Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.

Cc tuusan
joto la jiwe
Sasa nyie mna GDP kubwa na watu milion kumi na nne wana njaa? Ni vipi?
 
Train nyingine za viwango gani zaidi ya 120kph. Ukitaka speed ya over 120kph lazima ubomoe reli na pia lazima ujenge miundombinu ya umeme na ununue train nyingine za speed. For Tanzania we only need to buy new train za higher speed tuu.
Arema standard haiwezi pitisha 160km/hr danganya toto jinga
 
FXYK5XlXkAIZEuQ.jpeg
FXNYstFXwAEwPeI.jpeg
FXKQt9gXwAEQfwj.jpeg
 
Unazidi kuchemsha,lengo kubwa ni kupunguza muda wa kusafiri na kutoa njia mbadala ya kupitisha mizigo iki barabara ziwe na life span kubwa
SGR ya Kenya ishatimiza malengo yote hayo unayoyataja hapo kwa kubeba 3m passengers na 8million tonnes of cargo na pia imeweza kua na stations nzuri.
SGR ya Danganyika imebeba 0passengers&0tonnes of cargo na bado haina stations nzuri
 
At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.

Cc tuusan
joto la jiwe
hebu ona tu hii shamba yote. hakuna desert. kisha tena iko laced with all soughts of the most sought after minerals in the world... gold, iron ore, copper.. name it!. yani inashangaza sana kua wao bado ni least developed country 🤔🤔 walai kama tu hii ingekua shamba yetu.! ghai! kenya sijui tungekua wapi sahizi

Screenshot_20220711-192540_Gallery.jpg
 
Wajamaa oneni hii pregnancy reveal ya Anita Nderu. Aki walahi ni moto. Sikujua celebrity kupata mimba ni big deal hivi. 🤣 😂. Hapa ametumia zaidi ya milioni moja kututangazia kwamba ana mimba. Pesa inasumbua watu huko nje. Mimba ni kitu ya kawaida tu.
 
Haiondoi ukweli kwamba ni vichaka vya fisi 😂😂😂
Pia haiondoi ukweli kwamba inakuumiza akili, na kwamba ndio ya kipekee duniani. You can't get another one like that labda uende planet nyingine
 
Wajamaa oneni hii pregnancy reveal ya Anita Nderu. Aki walahi ni moto. Sikujua celebrity kupata mimba ni big deal hivi. 🤣 😂. Hapa ametumia zaidi ya milioni moja kututangazia kwamba ana mimba. Pesa inasumbua watu huko nje. Mimba ni kitu ya kawaida tu.

Huyu alikuwa ananimalizanga na smile yake kwa #TheTrend
 
At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.

Cc tuusan
joto la jiwe
Hujiulizi kwa nini mna matatizo mengi sana kama ulivyosema hapo juu corruption, tribalism, less peaceful etc.
 
Leo hatuongei kuhusu Kenya, tunaongea kuhusu Tanzania. Mbona mumebarikiwa sana na mwenyezi Mungu kwenye kila eneo na bado Kenya inawachapa? Hivi hamjisikii aibu kupigwa na kanchi kadogo nusu ya size ya nchi yenu, kenye jangwa, hakana madini, hakana rutuba? Aibu hata kidogo tu hamna? Hata ukiwa pekee yako kitandani usiku hujawahi waza ni kwa nini Kenya na matatizo chungu nzima inawatandika vibaya hivyo? Najua umewahi kufikiria haya mambo ila hapa JF unakaza fuvu na kujifanya strong. Tumieni rasili mali yenu vizuri. Mnastahili kuwa number 1 Afrika. Shamba yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama ni vitega uchumi ambavyo vinastahili kuwafanya muwe munashindana na Afrika kusini kiuchumi.
Cc Geza Ulole
chongchung
tuusan
 
Wajamaa oneni hii pregnancy reveal ya Anita Nderu. Aki walahi ni moto. Sikujua celebrity kupata mimba ni big deal hivi. 🤣 😂. Hapa ametumia zaidi ya milioni moja kututangazia kwamba ana mimba. Pesa inasumbua watu huko nje. Mimba ni kitu ya kawaida tu.

ubaya tu alitunga mimba na mzungu.... .

huku kenya kama mimba ni ya mzungu, bass wewe ni high profile malaya!

sijui mbona hivyo🤔
 
Sasa nyie mna GDP kubwa na watu milion kumi na nne wana njaa? Ni vipi?
Nchi yenye jangwa hii wachana nayo. Mungu ndio anajua ni kwa nini alifanya Kenya iwe 70% arid bila mvua ya kutosha. Pia serikali corrupt ya Kenya haijali watu wake. Inastahili kujenga dams, water pans, bore holes, water pipes kila mahali hata kama maji itatoka ziwa Victoria na kupelekwa Kaskazini mwa Kenya kutumia water pipeline.
 
Back
Top Bottom