Metropolisbongo
![]()
kila niikiitazama hii picha,najihisi kujaa furaha na amani tele rohoni mwangu.
i love you so much dar es salaam.
salute to the photographer behind it.
![]()
damn, this place looks like californiadar es salaam
huwa nikisoma comments zako nakuona ni kama una mtindio wa ubongo vile..sio bure.na comment kama hii ndio inahakikisha hiloSimunamsikia huyu jamani kenya imeachwa na wakoloni ikiwa na maendeleo leo unatuambia mambo ya kibaki
Hebu try to be serious😀😀😀😀😀😀
utakufa kwa wivu na hasira....hasira ikikuzidi panda juu ya kicc then jiachie mpaka chini nitakuja kukudaka.sasa hapa ni nini inakufurahisha?

Acha matusi wewe. Ni mwanza city sio mwanza townin mwanza town nilikutana na wengi....
Pendeza sanaa.Nyerere road with industrial area near the Airport: note Industrial area along Nyerere roads starts from Kamata in Gerezani Kariakoo.
![]()
Thank you Bro, 😎😎😎kila niikiitazama hii picha,najihisi kujaa furaha na amani tele rohoni mwangu.
i love you so much dar es salaam.
salute to the photographer behind it.
![]()
kabisa.....unaingia hotel na unamwambia waiter leta food..si unalipia, kwani anakupea bure ndio uombe?akichelewa una enda hotel ingine na ye mwenyewe ata understand sio makosa yako.ni yakenaomba haiwesmek hapa Kenya. ......leta food within 2 minutes ama tukuwachie hiyo food yako.ama vipi fellow Kenyans. ..
in Kenya we call each other "boss" ama "mzito" as a sign of mutual respect and that's as far as it goes.
you can just say "boss hebu leta chap chap".....
Shida sio kuchelewesha, wahudumu wa hapa hawacheleweshi hata kidogo, labda kile unachokuta kinapikwa kwa mahitaji maalum (mnaita order) hapo atakuomba usubiri kwa mda kitakaokuwa tayari!kabisa.....unaingia hotel na unamwambia waiter leta food..si unalipia, kwani anakupea bure ndio uombe?akichelewa una enda hotel ingine na ye mwenyewe ata understand sio makosa yako.ni yake
you deserve my salute bro....you nailed it to the cross...keep up the good work.cheers.Thank you Bro, 😎😎😎
weekend mood:
my playlist, strictly bongofleva.
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]
[/URL]

Kulingana na maelezo yako nafkiri kenya ingekua zaidi ya south africa lakin nachoskitika baadhi ya maelezo yako naona yamebakia kama ndoto za alinacha 😛😛😛moi alijua kuunganisha nchi na kufanya maisha kuwa rahisi lakini maendeleo yake ndani ya 24 years was so minimal. Kibaki aliingia na kufanya maendeleo makubwa sana kwa mabarabara,elimu ,airport expansions and development na port expansion. Of course with the help of Raila.
Hata slum upgrading program ilianza kutekelezwa.Uhuruto wameendeleza kazi hiyo na bado itaendelezwa as per the vision 2030 blue print that must be implemented by any incoming government
Tena ni miaka michache sana na bado kaa mkao wa kula😀😀😀😀😀😀😀😀😀Yani you have waited for 10 years kurevenge?😀😀😀