Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hali ya maisha ya wakenya yazidi kuwa mbaya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Wakunya ni lugha gani sasa wanaweza kuongea kwa ufasaha? Sio mama mboga sio waziri both, butchering both languages equally sio English sio Swahili

Kazi wanasema kasi wengine gazi,
Maisha wanasema maisa
Ngumu wanasema gumu
Shilingi wanasema silingi
Mingi wanasema miki
Tosha wanasema tosa
Am tired 😅😅😅😅

Tony254 nini hiki?
 
Sasa kama gazeti la UK linakubali kwamba Kenya imejenga 12,000 km of tarmack road in 8 years, kwanini chongchung na coodip1 wanashindwa kuamini matamshi ya rais Uhuru kwamba amejenga 10,000 km ya Lami? Ulaya imeshaanza kututambua.
View attachment 2278713
Gazeti la UK limefanya utafiti wa hizo barabara au wamequote tu upotoshaji na utapeli wa Rais wenu? Nimemuambia mwenzio aweke budget ya 6k kilometers za SA na 12k kilometers zenu kaingia mitini 🙄

Tatizo sio uhuru kuwanganya kajenga 12k kilometers bali tatizo ni ninyi kuamini huu upumbavu
 
Hayo wameongea walevi wawili UK na Boris wakiwa wanapiga gambe sisi inatuhusu nini haya mambo ya kilevi?
 
Wakunya ni lugha gani sasa wanaweza kuongea kwa ufasaha? Sio mama mboga sio waziri both, butchering both languages equally sio English sio Swahili

Kazi wanasema kasi wengine gazi,
Maisha wanasema maisa
Ngumu wanasema gumu
Shilingi wanasema silingi
Mingi wanasema miki
Tosha wanasema tosa
Am tired 😅😅😅😅

Tony254 nini hiki?
Hiyo ni lafudhi tu na wala haiashirii kutoielewa lugha ya Kiswahili. Ndio maana Geza Ulole alikuelimisha kwamba mtu anaweza kuongea kwa lafudhi iliyoathirika na lugha ya mama ila ngeli anayotumia iwe sahihi na mpangilio wa maneno pia iwe sahihi. Huko kwenu Tanzania pia wengi wenu lafudhi yenu imeathirika na lugha ya mama. Sio Wasukuma tu bali hata watu kutoka kabila zingine za Tanzania unakuta mtu anachanganya r na l au sh na s. chongchung Tanzania tunaijua vizuri na huwezi kutudanganya eti nyie Kiswahili chenu hakijaathirika na lugha ya mama.
 
Wadanganyika waendelee kuja kuchuuza kahawa kwa mandazi kwa the largest economy in East and Central Africa. Pesa ya Kenya ni ndefu sana
JamiiForums-437094581.jpg
 
Gazeti la UK limefanya utafiti wa hizo barabara au wamequote tu upotoshaji na utapeli wa Rais wenu? Nimemuambia mwenzio aweke budget ya 6k kilometers za SA na 12k kilometers zenu kaingia mitini 🙄

Tatizo sio uhuru kuwanganya kajenga 12k kilometers bali tatizo ni ninyi kuamini huu upumbavu
Hayo wameongea walevi wawili UK na Boris wakiwa wanapiga gambe sisi inatuhusu nini haya mambo ya kilevi?
Kama kuna kitu kiliwauma Watanzania ni nyinyi kugundua kwamba Kenya tuna 22,000 km za lami wakati nyie mna 13,000 km za lami. Yaani mlitokwa na povu kinoma siku hio ambapo Uhuru alitangaza hilo jambo.
 
Gazeti la UK limefanya utafiti wa hizo barabara au wamequote tu upotoshaji na utapeli wa Rais wenu? Nimemuambia mwenzio aweke budget ya 6k kilometers za SA na 12k kilometers zenu kaingia mitini 🙄

Tatizo sio uhuru kuwanganya kajenga 12k kilometers bali tatizo ni ninyi kuamini huu upumbavu
Unadhani Wazungu hususan Wazungu wa UK ni wajinga? Ukiona wamechapisha habari hii kwa gazeti lao kwamba Kenya imejenga barabara zaidi ya 10,000 km katika utawala wa rais Uhuru ujuwe wameshafanya utafiti wao.
cc joto la jiwe
 
.......... Geza Ulole. wewe ni mtu wa kushangaza sana..
hivi hapo mwanzoni, nilikuona kama wee ni mtu shupav anaye aminika.. mtu anaye simama na ukweli, pasipo kua na mapendeleo ama ubaguzi kati ya kenya ama tz.
mfano mzuri humu ni Tony na tuusan na pia kwa kiasi 7seven. ila wewe ni mzee bwege aliye join jf in 2004.!
watu wa hadhi zako ni watu wanao heshimika sana kwenye society, na pia ndo wanao patia ushauri ama advice kwa vijana au kizazi kijacho, ila ww ni tofaut sana na cohorts zako.........

hivi kwako unaona vizuri sana kua Render na what's on the ground is exactly the same.! lakini bado mzee mkongwe wa hadhi zako, atapata energy, ya ku oppose kitu ambacho kiko wazi kabisa! ata kipofu anaweza kuuona

render👇🏽View attachment 2278674

endgame👇🏽View attachment 2278675
sasa kama ni shoddy work unataka nisifie tu? Hebu nionyeshe that white concrete on the render kwenye hii interchange yenyu!
 
Ni miaka takribani mi2 imepita tokea magu afe nakukumbusha tuu we mkabila!!
Mwaka mmoja na miezi mitatu tangu afe! Chato Region was to encompass part of Kigoma and Kagera without a consent of the natives there. Since Samia isn't interested in that land grabbing plot engineered by JPM, the Wasukuma r now disregarding the farms of Kigoma natives as they r trying to occupy the land that was to be Chato Region! Go on the ground and u'll get the facts!

Mi simung'unyi mzee nakupa facts ya kinachoendelea soon watu watakatana mapanga Kigoma! Serikali ya Samia isiogope kuwakabili wafugaji wa Kisukuma hawako juu ya sheria!
 
Wewe ni mpumbavu kwa maana halisi kabisa ya kwenye kamusi!!
Tanga ni mkoa wa kilimo je wangewafukuza wamasai?
Morogoro imejaa wamasai na wakushi je wakulima wa moro wagome kosa moro ni mkoa wa kilimo?
Unajua nje ya kuna wasukuma wanafuga?
Wewe mpumbafu usietaka kuweka ukabila pembeni na kushughulisha ubongo wako utawananga wasukuma paka lini?
wachaga na wahaya
hamtakaa muongoze nchi sio mimi ni nyerere alisema na haitatokea!!
Mpumbafu mkabila wewe!!
kwahiyo Wamasai wamevamia Tanga? Nyoko wewe! Yaani mnavamia mashamba ya Waha halafu muachwe? Kwani hamjui taratibu? Kwahiyo Wasukuma mnatafuta vurugu za Morogoro Kigoma? Ni kweli Wachagga na Wahaya hawatatawala kwa sababu ya Msukuma aliyepewa madaraka akaingiza ukabila badala ya Utaifa wa kizalendo!
 
Back
Top Bottom