ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,374
Huo ni mchezo wa vichaa, lakini Nashukuru kwamba unatambua migiant ya Tanzania simba na Yanga.East Africa tuko France rugby (Kenya,Uganda,burundi)plus Cairo na kigali basketball (Kenya Uganda Rwanda, south Sudan)
Hiii Tanzania ni yanga na Simba tu!!!!
Hiii nchi inaboo sana, waaah!!!!
Umeme wenu ni very expensive, not affordable for your manufacturing sector. Muhimu sio kuzalisha umeme mwingi, lazima uangalie gharama za huo umeme Kama unalingana na nchi jirani, otherwise your manufactured goods won't compete and your manufacturing sector will collapse.Hata haikusumbui kwamba licha ya sisi kuzalisha umeme nyingi kuwaliko, bado mtauuzia hiyo yenu kidogo that you generate?
Source please[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia, Kenya iko ligi ya juu hapa Africa. Yani hadi Uganda inawapiga kitu.
Ninakumbuka Kenya ndiyo iliyokua "the biggest exporter to other countries in this region, but now the giant is controlling the show", keep on sleeping [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi, Dar port inahandle metric tones ngapi za mizigo kwa mwaka? [emoji23][emoji23]
I think that's the most important question.
If wishes were horses, we would ride on them. You people pray so much manufacturing sector yetu ianguke. But itabaki kuwa ndoto na wishful thinking. Our manufacturing sector still remains the biggest in the region, that's why hata consumption ya umeme pia tumewazidi.Umeme wenu ni very expensive, not affordable for your manufacturing sector. Muhimu sio kuzalisha umeme mwingi, lazima uangalie gharama za huo umeme Kama unalingana na nchi jirani, otherwise your manufactured goods won't compete and your manufacturing sector will collapse.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani bidhaa zinazopitia port of Mombasa zinakuwanga exports za Kenya? Umechanganyikiwa bongolala au it's just a clever way of changing the gear mid air?Ninakumbuka Kenya ndiyo iliyokua "the biggest exporter to other countries in this region, but now the giant is controlling the show", keep on sleeping [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
coodip1 anaonekana kama mtaalamu kwny huu upande hivi ni kwanini bado wanawaacha watu wakijenga kiholela holela inakera sana hii ni kati ya sababu zilizonifanya nisiwe shabiki wa Mr Lukuvi kbs.Yah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.
Tusichoke kupiga kelele kuhusu ujenzi holela ni dhambi kubwa kwa nchi inayoendelea kwa kasi kama nchi yetu. Inakera sana kuona bado kuna ujenzi holela.
Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.Its okay..nikipata data za Gas to industries kama nnavyojua twiga cement na dangote .nitaweka
for now kama mnaproduce 3000mw its okay..lakini jua kwamba you dont have that long ..once JNHPP is complete we will be producing 4000MW in total..1000MW over you
Sasa mbona huyo jamaa alikimbia kutangaza upuuzi halafu World Bank wamempinga wazi wazi?
[Emoji1787][emoji1787][emoji1787]Those are kenyan professionals trying to help you illiterates because you lack skilled labour. Unaexpect omba omba wa bongo wenye wako Kenya wawashinde kwa remittances. 🤣 🤣 🤣
Bado wanasubiria mchina aje awamalizieIle ya vichakani imeishia wapi au imeshafika Malaba?
Yani nimecheka sana Nyagau ndio kapata Cyberknife leo ama kweli maskini akipata matako hulia mbwataSikuzi we are conquering Africa, battle sijui the the best or the first in East and Central Africa tuliwachia Tanzania, Rwanda , Uganda na wengine wapambane.
Uganda bado sana. Kama World Bank wanawapinga waziwazi na kusema kwamba bado wapo mbali na middle income unashindwa M7 alikuwa anajipea kimbele mbele ya kutanganza kwa nini.Uganda bado ni shit hole, wapambane waanze kusafirisha mafuta huenda yakawatoa.
Keshakubali JNIA imezungukwa na ma slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.
Tusichoke kupiga kelele kuhusu ujenzi holela ni dhambi kubwa kwa nchi inayoendelea kwa kasi kama nchi yetu. Inakera sana kuona bado kuna ujenzi holela.
Very wromg we had it since 2014 or rather 8 years ago.This machine costs like $5 million. So we can expect it in Tanzania in 2040.
Hii ni kali. Kenya siku hizi tunapata continental headquarters. Makampuni zimeanza kuachana na South Africa. Zamani kampuni zote zilikuwa zinakimbilia South Africa kuwekeza continental headquarters huko. Karibu Kenya Bolt African headquarters 👏 👏 👍Narudia tena Kenya conquers Africa, hizo battle za the best in East and Central Africa tumewachia nchi za ligi ndogo kama Tanzania.