Ile ya Morogoro unamaanisha?Hio picha ya mwisho ni ule mkasa wenu ambapo watu 80 walikufa.
Sio lazima nifike Dar ili nijuwe kwamba Nairobi imeishinda.Hahahaha, ukiona unaanza kujenga hoja na kujikweza, ujue ndio mwanzo wa mwisho wako. Sasa hata wakenya wenzenu wanapokuja Tanzania wengi wanakubali kwamba Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla ni "better' kuliko Kenya/Nairobi na sio Kama walivyokua wakiamini kabla ya kufika Tanzania, wewe ambaye bado hujafika Tanzania bado upo na mawazo ya kizamani Kama wakenya wengi mlivyo, ngoja kwanza ufike Dar.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hio ni street ndani ya gated estate sio bara bara.wanaishi na adabu na hiyo E class ime-park barabarani? E class mbona Mercedes ya kawada?
Wewe ni wazimu. Maputo ni kama choo kwa Nairobi.Wewe tembea kwanza ujionee tofauti ya nchi zingine, ninakuhakikishia, Nairobi haigusi kwa Luanda, Wala Maputo. Tatizo wakenya mnajikweza bila sababu za msingi.
Luanda ni moto wa kuotea mbali, hakuna Jiji lolote East & Central Africa linaloweza kulinganisha na Luanda, hata Nairobi + Dar kwa pamoja zinaweza kushindwa na Luanda, eti unataka kuchokoza majiji ya South Afrika ulinganishe na huo uchafu wa Nairobi, ninyi wakenya huwa hamna akili.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio slowpoke.Ile ya Morogoro unamaanisha?
Mhhhm! Amesema ni tukio la mkasa uliotokea kwetu??nawe... wacha kuchanganya madesa anaongelea tank hapo Kangemi/Pipeline slum wewe unaongelea "tanker" the truck that overturned!



Saana tu hapa Bongo.wanaishi na adabu na hiyo E class ime-park barabarani? E class mbona Mercedes ya kawada?
Hapo sio barabarani unavyofikiria wewe. Najua nyie Watanzania huwa mkiona lami mnafikiri kwamba hapo ni highway. Hii ni barabara ya cabro works ambayo ipo ndani ya Estate ya mabwenyenye. Kuna Estates nyingi ambazo zina lami hata ndani ya estate.wanaishi na adabu na hiyo E class ime-park barabarani? E class mbona Mercedes ya kawada?
Hiyo ilikua ready kutoka , na yeah najua e class ni ya kawaida sijasema Wana Hela nyingi nimesema the estates are well managed. that is inside the estate, hata Barbara ni estate road tu Kuna close to 596 units hapo na ni gated community..wanaishi na adabu na hiyo E class ime-park barabarani? E class mbona Mercedes ya kawada?
Wewe kwa vile umeona dar haitoshi kwa luanda na maputo sasa unafosi tufanane sio.Wewe tembea kwanza ujionee tofauti ya nchi zingine, ninakuhakikishia, Nairobi haigusi kwa Luanda, Wala Maputo. Tatizo wakenya mnajikweza bila sababu za msingi.
Luanda ni moto wa kuotea mbali, hakuna Jiji lolote East & Central Africa linaloweza kulinganisha na Luanda, hata Nairobi + Dar kwa pamoja zinaweza kushindwa na Luanda, eti unataka kuchokoza majiji ya South Afrika ulinganishe na huo uchafu wa Nairobi, ninyi wakenya huwa hamna akili.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizi really technology yake si ya bullet train hata...Subiria bullets trains zinakuja, punguza wivu kidogo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
hapana, kuna issues mbili;Mhhhm! Amesema ni tukio la mkasa uliotokea kwetu??
Au nami nimejichanganya kama lile la mzungu kwenye chumba mtihani UD ,alivyopewa desa akajua ni kawaida, badala afiche eti anauliza desa la nani hili?(lafudhi ya mzungu).Walikula kichwa![]()
True that.mbona minaona kanakwamba pretoria ni kamji kadogo sana. eti sasa unataka ikatoane mabavu na kanairo...... 🤔🤔🤔
japo iko well organised, hapo sikatai
View attachment 2291351
By the way hio ni estate umepost inaitwaje? Ambia Watanzania wapost estates zao utacheka. Kuna zile estates za Dodoma huwa wanapost, yaani ni vumbi tupu. Hakuna lami hata mita moja kwenye estates zao.Hiyo ilikua ready kutoka , na yeah najua e class ni ya kawaida sijasema Wana Hela nyingi nimesema the estates are well managed. that is inside the estate, hata Barbara ni estate road tu Kuna close to 596 units hapo na ni gated community..
Halafu wewe kwenye somo la economics naona ungepita. Kuna mahali pa kujieleza. Unapewa nafasi unaandika story kama hii unajieleza kwa maoni yako. Hii ni masters research project ya economics. Unaweza kufanya utafiti kitaalam kabisa na kucollect data mashambani na kuonyesha kwamba watu wanaoishi mashambani wanakula vizuri na hawalipi rent hivyo kutumia kigezo cha poverty line kwao ni makosa. Bora una data basi hii idea inakubalika. Ila watu wa mjini bado lazima tuendelee kutumia kigezo cha kiwango cha mapato chao.Kwanza majority ya wale wanaokuwa classified kuwa wanaishi in poverty wengi wao wako vijijini.
Pili definition ya living below poverty line ni nini? Does it pertains to a certain level income or expenses at a given timeframe?
If you count on expenses as it is usually calculated; a total cost of all the essential resources that an average human adult consumes in one year, the largest of these being rent required for accommodation. Sasa rudi kwenye African context majority of people earmarked living in poverty are found in rural areas sasa niambie wanao rent houses kijijini ni percent ngapi ya rural population?
Rent huku Africa and at most Tanzania iko applicable mijini to a great extent vijijini watu wana nyumba zao hata kama za udongo accommodation kwao is out of the equation.
Kwahiyo you can see hawa wazungu wanatuletea factors ambazo ziko associated na mazingira yao na kutaka ku apply hata huku kwetu kitu ambacho sio sahihi. Mfano mzuri ni zile prescriptions za IMF na WB in the 80s zilivyoturudisha nyuma simply because they were not compatible to African social and economic environment.
Lastly, utaona in rural areas watu wanakula organic foods that are expensive in first world countries, pia sijaona watu wakitembea uchi vijijini kama nguo ni shida.
We Africans need to have our own version of indicators to monitor our development.
Ni kadogo sana. Nairobi imeichapa.mbona minaona kanakwamba pretoria ni kamji kadogo sana. eti sasa unataka ikatoane ubavu na kanairo...... 🤔🤔🤔
japo iko well organised, hapo sikatai
View attachment 2291351
Overall Update: electrical SGR Dar-Mwanza
Not all.True that.
Soith African cities are overrated. All South African cities are old fashioned.