Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipindi vita ya kumuondoa Mobutu inaanza alikuwa anaishi Uganda! Joseph Kabila kusomea Tanzania au kuishi Dar hakumaanishi na baba pia!
Sasa atazaliwaje Tanzania Kama wazazi hawaishi Tanzania?. Kabila na Museven walikua wanaishi majirani Sana pale Oysterbay kwa zaidi ya miaka 6, watoto wao wote waliwazaa hapo, Joseph Kabila alikua na kijiwe chake pale Magomeni mapipa.

Baada ya Museven kuwa rais Uganda 1986, na Nyerere kustaafu, Mzee Kabila Kama yeye ndiye aliyekwenda Uganda kuendeleza mapambano, ila familia yake ilibaki Tanzania, kumbuka ni rahisi kuishambulia DRC kutokea Uganda kuliko kutokea Tanzania.

Joseph Kabila anajua Kiswahili zaidi ya kifaransa, kilingala au Kiingereza, tena Kiswahili cha Kitanzania, ninakumbuka siku za mwanzo kabila baada ya kuchukua madaraka, alikua akienda kuhutubia lazima atumie wakalimani, hakua akijua lugha za huko

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo nyie mmeshamaliza matatizo ya huduma za afya hapo kwenu sio? Number of health workers per population yenu iko vizuri kuliko UK. Ukisikia a typical resource or brain drain ndio hii sasa yani the Government spends millions of shillings creating qualified human resource pool that was supposed to help in revolutionising health services in the country lakini happily mnawapeleka kwa nchi zinazojiweza kiuchumi. Kama UK wana shida ya health workers kwanini wasitangaze scholarships za watoa huduma za afya tenable in UK kwa African countries or Kenya in particular? Why wait others wasomeshe kwa gharama zao wao wajichukulie kiurahisi na kufaidi jasho la walipa kodi wa Kenya hii ni skills poaching ambayo inaturudisha nyuma sisi waafrica. Nurses walioenda UK definitely watafaidika ila nchi itakula hasara.
Umeeleza vizuri Sana mkuu, hawa wakenya hawajielewi kabisa, yaani kwao wazungu hata wakichukua wake zao wanafurahi[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi uwezo wenu wa kufikiria siku zote ni mdogo Sana, tatizo la nchi zetu hizi ni uwezo mdogo wa kutengeneza ajira kwa wasomi wachache wanaozalishwa nchini, sio kwamba mnazalisha "Nurses" wengi.

Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba UK wanazalisha idadi kubwa ya Nurses kila mwaka kuzidi Nurses wote wanaozalishwa katika nchi za EAC kwa mwaka mmoja, lakini bado UK wanahitaji Nurses wengi zaidi, wakati huku kwetu hawana ajira.

Ni ujinga kufikiria kwamba Kenya Kuna Nurses wengi zaidi ya wanahitajika, tatizo ni uwezo mdogo wa nchi yenu kuwapa ajira, Sasa ufumbuzi wake ni
1)Kuongeza uwezo wa kuwapa ajira na sio kuwapeleka nje ya nchi
2)Kuzalisha idadi ya Nurses kulingana na mahitaji ya nchi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Why are you so much concerned about this issue like Tanzania is doing any better? If I may ask you, what's the total number of nurses (registered nurses) does Tanzania produce in a year? How many of them are consumed and have been consumed so far? What about renumerations and working conditions? If Tanzania is not performing better than Kenya in any of these areas, then I don't understand your obsession with this issue.

You say we should look into ways to create employment for them domestically. Well, how many such opportunities have you created for your own nurses as a country in comparison to Kenya?

UK maybe producing more nurses than Kenya and that's a fact, but it's also a fact that Kenya produces more nurses than Tanzania so nikisema we produce more nipo sahihi. You are even admitting that nurses huku kwetu (Africa) hawana ajira but at the same time criticizing an initiative that has given a few of them an employment opportunity. Isn't this doublespeak?

Nchi zetu ziko na tatizo la ajira. What's wrong with sending a few people out of the country to create more room for others domestically? Think bongolala, think!
 
Sasa watu 19 kupata kazi Uingereza ndio inakuuma hivi? Wangekuwa watu elfu moja je? [emoji2]
Those 19 positions will be filled by othes. We don't have a shortage of nurses for crying out loud! We are just trying to create more room for employment. Wewe endelea kulalamika hapo Tandale
Kinachoniuma ni ujinga uliojaa vichwani mwenu, wazungu wakichukua "Natural resources" za Africa mnapiga kelele, lakini wakichukua "human resource" ambayo imegharamiwa na pesa za walipa Kodi, ninyi kwa upumbavu wenu mnachekelea na kuunga mkono.

Sasa Kati ya dhahabu au wanyama wa porini na "Skilled workers" nini kinahitajika zaidi hapa Afrika?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Why are you so much concerned about this issue like Tanzania is doing any better? If I may ask you, what's the total number of nurses (registered nurses) does Tanzania produce in a year? How many of them are consumed and have been consumed so far? What about renumerations and working conditions? If Tanzania is not performing better than Kenya in any of these areas, then I don't understand your obsession with this issue.

You say we should look into ways to create employment for them domestically. Well, how many such opportunities have you created for your own nurses as a country in comparison to Kenya?

UK maybe producing more nurses than Kenya and that's a fact, but it's also a fact that Kenya produces more nurses than Tanzania so nikisema we produce more nipo sahihi. You are even admitting that nurses huku kwetu (Africa) hawana ajira but at the same time criticizing an initiative that has given a few of them an employment opportunity. Isn't this doublespeak?

Nchi zetu ziko na tatizo la ajira. What's wrong with sending a few people out of the country to create more room for others domestically? Think bongolala, think!
Nipo concern kwasababu Kenya mpo na matatizo mengi kutokana na ujinga wenu. Kwanini ninyi wakenya juzi mlifuatilia tatizo la Ngorongorio kuliko nchi yoyote Ile, Sasa kwanini unanishangaa Mimi nikiwa "concerned na Mambo ya Kenya?.

Sababu ingine ni kwamba, wakenya wengi Sana wanavuka mpaka na kuja kutafuta huduma za Afya Tanzania, hasa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na mkoa wa Mara.

Tanzania tunazalisha Nurses na Doctors wengi kwa mwaka kuliko Kenya, miaka miwili iliyopita Tanzania tulikua tunazalisha madaktari 1200 kwa mwaka, Uganda 900 na Kenya 700 kwa mwaka(you can confirm through Google).

Muhimu zaidi ni kwamba sehemu kubwa ya Nurses na Doctors wanapata ajira, ni wale tu ambao bado hawajapata ajira ndio huruhusiwa kwenda kufanyakazi nje.

Kumbuka Kenya mlipoomba msaada wa madaktari 500 kufuatia mgomo wa madaktari huko Kenya, tulisema wale ambao hawajapata ajira, au wastaafu ndio watume barua za maombi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi uwezo wenu wa kufikiria siku zote ni mdogo Sana, tatizo la nchi zetu hizi ni uwezo mdogo wa kutengeneza ajira kwa wasomi wachache wanaozalishwa nchini, sio kwamba mnazalisha "Nurses" wengi.

Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba UK wanazalisha idadi kubwa ya Nurses kila mwaka kuzidi Nurses wote wanaozalishwa katika nchi za EAC kwa mwaka mmoja, lakini bado UK wanahitaji Nurses wengi zaidi, wakati huku kwetu hawana ajira.

Ni ujinga kufikiria kwamba Kenya Kuna Nurses wengi zaidi ya wanaohitajika, tatizo ni uwezo mdogo wa nchi yenu kuwapa ajira, Sasa ufumbuzi wake ni
1)Kuongeza uwezo wa kuwapa ajira na sio kuwapeleka nje ya nchi
2)Kuzalisha idadi ya Nurses kulingana na mahitaji ya nchi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hao wamelemazwa na remittances mkuu. Mimi sikuona haja ya kumjibu maana nilisha analyse akili yake and found it wanting.
 
Kinachoniuma ni ujinga uliojaa vichwani mwenu, wazungu wakichukua "Natural resources" za Africa mnapiga kelele, lakini wakichukua "human resource" ambayo imegharamiwa na pesa za walipa Kodi, ninyi kwa upumbavu wenu mnachekelea na kuunga mkono.

Sasa Kati ya dhahabu au wanyama wa porini na "Skilled workers" nini kinahitajika zaidi hapa Afrika?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hao skilled workers you crying about tumewazidi. instead of spending too much time talking about this issue, you should be worried about your country's poor nurse-patient ratio. You have more pressing issues to deal with as a country and Kenya sending nurses to the UK is definitely not one of them
 
Kwani ukiingiza kupitia mipakani ndio kodi inapungua?
Wafanyabiashara walikuwa wakisema hivyo. Kwamba kuna unafuu mkubwa sana, pia kuokoa muda kutoa bidhaa zao bandarini huku kwetu zilikuwa zikichelewa sana.Alipokuja Magufuli akafanya mabadiliko mengi ikiwemo bidhaa kuwahi kutoka bandarini.
 
Kinachoniuma ni ujinga uliojaa vichwani mwenu, wazungu wakichukua "Natural resources" za Africa mnapiga kelele, lakini wakichukua "human resource" ambayo imegharamiwa na pesa za walipa Kodi, ninyi kwa upumbavu wenu mnachekelea na kuunga mkono.

Sasa Kati ya dhahabu au wanyama wa porini na "Skilled workers" nini kinahitajika zaidi hapa Afrika?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hataelewa mpaka mwisho wa dunia. Labda nitumie maneno pendwa they are the most dumb lot in EAC.
 
Why are you so much concerned about this issue like Tanzania is doing any better? If I may ask you, what's the total number of nurses (registered nurses) does Tanzania produce in a year? How many of them are consumed and have been consumed so far? What about renumerations and working conditions? If Tanzania is not performing better than Kenya in any of these areas, then I don't understand your obsession with this issue.

You say we should look into ways to create employment for them domestically. Well, how many such opportunities have you created for your own nurses as a country in comparison to Kenya?

UK maybe producing more nurses than Kenya and that's a fact, but it's also a fact that Kenya produces more nurses than Tanzania so nikisema we produce more nipo sahihi. You are even admitting that nurses huku kwetu (Africa) hawana ajira but at the same time criticizing an initiative that has given a few of them an employment opportunity. Isn't this doublespeak?

Nchi zetu ziko na tatizo la ajira. What's wrong with sending a few people out of the country to create more room for others domestically? Think bongolala, think!
Nicxie Wachana na huyo jamaa, you will not change his mind on this issue. Alianza kuhisi wivu tangu ile siku nilipost article yenye inasema Kenya inapokea remittance ya $3.5 billion kila mwaka. Akashikwa na wivu akaanza kusema eti remittance haina umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya. Then akasema eti Kenya tunaexport vijakazi wanaokwenda Uarabuni kuteswa na kuuwawa. You are basically arguing with someone who is very jealous of Kenya's big diaspora population because he knows Tanzania has a tiny diaspora population. Anasema wao sio lazima watoke nje ya nchi yao kwa sababu wao wana chakula ya kutosha na Kenya tunatoka nje kwa sababu hatuna chakula. Very low IQ arguments 🤣 😂

Cc joto la jiwe
 
Sasa wewe uliyekwenda kusoma nje kwa kulipiwa kila kitu unasema umejituma, Je sisi tuliokwenda kwa kutumia pesa yetu tuliolimbikiza wenyewe na kujisomesha huko Ulaya (Western Europe) unataka tujiiteje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yeye anazungumzia kujituma katika kusoma na kupata alama nzuri zaidi ambazo zilimsaidia kupita kwenye mchujo, kama sijakosea alichomaanisha.

Wewe kama kila kitu umejitegemea mpaka kwenda Ulaya basi umefanya kazi kubwa zaidi. Umejituma zaidi.
 
Kwahiyo nyie mmeshamaliza matatizo ya huduma za afya hapo kwenu sio? Number of health workers per population yenu iko vizuri kuliko UK. Ukisikia a typical resource or brain drain ndio hii sasa yani the Government spends millions of shillings creating qualified human resource pool that was supposed to help in revolutionising health services in the country lakini happily mnawapeleka kwa nchi zinazojiweza kiuchumi. Kama UK wana shida ya health workers kwanini wasitangaze scholarships za watoa huduma za afya tenable in UK kwa African countries or Kenya in particular? Why wait others wasomeshe kwa gharama zao wao wajichukulie kiurahisi na kufaidi jasho la walipa kodi wa Kenya hii ni skills poaching ambayo inaturudisha nyuma sisi waafrica. Nurses walioenda UK definitely watafaidika ila nchi itakula hasara.
Wacha kuwa na akili finyu. Hao nurses wakituma remittances nyumbani watoto wao na wazazi wao ndio watakaofaidika zaidi. Kumbuka salary yao majuu ni ×10 ya salary yao ya Kenya. Hawa kwanza wanaenda Oxford University Hospital ambayo ni one of the best hospitals in the whole world. Mshahara yao ni ndefu zaidi, nipo sure watapokea pesa nono sio mchezo.
 
Back
Top Bottom