Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 592
- 1,698
more info basi! Kigoma wapi?Soko linajengwa kigoma huko. Kilometa za kutosha kutoka dar es salaamView attachment 2285645
Leta recent data acha kujifurahisha na outdated data.Numbers don't lie. Our electricity access is 75%, the highest in the region
But it's disappointing to see that Uganda has one of the lowest electricity access rates in the continent despite the fact that they have surplus electricity. The funny thing is that they are actually selling part of that surplus to Kenya!
The buses nakuonyesha were introduced in nairobi in the 90s, za 60s ndio picha hapoHakuna mtu aliyezungumzia about 90s kijana.View attachment 2285636
Hahaha sijui huwa tunafanya upuuzi wa kulinganisha Nairobi na Slum ya South kwa nini? WHO imeanzisha ujenzi wa African region logistics headquarters hapa Nairobi. Sitaki kisikia mtu akilinganisha Nairobi na mji uliojichokea wa South.
Dr. TEDROS director general wa WHO yupo Kenya kuzindua ujenzi wa WHO African logistics centre ambayo itajengwa ndani ya Kenyatta university.
Hahaha sijui huwa tunafanya upuuzi wa kulinganisha Nairobi na Slum ya South kwa nini? WHO imeanzisha ujenzi wa African region logistics headquarters hapa Nairobi. Sitaki kisikia mtu akilinganisha Nairobi na mji uliojichokea wa South.
Dr. TEDROS director general wa WHO yupo Kenya kuzindua ujenzi wa WHO African logistics centre ambayo itajengwa ndani ya Kenyatta university.
We ng'ombe leta kiwanda kama hicho kunyaland kama unaweza!Siwezi bishana na mtanzania kuhusu viwanda, bado mko nyuma sana.
Watajua hawajui ngoja watoke usingizini itakuwa too late. Historia ya Tz inaandikwa sasa wakati wao wanaupiga mwingi usingiziniSoko linajengwa kigoma huko. Kilometa za kutosha kutoka dar es salaamView attachment 2285645

Propaganda boy wa wivu na chuki wewe haunanga hojaMuuguzi humfata mgonjwa....sasa wewe unategemea wafungue branch zao wapi? Na wakati huo ukanda wa horn of Africa particular kenya ndio inaongoza kuwa na magonjwa mengi inayosababishwa na lishe duni
Sababu zako za kipumbavu sanaHahaha sijui huwa tunafanya upuuzi wa kulinganisha Nairobi na Slum ya South kwa nini? WHO imeanzisha ujenzi wa African region logistics headquarters hapa Nairobi. Sitaki kisikia mtu akilinganisha Nairobi na mji uliojichokea wa South.
Hata Moderna wanajenga vaccine manufacturing plant in Nairobi. Mbona hawakuamua kuijenga Dar is a big slum?Muuguzi humfata mgonjwa....sasa wewe unategemea wafungue branch zao wapi? Na wakati huo ukanda wa horn of Africa particular kenya ndio inaongoza kuwa na magonjwa mengi inayosababishwa na lishe duni
Juzi hapa timu ya vijana ya wanawake Tz imeenda WC mkasema ni watoto haya huyu mkubwa? Kati ya tennis na football ipi ni maarufu?Kenya Does it again....
Tumechoka kuhost headquarters ya kila kitu. The next one tutawagawia angalau mpate headquarter moja ya international company au UN organisation kama WHO.
Wakunya kama kawaida yao. Ati "with Kenyan roots" wakati humu wanjifanya hawajui wahindi wala hawatambui
Jinga kabisa