Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nipo concern kwasababu Kenya mpo na matatizo mengi kutokana na ujinga wenu. Kwanini ninyi wakenya juzi mlifuatilia tatizo la Ngorongorio kuliko nchi yoyote Ile, Sasa kwanini unanishangaa Mimi nikiwa "concerned na Mambo ya Kenya?.

Sababu ingine ni kwamba, wakenya wengi Sana wanavuka mpaka na kuja kutafuta huduma za Afya Tanzania, hasa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na mkoa wa Mara.

Tanzania tunazalisha Nurses na Doctors wengi kwa mwaka kuliko Kenya, miaka miwili iliyopita Tanzania tulikua tunazalisha madaktari 1200 kwa mwaka, Uganda 900 na Kenya 700 kwa mwaka(you can confirm through Google).

Muhimu zaidi ni kwamba sehemu kubwa ya Nurses na Doctors wanapata ajira, ni wale tu ambao bado hawajapata ajira ndio huruhusiwa kwenda kufanyakazi nje.

Kumbuka Kenya mlipoomba msaada wa madaktari 500 kufuatia mgomo wa madaktari huko Kenya, tulisema wale ambao hawajapata ajira, au wastaafu ndio watume barua za maombi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hot air gossip that can't be backed up by any proof. Look Joto, you can't win an argument by just ranting. You claim Tanzania produce more health professionals yet you can't prove the claims. If you produce more nurses than Kenya, then where are they if your nurse-patient ratio per 1,000 patients still stands at a low of 0.6? We are at 1.2 ( double your figures) and you are still much concerned about us? 😃😃. You must be sick in the head

In matters physicians/doctors, you claim to produce more than us while statistical data shows you score a paltry 0.1 against Kenya's 0.2 when it comes to doctor-patient ratio per a thousand patients. Again, we've doubled your figures

Sasa hao madaktari na manesi "mnaozalisha" kutushinda wako wapi? But as usual, you and your gang will deny these figures with all your strength and might! But do we even care? 😂😂😂

About Kenyans crossing over to Tanzania, you know it was a secluded case coz it only happened during doctors' strike. It's even laughable that you are using it to base your argument on. Adios!
 
Wacha kuwa na akili finyu. Hao nurses wakituma remittances nyumbani watoto wao na wazazi wao ndio watakaofaidika zaidi. Kumbuka salary yao majuu ni ×10 ya salary yao ya Kenya. Hawa kwanza wanaenda Oxford University Hospital ambayo ni one of the best hospitals in the whole world. Mshahara yao ni ndefu zaidi, nipo sure watapokea pesa nono sio mchezo.
Kwahiyo wakenya walichangia Kodi zao wakawasomesha ili baadae wawape huduma wakiumwa mtawapeleka Oxford Hospital au mtawaleta Tanzania?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hot air gossip that can't be backed up by any proof. Look Joto, you can't win an argument by just ranting. You claim Tanzania produce more health professionals yet you can't prove the claims. If you produce more nurses than Kenya, then where are they if your nurse-patient ratio per 1,000 patients still stands at a low of 0.6? We are at 1.2 ( double your figures) and you are still much concerned about us? [emoji2][emoji2]. You must be sick in the head

In matters physicians/doctors, you claim to produce more than us while statistical data shows you score a paltry 0.1 against Kenya's 0.2 when it comes to doctor-patient ratio per a thousand patients. Again, we've doubled your figures

Sasa hao madaktari na manesi "mnaozalisha" kutushinda wako wapi? But as usual, you and your gang will deny these figures with all your strength and might! But do we even care? [emoji23][emoji23][emoji23]

About Kenyans crossing over to Tanzania, you know it was a secluded case coz it only happened during doctors' strike. It's even laughable that you are using it to base your argument on. Adios!
Wewe upo Dunia gani?

Stupidity at the highest level, you bring data of 2014, almost 8yrs old, bring most recent data.

What is happening on the ground is what matters most

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nicxie Wachana na huyo jamaa, you will not change his mind on this issue. Alianza kuhisi wivu tangu ile siku nilipost article yenye inasema Kenya inapokea remittance ya $3.5 billion kila mwaka. Akashikwa na wivu akaanza kusema eti remittance haina umuhimu wowote katika uchumi wa Kenya. Then akasema eti Kenya tunaexport vijakazi wanaokwenda Uarabuni kuteswa na kuuwawa. You are basically arguing with someone who is very jealous of Kenya's big diaspora population because he knows Tanzania has a tiny diaspora population. Anasema wao sio lazima watoke nje ya nchi yao kwa sababu wao wana chakula ya kutosha na Kenya tunatoka nje kwa sababu hatuna chakula. Very low IQ arguments 🤣 😂

Cc joto la jiwe
Huyu hata angeumbwa tu nzi, tungesamsahau after seven days. His hatred and jealousy is poisonous! I wonder where he gets all this energy from. You can't be jealous seven days a week.

Their small diaspora population is not our problem nor is it our creation. They should blame it on ujamaa that limited them in so many ways. Kama hiyo ndio inamuuma then bado ataumwa sana 😂
 
Hataelewa mpaka mwisho wa dunia. Labda nitumie maneno pendwa they are the most dumb lot in EAC.
Dumb but feeds you, treats your people when they get sick, you buy from us than any other country in Africa, your people are here working to send money back than from any other country in Africa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yeye anazungumzia kujituma katika kusoma na kupata alama nzuri zaidi ambazo zilimsaidia kupita kwenye mchujo, kama sijakosea alichomaanisha.

Wewe kama kila kitu umejitegemea mpaka kwenda Ulaya basi umefanya kazi kubwa zaidi. Umejituma zaidi.
Hahaha. Usikubali huyo jamaa akudanganye. Alisomea ulaya vipi na yeye mwenyewe alisema wazi kwamba alipata division 4 katika form four?

Screenshot_20220629-110822.png

Nyingine hii hapa 👇 👇 👇

Screenshot_20220629-110838.png
 
Wewe upo Dunia gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

How is this even connected with the topic of discussion? Mtu kupelekwa India for specialized treatment inahusikanaje na nyinyi kuwa na ratio ya manesi ya 0.6 per 1,000 people? See? You always run away from your problems when cornered with facts. Instead of giving reasons why you score such low figures even after claiming you produce and employ more nurses than Kenya, umeenda kutafuta vijimaneno ba vijisababu just to run away from your hard realities!!
 
Kuna tofauti kubwa ya kuwa na office na kuwa na headquarters. Hayo ni mambo mawili tofauti. Headquarters za UN ndio hizi hapa. Hata World Bank na IMF zina ofisi katika nchi nyingi ila headquarters yao ni USA.
View attachment 2273053
hamna headquarter yeyote acheni ujinga,headquarter zipo huko kwao hizo ni ofisi kama ofisi zingine tu
 
Wewe upo Dunia gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

How is this even connected with the topic of discussion? Mtu kupelekwa India for specialized treatment inahusikanaje na nyinyi kuwa na ratio ya manesi ya 0.6 per 1,000 people waaMs+i88? See? You always run away from your problems when cornered with facts. Instead of giving reasons why you score such low figures even after claiming you produce and employ more nurses than Kenya, umeenda kutafuta vijimaneno ba vijisababu just to run away from your hard realitied
Stupidity at the highest level, you bring data of 2014, almost 8yrs old, bring most recent data.

What is happening on the ground is what matters most

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

I knew it. If between 1961-to 2014 that is the situation kwa ground, you think a miracle has happened between 2015 and 2022? Didn't you realize that even our figures in that data ni za 2017?
 
@Tony254 hii ni jibu kwa Kenya baada ya Kenya kuongeza Kodi kwenye gas ya kupikia toka Tanzania na wewe uliunga mkono hilo

Kama ninavyokuambia kwamba Tanzania huwa tunajibu mapigo baada ya Kenya kuanzisha chokochoko "always".

Mara nyingi nilikuambia kwamba, Kenya hamuwezi kuelewana na kiongozi yeyote yule, ulikua ukisema kwamba mama Samia Hana chuki na Kenya Kama Magufuli, chokochoko za biashara hazitokuwepo tena, Sasa kikowapi mbona zinaendelea pamoja na mama Samia kujishusha na kumfedhehesha Magufuli kwenu kwamba yeye ndiye aliyekua chanzo cha migogoro Kati ya Kenya na Tanzania?. Ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

kama watashindwana na huyu mama sijui wataendana na nani . Wapumbavu sana hawa wakunya
 
Hahaha. Usikubali huyo jamaa akudanganye. Alisomea ulaya vipi na yeye mwenyewe alisema wazi kwamba alipata division 4 katika form four?

View attachment 2276194
Nyingine hii hapa [emoji116] [emoji116] [emoji116]

View attachment 2276197
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani mnanifurahisha hatari. Joto la jiwe njoo ukane au uthibitishe hizi allegations??
 
Back
Top Bottom