Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
Why are they abandoned? Si kila siku hapa mnajigba vile Dar ni kubwa mara tatu kwa Nairobi? Kumbe na majigambo hayo yote ni mashamba za mihogo tu!!Kama huelewi ngoja nikuache. Wewe nakuambia abandoned plot, unaongelea vichaka. By the way, do you know what are abandoned plots!!?
Huyu wakili amelipwa ksh 1.3 billion na serikali ya Nairobi county? Aiseeh hii ni noma. Hio ni around $11 million. Lazima Kuna mambo nyuma ya pazia.
Amboseli ipo masaaini sasa sijui hoja yako ni nini haswa!Masai wenyu mbona hawaji kulisha ng'ombe huku?
Hata wewe ni shoga ila ni mwanaumesasa mlikuwa mnawauwa Wamaasai halafu hamtaki tuongee? Eti tukae kimya wakati mnafanya maovu?
Halafu hao ni wanawake au wanaume? Kwanza huyo anayeitwa Clara Luvanga ni mwanaume kamili. Akachunguzwe. Atakuwa ana pumbu mbili katikati ya miguu.
Let's picha za port link ya Tanzania SGR + marshalling yardYou spewed rubbish here.
Public transport such as BRT, metro trains is the way to go for big modern cities. Advantages are many such as low cost, efficient, spends less time commuting to and from work and lastly ni environmentally friendly.
Both Tanzanian SGR and MGR have port links.
Kunyaland hii ni full fledged hospital watapiga picha za upande upande na kuzirusha huku kwaajili ya ku justfy numbers tuu wakati huku kwetu ni wing ndani ya hospital.Sekou Toure mother and child wing
![]()
Huyu wakili amelipwa ksh 1.3 billion na serikali ya Nairobi county? Aiseeh hii ni noma. Hio ni around $11 million. Lazima Kuna mambo nyuma ya pazia.
Acha ujinga wewe wenzako wanakuona kiazi kweli zilisha wekwa humu ndani kitambo tuu.Let's picha za port link ya Tanzania SGR + marshalling yard
Ujinga ni kuitisha picha za SGR link to port za Tanzania? Wewe ni mtanzania low IQ na mjinga sana. Stupid maggotAcha ujinga wewe wenzako wanakuona kiazi kweli zilisha wekwa humu ndani kitambo tuu.
Rugby waonengeze slot moja Africa tu- qualify, Namibia wako vizuri sana.Tz hapa hawawezi thubutu[emoji1787]View attachment 2282742
Documentary ipi engineer?wish wakenya wote wangekua wazalendo sana kama hawa wabongo..... yani wabongo wanapenda nchi yao mbaya sana!. was following some documentary
Hawawezi cheza rugby na hizo mwili zao ndogo, we umewai on m'bongo ameunga? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wote hua na mwili malnourished kama praying mantis.Tz hapa hawawezi thubutu[emoji1787]View attachment 2282742
Nipe ushahidi hiyo ni County hospital saiviWacha wivu bongolala. That hospital was constructed and is owned by the Nakuru County Government
La hasha, hio pesa yote ni yake. Kwa mambo ya uwakili, Hapa Kenya kisheria wakili anastahili kulipwa 2.5% ya value ya pesa anayopigania kortini. Huyu Mwamba alikuwa anapigania kesi yenye shamba ya value ya ksh 61 billion. Sasa 2.5% ya value ya hio shamba ndio hio ksh 1.3 billion aliyolipwa. Wacha akule jasho yake. Japo haijawahi kutokea katika historia ya Kenya wakili kukuwa billionaire kwa pesa za Kenya (dollar multi-millionaire) kupitia kesi moja tu.Sasa, hii si serikali vs serikali walipane kupitia budget hata ya mwakan.. nilivyosoma hio title ya first tweet nilijua ni serikali vs foreign investors.. anyway, mambo ya sheria sijui..
Afu nimesomasoma comments naona #azimio.. labda ni kupeleka hela kiujanja azimio kusaidia kampeni afu yey atapata 10%