Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You call me racist i call myself a proud african man. I will never marry a woman who doesnt look like me because i dont want interracial kids. And i will home school so that they won't learn about vasco da gama bullshit.
The fact that you don't like to marry them, should not be a reason to kill them, Kweli mnatushangaza Sana jinsi mlivyo na ubaguzi kwa binadamu wengine.

Ukiwa na dalili zozote zile za kumchukia binadamu yeyote kwa sababu yoyote Ile, iwe ni rangi, dini, kabila, utaifa au lolote lile, basi ujue wewe ni mbaguzi.

Hivi Sasa unatumia kigezo cha "uafrica" kwasababu unataka kujitofautisha na wazungu, ukiwa ndani ya Afrika, utatumia utaifa wako kuwatenga waafrika ambao sio wakenya, " proud to be a Kenyan". Ukiwa ndani ya Kenya utatumia kabila kujitofautisha na wakenya wengine, ukiwa mbaguzi utaendelea kutafuta sababu za kuwabagua watu unaowachukia, wachaneni na ubaguzi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Leo hatuongei kuhusu Kenya, tunaongea kuhusu Tanzania. Mbona mumebarikiwa sana na mwenyezi Mungu kwenye kila eneo na bado Kenya inawachapa? Hivi hamjisikii aibu kupigwa na kanchi kadogo nusu ya size ya nchi yenu, kenye jangwa, hakana madini, hakana rutuba? Aibu hata kidogo tu hamna? Hata ukiwa pekee yako kitandani usiku hujawahi waza ni kwa nini Kenya na matatizo chungu nzima inawatandika vibaya hivyo? Najua umewahi kufikiria haya mambo ila hapa JF unakaza fuvu na kujifanya strong. Tumieni rasili mali yenu vizuri. Mnastahili kuwa number 1 Afrika. Shamba yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama ni vitega uchumi ambavyo vinastahili kuwafanya muwe munashindana na Afrika kusini kiuchumi.
Cc Geza Ulole
chongchung
tuusan
Hapa Tony umeongea bila ushabiki bali kwa Facts.

Kikwete aliwahi kuulizwa huko nje kwanini nchi yako ni masikini pamoja na utajiri wa nchi yako ulionao akajibu sijui, aibu hii sana.

Hii nchi ilikuwa na viongozi wazembe, wasio na maono ya uongozi hasa mambo ya uchumi, rushwa, ufisadi, wizi, incompetent leaders, kuhodhi vyeo vingi kwa mtu mmoja,usimamizi mbovu wa rasilimali, mikataba mibovu, sera mbovu ya kuitangaza ikiwemo na kutokutangaza vivutio vya utalii, ukwepaji kodi, utoroshaji wa madini na mali asili nyingine.

Sasa alivyokuja Magufuli ndio akawazindua usingizini, sasa hivi unaona kama ndio wamekurupuka usingizini wanahaha kutaka kufukia mashimo ya huko nyuma.

Kwa ardhi tuliyo nayo ingepeswa tuilishe Kenya mpaka mshindwe wenyewe ndipo tufikirie kutafuta masoko mengine, lakini bado hatujawatosheleza maana yake hatuzalishi vya kutosha.

CCM kwa kuandaa mipango wako vizuri sana ila kinachowaangusha ni utekelezaji wake, kama wakiamua kuwabana viongozi angalau wakatekeleza Ilani yao kwa robo tatu tu nchi itapiga hatua sana.

Ulivyowaza wewe mimi huwaza kila siku mpaka kichwa kinauma, kuna Viongozi hawana muda huo as long as they get paid each month what else to think about others.
 
yani wao, wanatamani sana kua pale kileleni kwa dominance ya eastern and central africa, ili waweze kuvutia uwekezaji wa makampuni na organisations tajika kamavile Worldbank, IMF, UN Habitat, Google, CGTN, WRC etc ... ila ni kenya tu! kenya tu ndo kizungumkuti kikubwa sana kwao, tangu zamani. so watajaribu mbinu yoyote ile, kuona wameiponda, ili tu mradi..
Watangoja sana!
 
hebu ona tu hii shamba yote. hakuna desert. kisha tena iko laced with all soughts of the most sought after minerals in the world... gold, iron ore, copper.. name it!. yani inashangaza sana kua wao bado ni least developed country [emoji848][emoji848] walai kama tu hii ingekua shamba yetu.! ghai! kenya sijui tungekua wapi sahizi

View attachment 2287390
Hapo hujataja mito, mabwawa,maziwa ambayo yanafaa kwa kilimo cha irrigation, bajeti ya kilimo ilikuwa inatengwa ndogo sana, angalau mwaka huu nampongeza mama ameiongeza kutoka bilion 200 mpaka 700 na kitu, siyo mbaya kwa kuanzia.

Mwakani bila shaka itaongezeka na kukifanya kilimo kuwa cha kisasa,teknolojia na kuachana na kilimo cha mazoea ( jembe la mkono).

Hili swali la Tony limakuja kama challenge kwa serikali ikubali ikatae hapa tunacheza na muda tu kama tusipobadilika tutabaki hivi hivi tukionekana kana kwamba watu tusiokuwa serious na maendeleo.

Tukiamua kuwekezeka kwenye kilimo vizuri hatutahitaji kuwa omba omba.Tutailisha Afrika na baadhi ya nchi nyingine huko duniani.

Uliwahi kuisikia kauli inaitwa "Kilimo Kwanza " jiulize iliishia wapi na hizo pesa zilizokuwa zimetengwa zilikwenda wapi?

My people, my visionary leaders are not serious at all.Poor me,.this is shame. [emoji57][emoji57][emoji57]
 
31.8% chini ya miaka 5 hebu imagine alaf taarifa ya 2021 mm nakupa kitu cha 2022 over 14m people 🤣🤣🤣🤣🤣


So you are discrediting a 2021 report but giving a lot of weight to 2022 report!! Hivi, difference ni miaka mingapi wewe kilaza?
 
Kweli hakuna city inayofuga fisi na nyumbu kwenye mapori 😂😂😂😂
There are countless number of cities across the globe with zoos where such animals are kept in confined spaces. What I haven't seen ni jiji yenye hekari za shamba za mihogo kama hiyo Dar yenu
 
Umeambiwa SGR ya TZ sio expendable in terms of speed???? Wasiwasi wetu hupo kwenye hizo Old school locomotovies, tunajua mkijaribu hata 121 km/hr tutaletewa breaking news na The Citizen TV[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa ni wachafu
Jamaa ni wasafi!
images - 2022-06-14T160621.319.jpeg
 
That is sea wash up not put there intentionally by humans as is the case for pipeline.
What a lame excuse! Kwa hivyo hizo takataka zilizaliwa baharini then got washed up the shore from nowhere? Na zinafanya nini hapo after getting washed up the shore?
 
Ona nyang'au walivyo na maisha ya hivyo.

Inasikitisha sana

So you guys don't even have a sense of humor left in you? Don't be so rigid, it's never that serious man. Loosen up kiasi and shake off the rigidity in you
 
Hivi Mambo ambayo tumepambana hadi kuyapata kwa jitihada zetu unaweza kuyaita ni "blessing?"
1)Amani yetu
2)Kutokuwepo kwa ukabila
3) Less corruption
4) Kuwa na chakula cha kutosha

By the way, Kenya hakuna Amani, Kenya ipo nafasi ya 125 duniani kwa Amani, na ni miongoni mwa nchi hatari kuishi duniani; Crime, police killings, terrorism, tribal clashes, political/election violence, vipi unasema Kuna Amani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na ndio hata yeye kasema kwamba mnatushinda kwa amani. Ni nini hujaelewa hapo
 
Back
Top Bottom