Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mjinga sana. Hivi, ukienda kwa duka pale Tandale unapoishi unaingia tu hadi ndani na kuchukuwa unachotaka bila kuuliza kama muuzaji yupo na bei ya ile kitu unataka?
Biashara Kati ya Kenya na Tanzania haijawahi kusimama, kila kitu kinajulikana, iweje ghafla mnataka mazungumzo ya Bei?, Wacha nguvu ya soko ndio iamue Bei ya chakula, sio mazungumzo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nchi kubwa, watu wengi, city moja yenye CBD moja na makazi uchwara, alafu uchumi hafifu, watanzania hunichekesha wanavyo penda ubishi na domo domo, kumbe wanyonge duh😂😂😂😂

But Tanzanians are not starving to death.
 
Nairobi kuna baridi kali sana kupindukia. This year sijui weather ya Nairobi nini mbaya nayo? Ni kama tunaishi ndani ya fridge.
 
Nairobi kuna baridi kali sana kupindukia. This year sijui weather ya Nairobi nini mbaya nayo? Ni kama tunaishi ndani ya fridge.
Ninadhani baridi ni kawaida ila miili ya wakenya Haina "fat deposited za kutosha mwaka huu kwasababu ya upungufu wa chakula cha kutosha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa sijui huwa ana shida gani, anaambiwa kila mara kuhusu hili jambo lakini wapi hasikii, mbaya zaidi analeta picha za watoto ambao si wazazi wao,walimu au wenyewe wametoa consent sura zao zirushwe mitandaoni.

I think this kid is still in foolish age.
 
Kwani vitu vingi tunavyo battle navyo nani katupa jeuri humu kama siyo Magufuli. Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga tu [emoji3][emoji3]
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kufanya huo upuuzi wa lobbying kwa global organisations na multinationals ili wafungue offices Tz. We have better use for our money.
Umeongea ukweli ambao ni asili na uhalisia wa Mtanzania [emoji120][emoji120][emoji120]
 
I concur with him, without PK Rwanda is going back to civil war madness. a smart succession plan needed.
Mkuu huoni kwamba akitawala mtu mwingine ndio patachimbika zaidi maana jamaa aliweza kuwatuliza kwa utawala wa mkono wa chuma.

Japokuwa hawezi kutawala milele, lakini nachelea kusema Rwanda haina mtu wa kuitawala na nchi kuwa na utulivu kama huu walionao sasa hivi.

Kipi bora utawala wa mkono wa chuma huku kukiwa shwari au utawala wa kimedemokrasia wenye machafuko ya vita?

Nawaza tu[emoji848][emoji848]
 
Leta ushahidi Tanzania ikipokea misaada ya chakula, kunyaland mnanuka njaa to the highest heavens
Haijawahi kutokea tukapata chakula cha msaada. Hizi aibu za kutuondolea utu wetu serikali huwa iko makini naipongeza sana.
 
Singelii inapsua anga huko wakunya najua hamuhujui huu mziki
Wakenya mjiandae kwa mziki mpya huko



 




Hii ndiyo Kenya tunayoijua, wanauza chakula Ulaya, wenyewe wanaokufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
Nicxie
Don YF



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani ni chao, wangekua wanamiliki hizo products wanazouza ulaya , wangetumia hela wanazopata kununua chakula, too bad their products are not their products 😎 . Wanamiliki tu data hapo na sifa.
 
U want to say the peace and stability Rwanda currently has ni juu ya dictatorship, Kagame akitoka wahutu na tutsi will be back at it?
 
Mkuu wakijibu nijulishe, ngoja niende kupata Konyagi kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Swali lake walijibu hata Watanzania wanaomsema Magufuli hakufanya kazi, hapa nawapungumzia Wakenya kuumiza kichwa kujibu maswali magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya majibu hakika yemefanyiwa reseach ya kutosha hadi siku ya mtihani mwanafunzi akaingia na desa likajibu mtihani wote [emoji120][emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mbona hata wewe hufikirii vizuri kwenye vitu ambavyo ni sensible kwamfano since during colonial times until 2017 Kenya built 9k km of roads and now you are told that in the last 5 years Kenyatta built 13k kilometers huoni hapo kuna something fishy au uko blinded na patriotism? Wake up and start using your brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…