income. Maana hata youtuber wa kikunya uwa wanasema mara Zanzibar na dar ni kusafi kuliko kwao . Ndio maana wakunya cholera uwa haipotei mara kwa maraKwani ni ngumu kiasi gani kufanya usafi? Huko hakuna wakuu wa mikoa, wilaya, halmashauri? Dah...
Ati huo uwanja ni 40,000 seats? Hata 15,000 haufiki!alafu kisha utammskia mchizi flani anaitwa the best007 aki dai eti "tz ina $150b gdp na ndo inajenga miradi mikubwa zaidi east and central africa!".
and yet our national budget for infrastructure 2022-23 financial year quadruples×4! that of tanzania!
kenya.... nchi ya gdp
View attachment 2301492View attachment 2301495View attachment 2301496
Vile kenya hukunyima usingizi[emoji1787][emoji1787]Hii reli yetu mbona inawanyima usingizi kwann??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]