Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Congrats mmejenga. Inaonekana in the 90s na 00s mlikuwa mnachezea michezo yenu kwenye open fields. For now our stadia serve the purpose
ndio maana nilikwambia tanzania imeanza kujengeka for only 10 yrs sijui unaelewa my point😀😀😀
stadium za kitambo zipo na zinafanya kazi mpaka kesho zingine zimefanyiwa renovations
 
ndio maana nilikwambia tanzania imeanza kujengeka for only 10 yrs sijui unaelewa my point😀😀😀
stadium za kitambo zipo na zinafanya kazi mpaka kesho zingine zimefanyiwa renovations
10 years si ya kufanya upige kifua sana hapa🙄🙄. Actually I wish you well. Sina beef na Tanzania, nyinyi ndio mna kauchungu fulai sijui mlitoa wapi. Badala ya positivity ya EA unafocus sana na negativity.
 
Last time I said, You guys are living in your own world,
Just imegine these Things are in Dodoma, forget Dar.
Chimwaga Conference Hall. Dodoma
View attachment 589336View attachment 589337View attachment 589338View attachment 589339View attachment 589340

And this one Dodoma Convention Center
View attachment 589343View attachment 589345

And there is one Dodoma international convention center u/c
Dodoma is your capital, is it not? and they look more like dining halls. Si kuhate btw
 
Talk of a vibrant real estate unparalleled in east and central Africa, hospitals, roads,airports, modernity, fashion,think tanks,FDI and R &D
Nairobi is up there by African standards
Lagos and Johannesburg made the list of the most beautiful cities in Africa for 2017, see the 11 other cities (photos)
Iyo list iko zigzag Africa nzima tunafaham uzuri wa asili wa mji wa cape town...nilitegemea iwe top hapo

Uzuri wa windhoek siioni kwenye list?

Harare kwa Mugabe? Sasa wanaweka hadi Lagos nayo ni beauty smh
 
bongo
dar-es-salaam-tanzania-04.jpg
Picha murua kabsa hii. ..
 
Do these guys know that Kenya started developing after the kibaki regime came in 2002......upper hill and westlands were non existent and our roads were pathetic. The kanu era is what every Kenyan wishes to forget
 
hahahah hebu nioneshe ya kenya ambayo ni modern naisubiri😀😀😀😀😀

Tuko na volleyball best in africa usisahau...
Rugby hockey atheletics pia ziko top....
Nyinyi hiyo modern moja imewaletea nini...
Modern bila talent ni upuzi
 
Do these guys know that Kenya started developing after the kibaki regime in 2002......upper hill and westlands were non existent and our roads were pathetic. The kanu era is what every Kenyan wishes to forget
He wasted 20 years of our history man, we should be having a 170 billion gdp or something
 
Iyo list iko zigzag Africa nzima tunafaham uzuri wa asili wa mji wa cape town...nilitegemea iwe top hapo

Uzuri wa windhoek siioni kwenye list?

Harare kwa Mugabe? Sasa wanaweka hadi Lagos nayo ni beauty smh
Harare may not have tall buildings but it is well developed. Back in the 70s, 80s na 90s.
 
Wachaga wamejaa nairobi na nakuru sana.

siku zote huwa nasema vijana wa kenya elimu yenu haijawasaidia kitu, kwasababu ujinga bado haujawatoka kichwani.

let me volunteer in giving you a short lecture.

sio jambo linalo hitaji mjadala kwa wachaga kupatikana nairobi.

ni kawaida kwa jamii zinazoishi jirani na mipaka ya nchi ku-interact au ku - intertrade pamoja.

nitakupa mifano hai:
watu wa mkoa wa mbeya wana interact/intertrade sana na watu wa nchi ya zambia na malawi kwa sababu mkoa wa mbeya umepakana na hizo nchi mbili kiasi cha kurahisisha maingiliano ya kiuchumi/kijamii na watu wa nchi hizo mbili.

watu wa mkoa wa mtwara wana interact/intertrade sana watu wa nchi ya mozambique kwasababu mkoa wa mtwara upo kusini mwa tanzania jirani na mpaka wa kuingia mozambique.

hata daraja la umoja lilijengwa kwa ushirikiano wa serikali ya tanzania na mozambique ili kurahusisha maingiliano ya kiuchumi/kijamii kwa watu wa nchi zote mbili.

watu wa mkoa wa kagera,wana interact/intertrade sana na watu nchi ya uganda,rwanda na burundi kwasababu mpaka ya mkoa wa kagera unapakana na nchi nilizo taja.

ukienda kigali au kampala utakuta kuna watanzania wengi tu walio wekeza katika miji hiyo.

sababu hizo hizo ndio zilizo sababisha wachaga kupatikana kwa wingi nairobi,watu wa mombasa kupatikana kwa wingi mkoa wa tanga na wajaruo wa migori kupatikana kwa wingi tarime,musoma na mkoa wa mwanza.
 
siku zote huwa nasema vijana wa kenya elimu yenu haijawasaidia kitu, kwasababu ujinga bado haujawatoka kichwani.

let me volunteer to give you a short lecture.

sio jambo la linalo hitaji mjadala kwa wachaga kupatikana nairobi.

ni kawaida kwa jamii zinazoishi jirani na mipaka ya nchi ku-interact au ku - intertrade pamoja.

nitakupa mifano hai:
watu wa mkoa wa mbeya wana interact/intertrade sana na watu wa nchi ya zambia na malawi kwa sababu mkoa wa mbeya umepakana na hizo nchi mbili kiasi cha kurahisisha maingiliano ya kiuchumi/kijamii na watu wa nchi hizo mbili.

watu wa mkoa wa mtwara wana interact/intertrade sana watu wa nchi ya mozambique kwasababu mkoa wa mtwara upo kusini mwa tanzania jirani na mpaka wa kuingia mozambique.

hata daraja la umoja lilijengwa kwa ushirikiano wa serikali ya tanzania na mozambique ili kurahusisha maingiliano ya kiuchumi/kijamii kwa watu wa nchi zote mbili.

watu wa mkoa wa kagera,wana interact/intertrade sana na watu nchi ya uganda,rwanda na burundi kwasababu mpaka ya mkoa wa kagera inapakana na nchi nilizo taja.

mkoa wa kagera kigali au kampala utakuta kuna watanzania wengi tu walio wekeza katika miji hiyo.

sababu hizo hizo ndio zilizo sababisha wachaga kupatikana kwa wingi nairobi,watu wa mombasa kupatikana kwa wingi mkoa wa tanga na wajaruo wa migori kupatikana kwa wingi tarime,musoma na mkoa wa mwanza.
summarise pliz.....
 
ni kweli,ila jambo la kushangaza,ni nairobi ndio inayotolewa jasho na dar licha ya kwamba ilitangulia katika maendeleo...leo hi ilitakiwa nairobi ishindane na miji kama johannesburg, capetown au cairo...lakini mpaka leo wakazi wa nairobi wanang'ang'ana kujibishana na wakazi wa dar.
 
Back
Top Bottom