Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo hujataja mito, mabwawa,maziwa ambayo yanafaa kwa kilimo cha irrigation, bajeti ya kilimo ilikuwa inatengwa ndogo sana, angalau mwaka huu nampongeza mama ameiongeza kutoka bilion 200 mpaka 700 na kitu, siyo mbaya kwa kuanzia.

Mwakani bila shaka itaongezeka na kukifanya kilimo kuwa cha kisasa,teknolojia na kuachana na kilimo cha mazoea ( jembe la mkono).

Hili swali la Tony limakuja kama challenge kwa serikali ikubali ikatae hapa tunacheza na muda tu kama tusipobadilika tutabaki hivi hivi tukionekana kana kwamba watu tusiokuwa serious na maendeleo.

Tukiamua kuwekezeka kwenye kilimo vizuri hatutahitaji kuwa omba omba.Tutailisha Afrika na baadhi ya nchi nyingine huko duniani.

Uliwahi kuisikia kauli inaitwa "Kilimo Kwanza " jiulize iliishia wapi na hizo pesa zilizokuwa zimetengwa zilikwenda wapi?

My people, my visionary leaders are not serious at all.Poor me,.this is shame. [emoji57][emoji57][emoji57]
Cha ajabu unaweza kukuta budget ya kenya ya kilimo iko stagnant ama hata imepunguzwa pamoja na njaa hii ndio utajua akili zao zilivyo.
 
There are countless number of cities across the globe with zoos where such animals are kept in confined spaces. What I haven't seen ni jiji yenye hekari za shamba za mihogo kama hiyo Dar yenu
Yours is not a zoo get your facts right first.
 
Yours is not a zoo get your facts right first.
Did I say it is? You mentioned animals kept in Nairobi national park and the same animals are also kept in zoos in different cities across the globe. Interestingly, when we keep them in the only city national park in the world it becomes an issue to you. Kama sio wivu ni nini?
 
Wakenya wanazidi kupata lots of opportunities nje ya nchi

2000 kenyans are set to be hired by royal caribbean cruise ships. This is after the state department of shipping and maritime affairs sealed a deal with the Italian-owned Mediterranean shipping company(MSC)

huku unemployment rate ni over 40% in kenya the highest in africa 🤣🤣🤣
 
So you are discrediting a 2021 report but giving a lot of weight to 2022 report!! Hivi, difference ni miaka mingapi wewe kilaza?
31.8 watoto chini ya mika mitano hebu just imagine 😂😂😂😂😂 kwa hesabu yako hata millioni hawafiki

over 14m kenyans serious alaf muko hapa nye nye nye
 
Marvelous


I wonder if some of the galaxies no longer exist, since it’s taken the light from those galaxies over 13 billion years to reach us.

[I also do love Space Science]


You must knw tht a Galaxy is an astronomically huge phenomena for it to cease in its existence within a 13billion year period..


Now let us take the case our Galaxy, ie. the 'Milky Way' for instance and see how astronomically huge it is, then try to image how long it would take for it to shutdown or collapse and therefore cease to exist.



The image of our Galaxy we see on earth, is what we normaly reffered to as the Milkyway. it actualy looks like a band of stretch of lights because we are seeing it from its blade, ie. its Side Elevation of its disk shape form 👇🏽

Screenshot_20220712-043024_Chrome.jpg
Screenshot_20220712-042714_Chrome.jpg




If we were only able view the milkyway from an angular position, this is how it would look like 👇🏽

Screenshot_20220712-043459_Chrome.jpg




Then you can just image that our huge Solar System, ie. the Sun+its 8Planes just looks like a dot of star among many many other millions of stars within the said milkyway galaxy. 👇🏽
(nb: all the stars we are able to see at night is just but a millionth of all the stars in our galaxy)

Screenshot_20220712-054852_Chrome.jpg


NB:
Note that, as far as our earth takes 365.25days to complete one orbit around the sun, and so does our Sun take 251million year to complete one orbit around the centre of the Milky Way 👇🏽

Screenshot_20220712-061228_Google.jpg



Every element of light you see here, is an independent Galaxy within the vast Universe.
That would explain how unimaginably enormous the universe is.. let me just say its to infinity or in simple terms, its endless! 👇🏽

FXazs2QXwAAPKcA.jpeg



Conclusion:
Walker255, so your doubt about collapsing of some galaxys within 13billion year period is not justified at all. They all still do exist upto now, given the gigantic huge scale of each and every galaxy!
 
There are countless number of cities across the globe with zoos where such animals are kept in confined spaces. What I haven't seen ni jiji yenye hekari za shamba za mihogo kama hiyo Dar yenu
Hakuna city lenye pori kubwa la nyumbu na fisi almost half of the total landmass, naipori sio metropolitan bali ni big zoo 😂😂😂😂
 
Wewe ni taahira sababu Unalinganisha Kitendo cha bahari kutema uchafu uliokusanywa kutoka kwenye maeneo, nchi, visiwa, meli nyingi baharini na kunyans kutelekeza uchafu barabarani
Hata marekani sea wash up ipo
Usilinganishe hii na umavi wenu uliowajaa Wakunya, ninyi mnaweza kuwa hata mnakula mavi sababu sio kwa ukapurwa huo!

Screenshot_20220712-054252.png
 
Did I say it is? You mentioned animals kept in Nairobi national park and the same animals are also kept in zoos in different cities across the globe. Interestingly, when we keep them in the only city national park in the world it becomes an issue to you. Kama sio wivu ni nini?
Yes those cities have zoos even Dar has one so don't compare cities with zoos and city with a bush for wild animals.
 
SGR ya Kenya ishatimiza malengo yote hayo unayoyataja hapo kwa kubeba 3m passengers na 8million tonnes of cargo na pia imeweza kua na stations nzuri.
SGR ya Danganyika imebeba 0passengers&0tonnes of cargo na bado haina stations nzuri
Station zetu ni nzuri pia,sema ni ndogo sio kubwa
 
At least DRC tunawaelewa wanapigana bado. Kuna vita huko. What about Tanzania? Tanzania is more peaceful than Kenya. Hawa jamaa hata hawajawahi kutwangana hata kidogo, which is a blessing. Kenya tuko peaceful lakini sio sana coz kuna violence wakati wa elections. Yaani these people have everything yet they are still poorer than us. Even tribalism yao is much lower than Kenya's tribalism and even their corruption is much lower than Kenya's corruption na bado wao ni masikini kutushinda. Like I just don't get it. Fertile land, best game parks in the world, all types of minerals including gold, diamonds, iron ore e.t.c Yaani hata sijui niseme nini. Bado tunawachapa vibaya sana with all these advantages zenye wako nayo.


Cc tuusan
joto la jiwe
Hahaha yani uache kuniquote ukitaka kuichamba Tz naona utaugua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom