Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 Kwani Dar Iko na Uswazi tu.? Brathee, Usisahau kwamba Dar is home of
1. Upanga
2. Mikocheni
3. Mbezi beach
4. Salasala
5. Mbweni
6 .Goba
7. Kigamboni
8. Kawe

Haya maeneo yote yana host midle class mzee wangu
Kama umekosa middle class suburbs si angalau upost zile nyumba zako za masquatter tucheke kidogo. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ju inaonekana South C imekushinda.
 
hivi, bongo hakuna mataa ka hizi hapa. Masslighting.. na venye zimetapakaa kila mji kenya ata hadi mashinani village centers...
hizi kwa mtaa yetu, tunaziita AtomicLighting. yani moja tu ama mbili hivi, inafyeka estate mzima. hizi nivitu ziko tu kenya na SA na egypt, nimefanya utafiti

View attachment 2285844View attachment 2285845View attachment 2285846
sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!
 
Kama umekosa middle class suburbs si angalau upost zile nyumba zako za masquatter tucheke kidogo. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ju inaonekana South C imekushinda.
Siwezi post mitaa za middle class Dar kulinganisha na hizo shule, excuse me 🤣🤣🤣🤣
 
sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!
kenpaulite amesema bongo, hakuna taa kama hizi. heb tuma vipicha tuvione..
yes... taa tu inanipa excitement... kwani uta do......
 
sasa taa tu inakufanya unyambe namna hiyo kwa excitement mpaka uje ku-post humu? Aiiish wacha Ukunya!
Tunajua hizi munaziona kwa stadium pekee. 🤣 🤣 🤣 🤣 uswazi giza tupu.
Image

Image
 
🤣🤣🤣 Kwani Dar Iko na Uswazi tu.? Brathee, Usisahau kwamba Dar is home of
1. Upanga
2. Mikocheni
3. Mbezi beach
4. Salasala
5. Mbweni
6 .Goba
7. Kigamboni
8. Kawe

Haya maeneo yote yana host midle class mzee wangu
Nairobi huwezipata hiyo ufala ya watu kushare choo na bafu unless uko kwa slum na hata siyo slums zote ziko hivyo. Jiji lenu la Dar liko nyuma sana
 
Nairobi huwezipata hiyo ufala ya watu kushare choo na bafu unless uko kwa slum na hata siyo slums zote ziko hivyo. Jiji lenu la Dar liko nyuma sana
Mnatuzidi nini we kalio, kuna infrastructure kibao zipo DAR tu huko kwenu u ar just dreaming of having them, then uko hapa ku claim ati tupo nyuma 🤣🤣🤣 ar you crazy or something.?
 
Umekunja mkia kama mbwa imenyeshewa na vile ulianza kiherehere, picha moja ya South C imekupiga knockout.

Najua umezoea roof za mabati zile zimeshika kutu. 🤣🤣🤣

Image
Such organized neighbourhoods kule kwao ni kama kutafuta nyama ya nguruwe Saudia
 
Mnatuzidi nini we kalio, kuna infrastructure kibao zipo DAR tu huko kwenu u ar just dreaming of having them, then uko hapa ku claim ati tupo nyuma 🤣🤣🤣 ar you crazy or something.?
Bongolala, we are discussing shared pit latrines and bathrooms in Dar at the moment. Mbona hutaki tujadili hili?
 
Huo ukubwa wa Dar thamani yake ama uzuri wake ni nini haswa wakati nusu ni uswazi na maeneo yaliyobaki ni mashamba za mihogo and a few decent areas?

Huo ukubwa ingereflect kwa vitu za maana ingeeleweka. Lakini sasa uswazi mwanzo mwisho ni faida gani?
🤣🤣🤣🤣 Kinondoni district itself inaweza kalisha hizo mitaa zenu zenye shule, na gorofa za udongo zote
 
Back
Top Bottom