Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasikia ukiacha vioo wazi ndio inasababisha mafuta kwenda sana, maana gari linakua zito limejaa hewa na kusababisha nguvu nyingi itumike? Physics nilitembelea kichwa lakini [emoji1787]
Dah! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio naisikia kwako mkuu!!
 
Huyo nurse umemsomesha kwa gharama gani za walipa kodi wa Kenya? Halafu return on investment inatakiwa iende wapi? Kwenye mifuko ya watu ama kwa public service? Pia unajua nurse mmoja anaweza kuokoa shilling ngapi Kwenye lost man hour due to hospitalisation ya workforce let alone the economic and production costs involved due to out of work kwa kukosa huduma bora ya afya.
Wewe unaangalia tu upande mmoja. Mbona huangalii manufaa yanayotokana na familia ya huyu nurse kupata remittance? Hiyo remittance haitumiki kununua chakula tu na kulipia karo ya shule tu bali hata kununua viwanja na kujenga majumba. Mbona mna akili finyu? Hapa Kenya watu wanaoishi diaspora wamenunua viwanja vingi na kujenga majumba makubwa mengi ambayo familia zao zinaishi ndani. Hio sio faida kwa Wakenya? Akili finyu punguzeni.
Cc joto la jiwe
 
Ohk boss Tanzania ilikuwa behind removal of Mobutu! Happy? Ila story za kijiweni haziwezi kupanua fikra zako kujua kiini cha Mobutu kufurushwa kwa vile tu Joseph Kabila alikulia na aliishi Tanzania na alimtembelea Mkapa, basi na vita yao ni Tanzania walim-support! Jaribu kujua Congo's first and second wars, labda itakusaidia! Tanzania haikuhusika kwa namna yeyote ile kwenye vita!

Congo: The First and Second Wars, 1996-2003​

Posted by Mollie Zapata on November 29, 2011
Congo: The First and Second Wars, 1996-2003

Editor’s Note: This post is a brief history, intended to provide a contextual background for understanding the complex issues that the Enough Project works on. It is part of the series Enough 101.

The First Congo War: October 1996 – May 1997
The post-Mobutu phase of the Congo’s history cannot be understood without factoring in neighboring countries, and the 1994 Rwandan genocide was the spark that lit the regional fire. In the Rwandan genocide, Hutu-power groups (called the Interahamwe and the Impuzamugambi) led mass killings of Tutsis and pro-peace Hutus, murdering 800,000 people in approximately 100 days.

In response, the Tutsi-led Rwandan Patriotic Front, or RPF, overthrew the Rwandan Hutu government.

During and after the genocide, an estimated 2 million refugees, mostly Hutu, poured over Rwanda’s western border into the Congo.

The refugee camps in eastern Congo served as de facto army bases for the exiled Interhamwe and Army for the Liberation of Rwanda, or ALiR, genocidaires. They terrorized and robbed the local population with impunity until October 1996, when eastern Congolese Banyamulenge (Tutsi) led an uprising to force the Rwandans out of the Congo, sparking the First Congo War.

In response, Rwandan and Ugandan armies backing Laurent-Désiré Kabila invaded the Congo. The combined effort was called the Alliance of Democratic Forces for the Liberation of Congo-Zaire, or AFDL. By December they controlled eastern Congo, and in May 1997 they marched into Kinshasa and overthrew Mobutu’s government.

The country was re-named the Democratic Republic of Congo and Kabila took over as president in September 1997.

Second Congo War/ The Great War of Africa: August 1998 – July 2003

Despite the new government, the eastern Congo continued to be an unstable war zone. Kabila turned on his former backers (Rwanda and Uganda) and allowed Hutu armies to regroup in eastern Congo. This resulted in a Rwandan/Ugandan joint invasion in 1998.

Neighboring countries came to Kabila’s rescue and temporarily halted the Rwandan and Ugandan troops. The five-year conflict pitted Congolese government forces, supported by Angola, Namibia, and Zimbabwe, against rebels and soldiers backed by Uganda and Rwanda.

In July 1999, the seven countries involved signed the Lusaka Peace Accord and 5,000 U.N. peacekeepers (the United Nations Mission in the Democratic Republic of Congo, or MONUC) were sent to monitor the situation.

In January 2001, President Kabila was assassinated by his bodyguard, and his son, Joseph Kabila, took over.

Joseph Kabila proved to be an adept negotiator and in 2002 completed successful peace deals that finally saw Rwanda’s and Uganda’s withdrawal from the Congo.

In December 2002, Kabila negotiated a peace deal with internal rebel groups, promising them a power-sharing interim government. This deal became official when Kabila signed a transitional constitution in April 2003.

For more on the Congo’s history, read last week’s Enough 101 post, “Congo: Colonialism through Dictatorship, 1400s-1997.”

MY TAKE
Na kwa kifupi East Africa standby forces wanaenda kuliamsha tena Congo third war! This time Kenya akiwa new member na Uganda akiwa na a very advanced air capability huku kwa SADC forces Zimbabwe is out of the picture ila Namibia, Angola still there. Na namshauri Samia asipeleke TPDF huko!
Vita siyo nzuri hata kidogo. Sasa hapo tutarajie kupokea tena wakimbizi. Hii dunia hii!!!
 
Huyo nurse umemsomesha kwa gharama gani za walipa kodi wa Kenya? Halafu return on investment inatakiwa iende wapi? Kwenye mifuko ya watu ama kwa public service? Pia unajua nurse mmoja anaweza kuokoa shilling ngapi Kwenye lost man hour due to hospitalisation ya workforce let alone the economic and production costs involved due to out of work kwa kukosa huduma bora ya afya.
Hapa napita kimya kimya [emoji2211][emoji2211]
 
Unajua palipo na need ya kuprint money kila mara huvutia wawekezaji kwenye sector hiyo na ndio maana wamewekeza huko sababu ya hiyo tabia ya frequent money printing the rest ni grey areas kwenye hizo monetary policies mwitu zao.
Hapa pia [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Ikikolea vizuri Mikunya haiko mbali kuclaim 'Ligi Kuu' originated there!
Si rahisi, labda wawahi kuitrademark.. lkn tayar apps za score updates nyingi wameibrand ligi yetu kama "Ligi Kuu Bara".. ligi ya kenya inaitwa sijui "FKF Premier League"..
angalia hapa chini.. kama ni mfatiliaji mzur wa mpira utajua haraka hizi ligi nilizooredhesha hapa chin ni ligi za wap. thats the ligi (or competition) brands
eg
PSL = SA
NPFL = Nigeria
Botola Pro = Morocco
Ligi Kuu Bara = Tanzania
ETC
Screenshot_20220629-193306_Goal News.jpg
 
Vita siyo nzuri hata kidogo. Sasa hapo tutarajie kupokea tena wakimbizi. Hii dunia hii!!!
Mama hawezi kuingia mtego wa East Africa standby forces! Kule kunaenda kunuka! SADC wanaiangalia EAC na kimbelembele chake! Uganda na Rwanda wanasalitiana, sasa watawezaje kufanya kazi pamoja? Burundi sidhani kama wanaiva na Rwanda! KDF ni kimbelembele tu wanapeleka kule.
 
Wewe unaangalia tu upande mmoja. Mbona huangalii manufaa yanayotokana na familia ya huyu nurse kupata remittance? Hiyo remittance haitumiki kununua chakula tu na kulipia karo ya shule tu bali hata kununua viwanja na kujenga majumba. Mbona mna akili finyu? Hapa Kenya watu wanaoishi diaspora wamenunua viwanja vingi na kujenga majumba makubwa mengi ambayo familia zao zinaishi ndani. Hio sio faida kwa Wakenya? Akili finyu punguzeni.
Cc joto la jiwe
Wewe umefaidikaje na hivyo viwanja walivyonunua diaspora labda tuanzie hapo kwanza kabla ya kuendelea nataka nipime uwezo wako wa kufikiri.
 
Ohk boss Tanzania ilikuwa behind removal of Mobutu! Happy? Ila story za kijiweni haziwezi kupanua fikra zako kujua kiini cha Mobutu kufurushwa kwa vile tu Joseph Kabila alikulia na aliishi Tanzania na alimtembelea Mkapa, basi na vita yao ni Tanzania walim-support! Jaribu kujua Congo's first and second wars, labda itakusaidia! Tanzania haikuhusika kwa namna yeyote ile kwenye vita.

Let me keep it this way, I dont consider it a battle to win supremacy. Facts are, Zaire, Malawi and Kenya were all surrogate states of western imperialists and they all played a dazzling role throughout the cold war in favor of western countries.

Zaire forces along with FNLA (Holden Roberto) and UNITA (Savimbi) invaded Angola a number of times, and it was Mobutu who promoted FLEC in Cabinda enclave.

Neither Tanzania, Angola, Namibia, South Africa, Mozambique nor Zimbabwe liked Mobutu. They all wanted him gone and played their parts in that mission however small.

The article news24.com I posted, is eloquently clear where Laurent Kabila stayed. Sio Uganda kama ulivyodai, sasa hizo ndio story za Vijiweni.
 
Wewe umefaidikaje na hivyo viwanja walivyonunua diaspora labda tuanzie hapo kwanza kabla ya kuendelea nataka nipime uwezo wako wa kufikiri.
Wewe kichwa chako ni mbaya. Ni lazima mimi nifaidike ili remittance iwe na manufaa? Wakenya wengine wakifaidika na mimi nisifaidike basi remittance haina manufaa Kenya sio?
 
Wewe umefaidikaje na hivyo viwanja walivyonunua diaspora labda tuanzie hapo kwanza kabla ya kuendelea nataka nipime uwezo wako wa kufikiri.
Tuseme kwa mfano 0.5% ya Wakenya wamepata nyumba ya kuishi kupitia remittance hio sio faida kwa uchumi wa Kenya?
 
Let me keep it this way, I dont consider it a battle to win supremacy. Facts are, Zaire, Malawi and Kenya were all surrogate states of western imperialists and they all played a dazzling role throughout the cold war in favor of western countries.

Zaire forces along with FNLA (Holden Roberto) and UNITA (Savimbi) invaded Angola a number of times, and it was Mobutu who promoted FLEC in Cabinda enclave.

Neither Tanzania, Angola, Namibia, South Africa, Mozambique nor Zimbabwe liked Mobutu. They all wanted him gone and played their parts in that mission however small.

The article news24.com I posted, is eloquently clear where Laurent Kabila stayed. Sio Uganda kama ulivyodai, sasa hizo ndio story za Vijiweni.
FYI Laurent Kabila hakuwa anakaa sehemu moja! By 1995-1996 alikuwa Uganda japokuwa familia ilikuwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom