Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jozi kuna nn cha ajabu ambacho hakipo nairobi. stock exchange tunayo, international companies tunazo, malls tunazo, infrastructure tunayo, high tech companies tunazo, forensic lab tunayo, international media stations tunazo, ghorofa tunazo, hospitals tunazo
Kuna electric trains na brt kama Dar es Salaam je Nairobi zipo?
 
Two river haiingii top 50 zao jaribu basi uone
Uongo, eti Two Rivers haingii top 50 za SA and in Africa Two Rivers iko top 10, mbona wivu tuusan 😂😂😂., umekua kama wenzako kujitia hamnazo wazi wazi 😂 😂 😂 😂, ikija mambo ya malls, outside SA ni Egypt tu ndio mpinzani wa karibu kisha Nigeria., nyie hamuonekani popote, wacha wivu😂😂😂..,
A report showing rating of malls outside SA.,
1657887318729.png
1657887340193.png

1657887584683.png
 
Halafu wewe kwenye somo la economics naona ungepita. Kuna mahali pa kujieleza. Unapewa nafasi unaandika story kama hii unajieleza kwa maoni yako. Hii ni masters research project ya economics. Unaweza kufanya utafiti kitaalam kabisa na kucollect data mashambani na kuonyesha kwamba watu wanaoishi mashambani wanakula vizuri na hawalipi rent hivyo kutumia kigezo cha poverty line kwao ni makosa. Bora una data basi hii idea inakubalika. Ila watu wa mjini bado lazima tuendelee kutumia kigezo cha kiwango cha mapato chao.
Kwa watu wa mjini nakubaliana na wewe ila ni percent ndogo ya urban dwellers wanaoishi chni ya vigezo vinavyo define poverty.
 
Kwa watu wa mjini nakubaliana na wewe ila ni percent ndogo ya urban dwellers wanaoishi chni ya vigezo vinavyo define poverty.
Hapo napinga. Nasema at least 30% ya urban dwellers wanaishi in poverty.
 
Nikiwaambia dar size zake kina Mombasa na abuja wanaona natania. Hii addis ababa imeiwacha na mbali sana dar slum manake hawana uswazi.
Hako ka part ka Addis Ababa kamekaa vzr hakuna sehemu ya kulinganisha hapa EA sio tu Dar japo maeneo yao mengi yapo hovyo lkn interms of CBD usijiongopee hakuna mji wa kulinganisha na hapo Addis Ababa.
 
Umejieleza vizuri sana. Ila hujazungumza kuhusu mambo ya afya. Watu wengi masikini hapa Africa wanaishi mbali na hospitali na pia wengine hawana nauli wala pesa ya kulipia matibabu. Unalizungumziaje hili swala? Kwa nini mamilioni ya watoto wadogo chini ya miaka mitano hapa Afrika bado wanafariki kwa preventable diseases kama Malaria? Huu ni ugonjwa ambao una tiba.
Swala la afya sikulizungumzia kwa sababu ningekuwa narrow focused or biased towards Tanzanian experience. As you know we have a socialist background hence suala la afya na hata education hapa kwetu was mainly responsibility ya serikali tangu zamani na ni bure hivyo sio burden kubwa kwa wananchi kuweza incur a little cost katika kuchangia afya if at all there is any need to do so.

At the moment we are close to bridging the gap of having public health centres kwa kila ward na public dispensaries karibu kila mtaa.
 
Dar slum kuna deep sea port kama Mombasa.

Dar slum kuna ship building industry.


Dar slum kuna refinery.

Dar slum kuna oil jetty inayoweza hudumia meli mbili kwa mpigo.

Dar slum kuna water front park.

Dar slum kuna cruise ship terminal.

Dar slum kuna world heritage site.

Uwanja ni wako😎
Well said. By the way Kipevu Oil Terminal inahudumia meli nne kwa mpigo.
 
Hapo sio barabarani unavyofikiria wewe. Najua nyie Watanzania huwa mkiona lami mnafikiri kwamba hapo ni highway. Hii ni barabara ya cabro works ambayo ipo ndani ya Estate ya mabwenyenye. Kuna Estates nyingi ambazo zina lami hata ndani ya estate.
Umeongea pumba ambayo hata mtoto wa elimu ya awali anaweza kukucheka
 
Hizi nyumba sio za umaskini. Wewe leta yako tuone. Lakini hizo nyumba ni very decent na za kiheshima.
Apo most of em are tenants ,Mimi naishi in my house a 4bedrooms, five washrooms in a half an acre plot .Nna bustani za mbogamboga,nna mbuzi kadhaa na kuku ,mi bonge la boss apo,hao wapuzi wengi wanastruggle hata kulipa kodi
 
Uongo, eti Two Rivers haingii top 50 za SA and in Africa Two Rivers iko top 10, mbona wivu tuusan ., umekua kama wenzako kujitia hamnazo wazi wazi , ikija mambo ya malls, outside SA ni Egypt tu ndio mpinzani wa karibu kisha Nigeria., nyie hamuonekani popote, wacha wivu..,
A report showing rating of malls outside SA.,
View attachment 2291481 View attachment 2291483
View attachment 2291487
Aisee unaangalia izo fancy grading ama size za mall?mana iyo two river kwa zile mall za sa ni ndogo sana
 
Ukitoka cbd ingia tanzanite Bridge uzame oysterbay,zinguka masaki uende mikocheni utokee hadi mbezi Beach...hutakaa uwahi sahau bongo
Those places you are naming are villages which you can't miss in cities like Addis Ababa.
 
Back
Top Bottom