Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara ya kutoka pretoria kwenda Jozi 8lanes ndio the busiest in Africa yanapita magari Gari laki 3 kwa siku ,Hamna kitu hata kimoja mtawazidiView attachment 2291959View attachment 2291960View attachment 2291961
yani hii stretch inanikumbusha sana ile day nilikua nna karibia kisumu city 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20220715-223854_Chrome.jpg
Screenshot_20220715-224020_Gallery.jpg
Screenshot_20220715-224103_Gallery.jpg
 
Sasa hapo kubwa ni lipi kaka, ni 8 lanes ama? kama 8 lanes ni ndogo sana na population za kwenye miji zinakua sana sio less than 15yrs tutakuwa hapo.
Wamepave 158,000km wakati Tz tumepave 14,000km inachezea hapo hata kenya wanadai wamepave 21,000km bado ni tunachekesha
Screenshot_20220715-225810_Samsung%20Internet.jpg
 
Back
Top Bottom