LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Kiswahili cha Bongo ni rahisi kuelewa. Lakini the word kuambuliagi ni jipya kwangu.Sasa lini ironic language na euphemisms zikawa kwenye formal language? That's normal to any language to have such behaviors tena kiswahili cha kibongo ndio hamuambuliagi neno hata moja nimeshafanya research kwenu wakenya.
Nikileta wimbo wa zigo (AY) na Muziki (Darasa) hakuna mkenya hata mmoja ataweza kunitafsiria yale maneno zaidi ya machache ya English