Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Sawa mjukuu, hizo infrastructure ni gani? BRT ama SGR ya umeme eti? kunywa juice ya ukwaju kwa bill yako😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Ni kweli huwezi linganisha Dar na ka Nairobi cz Dar iko mbali kwa ss, Dar ina infrastructure za kisasa zaidi hapa EA ambazo huwezi pata East and Central Africa.


