Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,232
- 35,648
Angalia yen na kunyan shilings tofauti yake,halafu kunyan ndio wanadai wana maisha mazuri zaidi yetu coz pesa yao ina thamani!nimefurah kuonasarafu ya kenya imeshuka from 23 to 19 asanteni πΉπΏπΉπΏβ β πππView attachment 2280573
kwanza prism tower umeiona??π€£π€£Utasumbuka sana na bado. kijitonyama na posta yote ndani View attachment 2280696
Wivu na chuki za kijinga ndio zinamsumbuaNashindwa huyu anatuambia nini na every year kuna Mater heart run na Karen Hospital heart run ambazo huraise funds for free heart operations for kids.
My point was driven home long time go. Sasa wewe unasemaje kuhusu hiyo picha ya kijiko ya nyama na posta kwenye picha moja?kwanza prism tower umeiona??π€£π€£
Wacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za AfyaKenyatta Referral has a PET in their comprehensive cancer unit. - Inside KU hospital's new cancer imaging centre
Here is a link you can book an appointment uangaliwe kama uko na tumor kwa akili. - https://imaging.kutrrh.go.ke/service/01-pet-ct/
PET scanner Kenya ilipata more than 10 years before Tanzanians knew what it was. Ziko private hospital kadhaa pia.
Sasa ndio ujue Kenya sio ligi moja, show us 94 public hospitals in Tanzania with radiology machines and dialysis machines.
80% of Tanzanians wakijikwaa lazima wakimbizwe Dar ama Dodoma, let alone cancer and kidney failure.
View attachment 2280955
Kwamba Kenya hakuna shida ya chakula?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]Ningekuwa bongo ningekutumia bundles ufungue hio link.
Kenya is doing much better than Tanzania. Sio mambo ya cherry picking a few stories from backward nomads in northern Kenya.
Ushaambiwa ubook appointment uangaliwe Kama uko na tumor kwa akili π π πWacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za Afya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
yes we see ππππ mchina kiboko
sisi hatujengi miradi ya ovyo isio na tija kwa wananchi ona sasa π€£π€£π
is this three level ?? au hujui maana yake π€£π€£3 level interchange Mombasa
View attachment 2281009
kitu kq imeweza ni kumiliki ndege tatu chakavu full stop πππATCL wet dream π
View attachment 2281115
Mbona mkenya aende Tanzania na Agha Khan pia ikona na PET Scan na wanakubali NHIF. Wewe wacha kuota, sahii KTRH ikona machines kama zote muhimu za kutibu cancer.Wacha ujinga, PET scanner mlipata mwaka Jana August 2021, soma hiyo article hapo, kabla ya hapo wagonjwa toka Kenya walikua wanakwenda India na Tanzania, Tanzania siku zote ipo mbele ya Kenya Kati suala Zima la huduma za Afya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona Kenya, Uganda na Rwanda hampati watalii wengi Kama Tanzania pamoja na kwamba mlifuata taratibu zote za kujikinga na Corona?.Mama alipoingia alitangaza kwamba corona ipo, mask ivaliwe, social distancing ifanyike. Sasa hivi mnapokea watalii kwa sababu mama alisafisha mambo ambayo mwendazake alikuwa ameharibu. Hamgepata watalii ikiwa bado mngekuwa mnashupaza shingo kwamba hakuna cha kufuata mawaidha ya wanasayansi kuhusu corona. Pia biashara kati ya Tanzania na Kenya imeimarika kwa sababu ya upole wa mama. Hapo namshukuru mama sana. Najua Wakulima wenu pia wanafurahia sana. Huyo mwendazake alikuwa anaichukia Kenya vinoma.
umetaka kuona prism nimekuonesha narudia kukwambia nairobi ni ndogo sana mara tatu ya dar mark my words π€£π€£π€£π€£My point was driven home long time go. Sasa wewe unasemaje kuhusu hiyo picha ya kijiko ya nyama na posta kwenye picha moja?
Of course Dar ni kubwa sana na ukubwa wake ni hizi shamba za mihogoumetaka kuona prism nimekuonesha narudia kukwambia nairobi ni ndogo sana mara tatu ya dar mark my words π€£π€£π€£π€£
chanika ni over 40km from CBD ni sawa kutoka nairobi CBD kwenda thika imagine ππππ kwenu ushaingia county nyingine tayarOf course Dar ni kubwa sana na ukubwa wake ni hizi shamba za mihogo View attachment 2281314View attachment 2281315