Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Unajitoa ufahamu tu 😂 😂 😂 😂Hahahaha, ukiona unaanza kujenga hoja na kujikweza, ujue ndio mwanzo wa mwisho wako. Sasa hata wakenya wenzenu wanapokuja Tanzania wengi wanakubali kwamba Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla ni "better' kuliko Kenya/Nairobi na sio Kama walivyokuja wakiamini kabla ya kufika Tanzania, wewe ambaye bado hujafika Tanzania bado upo na mawazo ya kizamani Kama wakenya wengi mlivyo, ngoja kwanza ufike Dar.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app






