Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania nzima hakuna double decker bus 🔨
IMG_20220629_085718.jpg
 
Waafrika na Afrik kwa ujumla wantakiwa kuthamini vitu vyao, nyumbani kwao, hii kuhangaika na nchi za watu watapotea wengi.

UN report iliyotoka kuhusiana na human trafficking, na organ trafficking wameonya watu kusafiri hovyo kwa kisingizio cha kupata kazi na masomo ndio inapelekea yote haya. Kwahiyo hapa wanasisitiza umakini sana kabla hujachukua hatua, hasa watu wanaofanya hii michakato kwa njia za panya.
Tatizo ni kuchukua njia za panya. Watu wanastahili kusafiri kwa njia halali. Migrants wengine wanalipa human traffickers hata $2,000 ambayo ni pesa nyingi mno mpaka unajiuliza si hio pesa angetumia kuboresha maisha yake nyumbani badala ya kuhangaika hivyo? Lakini Spain nao wameonyesha racism na unyama wa hali ya juu. Hii inaonyesha ni jinsi gani wanawaona Waafrika ni kama mbwa tu.
 
Gari ulikuwa ukipitisha bandarini DSM walikuwa wanakuongezea thamani ya gari na kuipandisha kodi ukipitisha mpakani inakuwa rahisi kuongea na maafisa wa TRA kushusha thamani na kulipa kodi kidogo ila sasa hilo tatizo halipo kwa mifumo ya sasa ya TRA.
Kama kuongea nao inamaanisha rushwa sawa ila gari mpya kuingiza Tanzania kupitia bandari za Tanzania au mipaka ya nchi kavu au airports bado kodi ni ileile.
 
Tatizo ni kuchukua njia za panya. Watu wanastahili kusafiri kwa njia halali. Migrants wengine wanalipa human traffickers hata $2,000 ambayo ni pesa nyingi mno mpaka unajiuliza si hio pesa angetumia kuboresha maisha yake nyumbani badala ya kuhangaika hivyo? Lakini Spain nao wameonyesha racism na unyama wa hali ya juu. Hii inaonyesha ni jinsi gani wanawaona Waafrika ni kama mbwa tu.
wacha kuongea mambo yasiyo ya msingi laiti ungewaona jinsi wanavyo paramia hovyo fance ya chuma iliyopo mpakani usingesema hivyo maana ilikuwa ni vurugu ..

huo ni ujinga wao wenyewe ningekuwa mkuu wa umoja wa mataifa ningeamuru hao wenye akili za mgando wanaohisi kwao hawawezi kufanya maendeleo wachapwe kiboko kimoja kimoja na kila mspain aliye kwemye hilo jimbo la hiyo border
 
Wacha kuwa na akili finyu. Hao nurses wakituma remittances nyumbani watoto wao na wazazi wao ndio watakaofaidika zaidi. Kumbuka salary yao majuu ni ×10 ya salary yao ya Kenya. Hawa kwanza wanaenda Oxford University Hospital ambayo ni one of the best hospitals in the whole world. Mshahara yao ni ndefu zaidi, nipo sure watapokea pesa nono sio mchezo.
Kumbe Tony akili yako inashindwa kuchakata mambo vizuri kweli remittances zinafaida nyingi kuliko input yao kwa Kenyan health services? wonders shall never cease to exist in Kenya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Dumb but feeds you, treats your people when they get sick, you buy from us than any other country in Africa, your people are here working to send money back than from any other country in Africa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kiongozi hii ni friendly fire. I meant the Kenyans are dumbest in east africa.
 
wacha kuongea mambo yasiyo ya msingi laiti ungewaona jinsi wanavyo paramia hovyo fance ya chuma iliyopo mpakani usingesema hivyo maana ilikuwa ni vurugu ..

huo ni ujinga wao wenyewe ningekuwa mkuu wa umoja wa mataifa ningeamuru hao wenye akili za mgando wanaohisi kwao hawawezi kufanya maendeleo wachapwe kiboko kimoja kimoja na kila mspain aliye kwemye hilo jimbo la hiyo border
Wewe huna huruma kabisa na Waafrika wenzako?
 
but please, heb note this common trait and features of informal settlements in advanced markets... shanties are well defined. they are tacked into one place. yani imemegwa kwa sehemu moja. in such case, the government or NGO can easily access and manage these places.

whereas in dar-is-slum.. slums are intertwined seamlessly with formal housing, such that approaching this under privileged pple becomes confusing and problematic to the gov't or NGOs

cc: REAL Comrade Kipepe,
joto la jiwe

khayelitsha👇🏽
42b3c930191bdcb1.jpg

kibra👇🏽
289d4155a0c888f7.jpg
 
Kumbe Tony akili yako inashindwa kuchakata mambo vizuri kweli remittances zinafaida nyingi kuliko input yao kwa Kenyan health services? wonders shall never cease to exist in Kenya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mzee kwa nini nurse abakie hapa Kenya na kulipwa ksh 40,000 kwa mwezi wakati anaweza kulipwa around ksh 300,000 kwa mwezi huko majuu? Tuseme awe anatuma ksh 80,000 nyumbani kila mwezi huoni kwamba hapo Kenya tumefaidika? Mbona hio hesabu ni rahisi sana na inakushinda?
 
Laurent Kabila was residing in Uganda!
This guy!

If you have zero knowledge of an issue, no need to debate.

Laurent Kabila was staying in Tanzania from 1960s. This is well documented in number of articles.

Che Guevara (code name 'tatu') while living at Cuban embassy in Dar es salaam wrote a well known book: Congo Dairy. In his book, he spoke of Laurent Kabila's way of life in Dar es salaam - "alchohol and women."

Go read the book and educate yourself.

SA Minister of Sport, Arts & Culture, Nathi Mthethwa.
 
Tatizo ni kuchukua njia za panya. Watu wanastahili kusafiri kwa njia halali. Migrants wengine wanalipa human traffickers hata $2,000 ambayo ni pesa nyingi mno mpaka unajiuliza si hio pesa angetumia kuboresha maisha yake nyumbani badala ya kuhangaika hivyo? Lakini Spain nao wameonyesha racism na unyama wa hali ya juu. Hii inaonyesha ni jinsi gani wanawaona Waafrika ni kama mbwa tu.
So sad kwa kweli kwa hiki kitu walichofanyiwa Waafrika wenzetu.
 
Sasa training FADRC ndo kupigana vita kumuondoa Mobutu? Mbona Mobutu alishapinduliwa na Kabila alishakuwa Rais?

Yaani unajisifu kwa sifa za uongo na kujaribu kuipaka matope Tanzania kuhusika kwenye ku-distabilize DRC?

Stop deviating from.the real issue here. That was separate topic.

Why you never answered this question?

So, how could the duo presidents handover leadership of the rebel group to Laurent Kabila without the knowledge and approval of our intelligensia?

Instead, you ridiculously claimed, Kabila was residing in Uganda. I thought, by providing some light, being a smart person, you were going to work on it.

Here we go:
An extract from: news24.com

"Joseph Kabila paid a three-day visit to Tanzania in May, during which he held talks with President Benjamin Mkapa and met with members of the Tanzanian business community.

Kabila did most of his secondary school education in Tanzania, living with his father Laurent Kabila who was in exile there before launching a rebellion and toppling the former dictator Mobutu Sese Seko in May 1997."

Full article: Kabila off to Tanzania
https://www.news24.com/news24/kabila-off-to-tanzania-20010703
https://www.news24.com/news24/kabila-off-to-tanzania-20010703
 
Back
Top Bottom