7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Nimekuelewa mkuu!hapana, kuna issues mbili;
Tank na Tanker ni vitu viwili tofauti! Tanker linaweza kuwa truck au aircraft au marine vessel! Tank ni stationery container!
- Tank la freshwater slums za Nairobi
- Oil tanker lililopinduka Thika Superhigway na kugonga BRT sasa kuna Mkunya kajitamba jinsi Zimamoto walivyoingilia kati kuzuia Mungiki kuchota mafuta!


