Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ilikua ready kutoka , na yeah najua e class ni ya kawaida sijasema Wana Hela nyingi nimesema the estates are well managed. that is inside the estate, hata Barbara ni estate road tu Kuna close to 596 units hapo na ni gated community..
596 units nani kasema? 🤔
 
Lagos gdp yake pia ni kubwa kuliko tanzania nzima kwahio point yako ni null unless unaamini lagos imeendelea kuliko tanzania. Alafu two rivers hapo SA ni hakika inaingia top 10, nevertheless joburg iko juu.
Two river haiingii top 50 zao jaribu basi uone
 
Tuongee kwa fact Nairobi au mombasa ina nini ambazo dar hakuna? Lakini nakuhakikishia Nairobi au Mombasa ni levels za Kampala sio dar huo ndio ukweli ata wakenya wenzio wanajua hilo kwa sasa.....Dar ina vingi ambavyo Nairobi au kenya in general havina

Dar slum kuna deep sea port kama Mombasa.

Dar slum kuna ship building industry.


Dar slum kuna refinery.

Dar slum kuna oil jetty inayoweza hudumia meli mbili kwa mpigo.

Dar slum kuna water front park.

Dar slum kuna cruise ship terminal.

Dar slum kuna world heritage site.

Uwanja ni wako😎
 
Dar bado ndio mji pekee Tz unaoweza kuwapa yumbo joto,Imagine Kampala ama Addis?Addis bado sana
Ila Addis Ababa imeshinda Dar kwa aesthetics, looks more developed, check it out kwa youtube or google..,
1657884776514.png

1657884577762.png

1657884442973.png

1657884497894.png

1657884800450.png
 
Apo unacompare size ama urembo? Mana niwe tu muwazi iyi mombasa terminus ni hewa
Patriotism on display.., ukitaka uwazi, to avoid bias, ask a Ugandan, Nigerian, South African etc, sio mkenya wala mtanzania
 
Ila Addis Ababa imeshinda Dar kwa aesthetics, looks more developed, check it out kwa youtube or google..,
View attachment 2291453
View attachment 2291452
View attachment 2291448
View attachment 2291449
View attachment 2291454
Haireflect maisha halisi ya muethiopia wa chini sababu tusingekua tunawakamata in hundreds each day wakitorokea South Africa, ni kama ninyi tu, mna expressway ya mchina na GTC yake lakini wengi wenu mnatorokea gulf kutokana na ugumu wa maisha

 
Wewe tembea kwanza ujionee tofauti ya nchi zingine, ninakuhakikishia, Nairobi haigusi kwa Luanda, Wala Maputo. Tatizo wakenya mnajikweza bila sababu za msingi.

Luanda ni moto wa kuotea mbali, hakuna Jiji lolote East & Central Africa linaloweza kulinganisha na Luanda, hata Nairobi + Dar kwa pamoja zinaweza kushindwa na Luanda, eti unataka kuchokoza majiji ya South Afrika ulinganishe na huo uchafu wa Nairobi, ninyi wakenya huwa hamna akili.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eti Luanda, nilijua nyie ni watu wa aesthetics tu.., sasa ukiona Harare je? si utapata orgasm kilaza😂 😂 😂 😂 😂
Harare
1657885672748.png

1657885613225.png

1657885622815.png
 
Haireflect maisha halisi ya muethiopia wa chini sababu tusingekua tunawakamata in hundreds each day wakitorokea South Africa, ni kama ninyi tu, mna expressway ya mchina na GTC yake lakini wengi wenu mnatorokea gulf kutokana na ugumu wa maisha


They run mostly due to political oppression., usijitekenye kilaza., Addis is far better than Dar.,
 
Siku nikiamka na Mood ntakuonyesha mahali naishi, kama hizi ndio mambo mnaona za kijanja basi nasmell umaskini mbaya sana mbele yenu
Hizi nyumba sio za umaskini. Wewe leta yako tuone. Lakini hizo nyumba ni very decent na za kiheshima.
 
Back
Top Bottom