Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ukiwa presidential candidate unapewa top level security na resources by the government. Bongo opponents hawapewi kitu, hata kuweka billboards CCM hawawezi kubali. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Take Notes.

Image

Are you sure hawapewi ulinzi wala billboards PAs ?
 
Refugees wa Kiafrika waliokuwa wanajaribu kuingia nchi ya Spain wamepigwa kama mbwa na wengi wameuwawa au kujeruhiwa vibaya. Hii imefanyika katika territory ya Spain ambayo ipo Africa karibu na Morocco. Unyama ulioje?



Huwakosi wakenya wenzio hapo
 
Waafrika na Afrik kwa ujumla wantakiwa kuthamini vitu vyao, nyumbani kwao, hii kuhangaika na nchi za watu watapotea wengi.

UN report iliyotoka kuhusiana na human trafficking, na organ trafficking wameonya watu kusafiri hovyo kwa kisingizio cha kupata kazi na masomo ndio inapelekea yote haya. Kwahiyo hapa wanasisitiza umakini sana kabla hujachukua hatua, hasa watu wanaofanya hii michakato kwa njia za panya.
Unamweleza hayo mtu ambae taifa lake linashangilia kupeleka manesi 19 kuwuhudumia wazungu?
 
Kenya ukiwa presidential candidate unapewa top level security na resources by the government. Bongo opponents hawapewi kitu, hata kuweka billboards CCM hawawezi kubali. 🤣 🤣 🤣 Take Notes.

Image
Kupewa security ni wewe tu utake

Security inatolewa sio kwa wanasiasa tu mpaka kwa wasio kwenye siasa

Huu ni msafara wa kiongozi wa dini huko Lindi lakini una security kama msafara wa Kenyatta

 
Kupewa security ni wewe tu utake

Security inatolewa sio kwa wanasiasa tu mpaka kwa wasio kwenye siasa

Huu ni msafara wa kiongozi wa dini huko Lindi lakini una security kama msafara wa Kenyatta


Kama mungekua munapeana security Tundu Lisu hangepigwa risasi.
 
Stop deviating from.the real issue here. That was separate topic.

Why you never answered this question?
e


Instead, you ridiculously claimed, Kabila was residing in Uganda. I thought, by providing some light, being a smart person, you were going to work on it.

Here we go:
An extract from: news24.com



Full article: Kabila off to Tanzania
Kabila off to Tanzania | News24
Kabila off to Tanzania | News24
Ohk boss Tanzania ilikuwa behind removal of Mobutu! Happy? Ila story za kijiweni haziwezi kupanua fikra zako kujua kiini cha Mobutu kufurushwa kwa vile tu Joseph Kabila alikulia na aliishi Tanzania na alimtembelea Mkapa, basi na vita yao ni Tanzania walim-support! Jaribu kujua Congo's first and second wars, labda itakusaidia! Tanzania haikuhusika kwa namna yeyote ile kwenye vita!


Congo: The First and Second Wars, 1996-2003​

Posted by Mollie Zapata on November 29, 2011
Congo: The First and Second Wars, 1996-2003

Editor’s Note: This post is a brief history, intended to provide a contextual background for understanding the complex issues that the Enough Project works on. It is part of the series Enough 101.

Acronyms to Know:
RPF – Rwandan Patriotic Front
ALiR – Army for the Liberation of Rwanda
AFDL – Alliance of Democratic Forces for the Liberation of Congo-Zaire
MONUC – United Nations Mission in the Democratic Republic of Congo

The First Congo War: October 1996 – May 1997
The post-Mobutu phase of the Congo’s history cannot be understood without factoring in neighboring countries, and the 1994 Rwandan genocide was the spark that lit the regional fire. In the Rwandan genocide, Hutu-power groups (called the Interahamwe and the Impuzamugambi) led mass killings of Tutsis and pro-peace Hutus, murdering 800,000 people in approximately 100 days.

In response, the Tutsi-led Rwandan Patriotic Front, or RPF, overthrew the Rwandan Hutu government.

During and after the genocide, an estimated 2 million refugees, mostly Hutu, poured over Rwanda’s western border into the Congo.

The refugee camps in eastern Congo served as de facto army bases for the exiled Interhamwe and Army for the Liberation of Rwanda, or ALiR, genocidaires. They terrorized and robbed the local population with impunity until October 1996, when eastern Congolese Banyamulenge (Tutsi) led an uprising to force the Rwandans out of the Congo, sparking the First Congo War.

In response, Rwandan and Ugandan armies backing Laurent-Désiré Kabila invaded the Congo. The combined effort was called the Alliance of Democratic Forces for the Liberation of Congo-Zaire, or AFDL. By December they controlled eastern Congo, and in May 1997 they marched into Kinshasa and overthrew Mobutu’s government.

The country was re-named the Democratic Republic of Congo and Kabila took over as president in September 1997.

Second Congo War/ The Great War of Africa: August 1998 – July 2003

Despite the new government, the eastern Congo continued to be an unstable war zone. Kabila turned on his former backers (Rwanda and Uganda) and allowed Hutu armies to regroup in eastern Congo. This resulted in a Rwandan/Ugandan joint invasion in 1998.

Neighboring countries came to Kabila’s rescue and temporarily halted the Rwandan and Ugandan troops. The five-year conflict pitted Congolese government forces, supported by Angola, Namibia, and Zimbabwe, against rebels and soldiers backed by Uganda and Rwanda.

In July 1999, the seven countries involved signed the Lusaka Peace Accord and 5,000 U.N. peacekeepers (the United Nations Mission in the Democratic Republic of Congo, or MONUC) were sent to monitor the situation.

In January 2001, President Kabila was assassinated by his bodyguard, and his son, Joseph Kabila, took over.

Joseph Kabila proved to be an adept negotiator and in 2002 completed successful peace deals that finally saw Rwanda’s and Uganda’s withdrawal from the Congo.

In December 2002, Kabila negotiated a peace deal with internal rebel groups, promising them a power-sharing interim government. This deal became official when Kabila signed a transitional constitution in April 2003.

The International Rescue Committee said that between August 1998 and April 2004 (when a bulk of the fighting occurred) some 3.8 million people died in the Congo.

For more on the Congo’s history, read last week’s Enough 101 post, “Congo: Colonialism through Dictatorship, 1400s-1997.”


MY TAKE
Na kwa kifupi East Africa standby forces wanaenda kuliamsha tena Congo third war! This time Kenya akiwa new member na Uganda akiwa na a very advanced air capability huku kwa SADC forces Zimbabwe is out of the picture ila Namibia, Angola still there. Na namshauri Samia asipeleke TPDF huko!
 
Nasikia ukiacha vioo wazi ndio inasababisha mafuta kwenda sana, maana gari linakua zito limejaa hewa na kusababisha nguvu nyingi itumike? Physics nilitembelea kichwa lakini [emoji1787]
That applies only when you are in high speed 'highway' ..
  • Anaewasha AC kwenye folen au anaetembea kidogokidogo anatumia mafuta mengi kuliko aliefungua dirisha
  • Anaendesha kwa speed kubwa na akawasha AC anatumia mafuta kidogo kuliko aliefungua dirisha

Wanasema ili usave mafuta "roll the windows down at lower speeds and use the AC at highway speeds"
 
Mzee kwa nini nurse abakie hapa Kenya na kulipwa ksh 40,000 kwa mwezi wakati anaweza kulipwa around ksh 300,000 kwa mwezi huko majuu? Tuseme awe anatuma ksh 80,000 nyumbani kila mwezi huoni kwamba hapo Kenya tumefaidika? Mbona hio hesabu ni rahisi sana na inakushinda?
Huyo nurse umemsomesha kwa gharama gani za walipa kodi wa Kenya? Halafu return on investment inatakiwa iende wapi? Kwenye mifuko ya watu ama kwa public service? Pia unajua nurse mmoja anaweza kuokoa shilling ngapi Kwenye lost man hour due to hospitalisation ya workforce let alone the economic and production costs involved due to out of work kwa kukosa huduma bora ya afya.
 
Back
Top Bottom