Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vile wazee wa GDP wanavyougulia njaa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220705-080104.png
    Screenshot_20220705-080104.png
    203.1 KB · Views: 11
Huyu mkunya na group lake alianza na kusema zanzibar ipo kama Lamu, baada ya kupiga hatua kumi aka change Gia angani akasema Mombasa has many to learn from zanzibar means hata Mombasa haifui dafu kwa zanzibar

Amekubali mziki wa zanzibar na barabara za TZ
 
Hakuna mambo ya paraphenalia wala nini. Eni lng ni $9 billion na Total lng ni $20 billion. Total valuation ndio hio $29 billion waliyopost hapo.
Iko miradi mingine ya madini kama sikosei mradi mkubwa wa Aluminiun pia
 
Old photos. They were replanted with better knowledge and are now flourishing.
Planted with better knowledge? Smh..

So you hire experts for that job right? From which part of the world bradhee? Na atakaa hapo kumaintain hizo uchafu majani siku zote Sio?
 
Back
Top Bottom