Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndo ile platform/daraja ya kutoka na kuingilia brt yao?😄
20220714_195132.jpg
20220714_195135.jpg
 
Yani mnachekesha sana na hivyo vidata uchwara mtu anayekula kuku wengi kwa mwezi na anayekula kuku 3 kwa mwezi na kula mlo mmoja au kulala njaa kabisa unahaja kweli ya kuangalia HDI?
Hahaha mumekuwa mkipinga gdp. Sasa pia mumeanza kupinga HDI? Aisee mnashangaza.
The best 007 wewe pia huamini hii data ya HDI?
 
Back
Top Bottom