Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,179
- 4,248
Nisaidie ambayo mmejenga modern kutokana na vipaji mlivyo navyoHadi stadium mko nayo moja modern but no talent....shame!
Nisaidie ambayo mmejenga modern kutokana na vipaji mlivyo navyoHadi stadium mko nayo moja modern but no talent....shame!
Mzee rural area ya tanzania iko vizuri sana, huwezi kulinganisha na kenya hata siku moja!Enda rural areas Tanzania utawaona. Najua hujawai toka Dar
Ati nini? Kwamba hatukuwa na viwanja? Hata Google tu umeshindwa kwenda kuona viwanja vya tz?ndio maana nilikwambia tanzania imeanza kujengeka for only 10 yrs sijui unaelewa my point😀😀😀
stadium za kitambo zipo na zinafanya kazi mpaka kesho zingine zimefanyiwa renovations
Manze hio risto ni noma jo, though pia inaeza chatisha stori ya BRT au LRT ju sa lazima kuwe na plan B, kubebesha wadhii CBD.
So Kwangu hio fom ya Sonko ni chwani chwani... Kwa
Arif wetu madere of course zae... Acha tuskize kina Kimutai (matatu association) watadaishaje
elimu ya wakenya bado haijawasaidia kuwaondoa katika kundi la watu wajinga....wasemehe tu comrade.Itakosaje kazi wakati serikali inahamia dodoma?
10 yrs ya maendeleo tanzania ila moto wake mumeuona ulivo hakuna mtu anabif na nyie ila mlikua na kejeli matusi kuwatukana watanzania sasa tukaneni tuskie kama nyie wanaume kweli😀😀😀😀😀😀😀😀10 years si ya kufanya upige kifua sana hapa🙄🙄. Actually I wish you well. Sina beef na Tanzania, nyinyi ndio mna kauchungu fulai sijui mlitoa wapi. Badala ya positivity ya EA unafocus sana na negativity.
it feels good to see kenyatta is copying magufuli's type of administration.
hope kenyans will conform to the order.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:tanzania is the first country in EA to pioneer this style.
Simunamsikia huyu jamani kenya imeachwa na wakoloni ikiwa na maendeleo leo unatuambia mambo ya kibakiDo these guys know that Kenya started developing after the kibaki regime came in 2002......upper hill and westlands were non existent and our roads were pathetic. The kanu era is what every Kenyan wishes to forget
Nilitegemea kuona modern stadium lakini naona umetoka mswaki😀😀😀😀😀😀😀😀😀Tuko na volleyball best in africa usisahau...
Rugby hockey atheletics pia ziko top....
Nyinyi hiyo modern moja imewaletea nini...
Modern bila talent ni upuzi
10 yrs ya maendeleo tanzania ila moto wake mumeuona ulivo hakuna mtu anabif na nyie ila mlikua na kejeli matusi kuwatukana watanzania sasa tukaneni tuskie kama nyie wanaume kweli😀😀😀😀😀😀😀😀
Tarime not mwanza😀😀😀😀😀i was surprised that mwanza had so many Luos. ....
it was so easy interacting
Hakuna nchi inashindana na tanzania kwa kupeleka social services vijijinimmeendelea kweli tanga na moshi balaa aisee. .....Hahaha. Kenya has moved powers and resources from the capital to the grassroots and serious counties have recorded very positive changes
ni magufuli ndio kafanya hiyo style iwe maarufu...hakuna anayejua kama kagame aliwahi tumia hiyo mbinu.kagame too has had that pragmatism for long. ...that why Rwanda has really put its big east African brothers to shame in governance
asante sana msee...umeelewa vizuri point yangu niliyomweleza yule kijana.i was surprised that mwanza had so many Luos. ....
it was so easy interacting
Simunamsikia huyu jamani kenya imeachwa na wakoloni ikiwa na maendeleo leo unatuambia mambo ya kibaki
Hebu try to be serious😀😀😀😀😀😀
moi alijua kuunganisha nchi na kufanya maisha kuwa rahisi lakini maendeleo yake ndani ya 24 years was so minimal. Kibaki aliingia na kufanya maendeleo makubwa sana kwa mabarabara,elimu ,airport expansions and development na port expansion. Of course with the help of Raila.
Hata slum upgrading program ilianza kutekelezwa.Uhuruto wameendeleza kazi hiyo na bado itaendelezwa as per the vision 2030 blue print that must be implemented by any incoming government

Key:Must be implemented by any incoming government.moi alijua kuunganisha nchi na kufanya maisha kuwa rahisi lakini maendeleo yake ndani ya 24 years was so minimal. Kibaki aliingia na kufanya maendeleo makubwa sana kwa mabarabara,elimu ,airport expansions and development na port expansion. Of course with the help of Raila.
Hata slum upgrading program ilianza kutekelezwa.Uhuruto wameendeleza kazi hiyo na bado itaendelezwa as per the vision 2030 blue print that must be implemented by any incoming government
Yani you have waited for 10 years kurevenge?😀😀😀10 yrs ya maendeleo tanzania ila moto wake mumeuona ulivo hakuna mtu anabif na nyie ila mlikua na kejeli matusi kuwatukana watanzania sasa tukaneni tuskie kama nyie wanaume kweli😀😀😀😀😀😀😀😀