El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Hakuna nchi inashindana na tanzania kwa kupeleka social services vijijini
Kwa heshima yako nimetii mkuuelimu ya wakenya bado haijawasaidia kuwaondoa katika kundi la watu wajinga....wasemehe tu comrade.

Surprised?i was surprised that mwanza had so many Luos. ....
it was so easy interacting
Mimi naenda huko karibia kila week, lakini it's hard to tell who is a luo n who is not!in mwanza town nilikutana na wengi....

Lete takwimu za kenya hapa tuonehiyo ni yako
Mimi naenda huko karibia kila week, lakini it's hard to tell who is a luo n who is not!
Wewe ulifanyaje mda mfupi huo ushawajua waluo wenzio? Au ukabila ushawaathiri mkifika mahala mnaanza kutafuta wa kabila lako kwanza![]()
![]()
![]()
Kwa heshima yako nimetii mkuu![]()
![]()
![]()
He he heeeee! You could have said you were Kenyan n closed the case! Bt you went to the heights of telling your tribe!Hahaha I wasn't speaking like a Tanzanian and they would ask me where I am from.
Kati ya vitu siwezi kuvumulia ni matusi! I'm grown up enough!Leo staki matusi. ......ni kujiandaa kwenda batani
Najua amekatsia but tu hope atatoa fom flane fyamSonko si amenichokesha vinoma,lakini kuna wasee wanamchocha ,,,sijabanbika na hio risto ,,,,,,saa kama wasee wa eastlando wabambukie hapo stadi ,,,itakuaje? tena ndio uchape route 11 hadi tao?.
usisahau ku-share photos kuonyesha atmosphere ya batani.Leo staki matusi. ......ni kujiandaa kwenda batani
Mvivumtu kutoka taifa la uhaba wa sembe, punguza porojo.![]()
![]()
![]()
wavivu tunalisha kenya....au umesahau kuwa tuliwahi kuwauzia mahindi kwa bei nafuu?.Mvivu
hii ni lugha ya kabila gani huko kenya?....au ndio ile lugha ya wakora wakora wa nairobi?.Najua amekatsia but tu hope atatoa fom flane fyam
kadoda na ichoboy wasup my niggas...😀😀😀i come in peace...twende kazi!! battle it up! but naona mmeshanza kukubali kuwa dar haiko level ya nai...i see we are making progress