Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

all of this is brewed out of them fearing kenya so much.. its purely brewed out of their inferiority complex towards kenya. they knw kenya is a force to reckon with, within the continent of africa, and hence..

any slight downfall of kenya, is the headline of tomorrow's citizen newspaper
Ninyi wakenya ni wapumbavu, roho mbaya na umasikini ndio unaowafanya kujiona kuwa ninyi ni "victims" muda wote mnalalamika na kujiona ninyi mpo sahihi ila wengine wanafanya makosa.

Hivi hamkumbuki ni jinsi gani mlivyoongoza Dunia kutusema na kutuombea mabaya wakati wa mapambano na Corona, mlifikia hatua ya kuzuia ndege yoyote kutoka Tanzania isiruhusiwe kutua Kenya.

Hamkumbuki jinsi mlivyoingilia sakata la Loliondo na Ngorongoro na lile sakata la yule dada toka Nigeria na mkaanza kusambaza taarifa duniani kwamba Tanzania sio salama kwa utalii, lengo ni kuvuruga utalii wetu?.

Ninyi wakenya mpo na wivu, chuki na roho mbaya kwa Tanzania kwasababu tunawazidi kwa Mambo mengi, hamtaki kuona nchi nyingine ikipata maendeleo kuwazidi.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I didn't know this about her. I take back my words...and I already hate her (excuse the pun) 😂😂😂😂
Before the white dude she used to date an indian guy. You can see the pattern.
 
hebu ona tu hii shamba yote. hakuna desert. kisha tena iko laced with all soughts of the most sought after minerals in the world... gold, iron ore, copper.. name it!. yani inashangaza sana kua wao bado ni least developed country walai kama tu hii ingekua shamba yetu.! ghai! kenya sijui tungekua wapi sahizi

View attachment 2287390
Hakuna excuse Dodoma kuna mashamba..
 
Nchi yenye jangwa hii wachana nayo. Mungu ndio anajua ni kwa nini alifanya Kenya iwe 70% arid bila mvua ya kutosha. Pia serikali corrupt ya Kenya haijali watu wake. Inastahili kujenga dams, water pans, bore holes, water pipes kila mahali hata kama maji itatoka ziwa Victoria na kupelekwa Kaskazini mwa Kenya kutumia water pipeline.
100%

Nicxie
Don YF
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Leo hatuongei kuhusu Kenya, tunaongea kuhusu Tanzania. Mbona mumebarikiwa sana na mwenyezi Mungu kwenye kila eneo na bado Kenya inawachapa? Hivi hamjisikii aibu kupigwa na kanchi kadogo nusu ya size ya nchi yenu, kenye jangwa, hakana madini, hakana rutuba? Aibu hata kidogo tu hamna? Hata ukiwa pekee yako kitandani usiku hujawahi waza ni kwa nini Kenya na matatizo chungu nzima inawatandika vibaya hivyo? Najua umewahi kufikiria haya mambo ila hapa JF unakaza fuvu na kujifanya strong. Tumieni rasili mali yenu vizuri. Mnastahili kuwa number 1 Afrika. Shamba yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama ni vitega uchumi ambavyo vinastahili kuwafanya muwe munashindana na Afrika kusini kiuchumi.
Cc Geza Ulole
chongchung
tuusan
Unajiskiaje Dodoma ni kukame kama hko kwenu na watu wanalima zabibu hko
 
20220711_214206.jpg
 
We know you Kenyans are racists and tribalist people, you will never stop killing each other because of Tribalism/racism.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You call me racist i call myself a proud african man. I will never marry a woman who doesnt look like me because i dont want interracial kids. And i will home school so that they won't learn about vasco da gama bullshit.
 
31.8% of children. Na hapo idadi ya watu wazima bado haijulikani ni ngapi. Alafu upo busy unapiga kelele!
31.8% chini ya miaka 5 hebu imagine alaf taarifa ya 2021 mm nakupa kitu cha 2022 over 14m people 🤣🤣🤣🤣🤣

 
Majamaa Yapi Merkezi wameanza kutoa progress video za Makutupora to Tabora: June 2022

Wale wachina wa Isaka-Mwanza tunawapataje
Yapi Merkez wapo vizuri sana. Hawa wachina wa Isaka- Mwanza sijui wana shida gani speed yao ina walakini.
 
At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.


Cc tuusan
joto la jiwe
Hivi Mambo ambayo tumepambana hadi kuyapata kwa jitihada zetu unaweza kuyaita ni "blessing?"
1)Amani yetu
2)Kutokuwepo kwa ukabila
3) Less corruption
4) Kuwa na chakula cha kutosha

By the way, Kenya hakuna Amani, Kenya ipo nafasi ya 125 duniani kwa Amani, na ni miongoni mwa nchi hatari kuishi duniani; Crime, police killings, terrorism, tribal clashes, political/election violence, vipi unasema Kuna Amani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi wakenya ni wapumbavu, roho mbaya na umasikini ndio unaowafanya kujiona kuwa ninyi ni "victims" muda wote mnalalamika na kujiona ninyi mpo sahihi ila wengine wanafanya makosa.

Hivi hamkumbuki ni jinsi gani mlivyoongoza Dunia kutusema na kutuombea mabaya wakati wa mapambano na Corona, mlifikia hatua ya kuzuia ndege yoyote kutoka Tanzania isiruhusiwe kutua Kenya.

Hamkumbuki jinsi mlivyoingilia sakata la Loliondo na Ngorongoro na lile sakata la yule dada toka Nigeria na mkaanza kusambaza taarifa duniani kwamba Tanzania sio salama kwa utalii, lengo ni kuvuruga utalii wetu?.

Ninyi wakenya mpo na wivu, chuki na roho mbaya kwa Tanzania kwasababu tumnawazidi kwa Mambo mengi, hamtaki kuona nchi nyingine ikipata maendeleo kuwazidi.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wakenya wengi wanaishi ata wanasahau kama kuna nchi inaitwa 'Tanzanian'.
sasa nchi ambayo unapiku kwenye kila nyanja ikusumbue akili ya nini.. kenya tunawaza egypt ama afrika kusini ata zaidi


ata sahizi ukimuuliza mkenya wowote kwenye streets, capital city ya tz ni gani, 95% watakwambia ni dar es saalam. pia aslimia kubwa wanajua tu kuwa, mwanamke ndio rais, ila kutaja jina lake itakua changamoto
 
Wakenya wanazidi kupata lots of opportunities nje ya nchi

2000 kenyans are set to be hired by royal caribbean cruise ships. This is after the state department of shipping and maritime affairs sealed a deal with the Italian-owned Mediterranean shipping company(MSC)

 
Back
Top Bottom