joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ile ya 1994 iliyofanywa na Professor Shija ni tofauti na hii "Technically". Wale walikua kila mmoja na viungo vyake kamili, hawa walikua wanashirikiana katika baadhi ya viungo vya ndani ya mwili Kama "Liver".Sawa kuna twitter page waliandika hivyo!
BTW Operations za conjoined twins Tanzania zimeanza tangu 1994!
![]()
Tanzania doctors successfully separate conjoined twins
Doctors in milestone surgery at Dar es Salaam hospitalwww.theeastafrican.co.ke
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app