tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Dodoma kwa sasa hakuna foleni kama ya Nbo,izo infra zinajengwa kulingana na uhitaji sio fashionDodoma year 2890
View attachment 2281970
Dodoma kwa sasa hakuna foleni kama ya Nbo,izo infra zinajengwa kulingana na uhitaji sio fashionDodoma year 2890
View attachment 2281970
kwahiyo hapo Bongo au DRC ?Hao watoto wote mim nawajua.. na wanajua kiswahil vizur tu saiz.. too bad naijua hata hio nyumba ni ya nan😆
Huyo mwenye yellow na kasuka ndo huyu.. i can bring pics of all of them 🤪
View attachment 2281990
Na huyo dogo mwny nyekundu na alikuwa nyuma ya kabila ndo huyu😅
View attachment 2282001
DRC.. watoto baadh wazazi wao ni waDRCkwahiyo hapo Bongo au DRC ?
ohk inakaa kutanuka pretty soon huko eastern DRC maana naona General Sultan Makenga kaungana na jeshi lake!
I know everything about it.. its secret and private thing for me.. ndo mana siongelei.. 🤪ohk inakaa kutanuka pretty soon huko eastern DRC maana naona General Sultan Makenga kaungana na jeshi lake!
Kale kajino cha Lumumba naona kanatumika kisiasa kuwa-charge mutu ya Bakongo sasa sijui kama FADRC inauweza muziki wa Rwanda! Na sina uhakika kama East Africa Standby Force yenye Uganda haita-leak siri kwa RDF ambayo ita-leak kwa M23! A cat and mouse fight!I know everything about it.. its secret and private thing for me.. ndo mana siongelei.. 🤪
Ile reli ya Tanzania haijakua fenced in most parts unlike ya kenya na intermediate stations za tz sgr ni kama choo za kanjo [emoji3]SGR ya Danganyika haijakamilika na haiwezi tumika kusafirisha chochote
Piga nduru musuriChinese properties
basi mchina ataimilikia miaka 150 🤣🤣wenye nchi wameamua ku-sabotage mradi wa Mchina!
Kilio twitter kimeanza bado JF
Mombasa Cancer Center
Bongolala land huwezi facility kama hii outside of Dar is a slum.
Uogopi kuwa naweza kuwa SPY wa kibongo for DRC.. nakusanya data? 🤣🤣Kale kajino cha Lumumba naona kanatumika kisiasa kuwa-charge mutu ya Bakongo sasa sijui kama FADRC inauweza muziki wa Rwanda! Na sina uhakika kama East Africa Standby Force yenye Uganda haita-leak siri kwa RDF ambayo ita-leak kwa M23! A cat and mouse fight!
Mombasa Cancer Center
Bongolala land huwezi facility kama hii outside of Dar is a slum.
Fixed before it dawnedView attachment 2281772View attachment 2281773
Uganda wako pabaya sana, at least bongolalas wakona moja pekee. 😀