Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe una chuki za kike. Kenyan nurses are sought after not just in the UK but other countries as well. I have a relative nurse working in Arkansas, left employment here in Kenya when the opportunity presented itself.

Why Kenya and not Tanzania or any other country in the region? It's about quality, self-drive and other admirable attributes that Kenyan professionals are well-known for. Wewe endelea kulia wakati watu wanaenda kupiga hela
Wapo Watz wengi wanaenda nje za nchi kwa ajili ya kazi sema hii huwa sio habari nzuri kwa nchi, ni aibu sn kwa nchi kusomesha madaktari na manesi wake kwa gharama alafu wanaenda kusaidia jamii nyingine, hii ni aibu sn japo majinga kama wewe na waziri wako mnashangilia.
 
manesi wenu wanafanya kazi wapi nchi za nje?
 
😂😂jamaa kawang'ata afu akawapuliza
eti Africa's largest urban slum hapohapo kawasifia kataja kenya's richest square mile
It is not just Kenya's richest square mile, it is East Africa's richest square mile
 
haya expressway hio tayar kumenuka🤣🤣🤣🤣
139CCB56-D73E-4D45-A155-7B4EAAAD1ABA.jpeg

6CB791CB-C9B6-4CA4-BFB3-89A2199AD0D9.jpeg
EA69C823-221D-4C6C-98AF-9E13DA9263ED.jpeg
75AB3C04-4885-48F8-8A5A-C3AE814DCBFF.jpeg

Refugees wa Kiafrika waliokuwa wanajaribu kuingia nchi ya Spain wamepigwa kama mbwa na wengi wameuwawa au kujeruhiwa vibaya. Hii imefanyika katika territory ya Spain ambayo ipo Africa karibu na Morocco. Unyama ulioje?

Waafrika na Afrik kwa ujumla wantakiwa kuthamini vitu vyao, nyumbani kwao, hii kuhangaika na nchi za watu watapotea wengi.

UN report iliyotoka kuhusiana na human trafficking, na organ trafficking wameonya watu kusafiri hovyo kwa kisingizio cha kupata kazi na masomo ndio inapelekea yote haya. Kwahiyo hapa wanasisitiza umakini sana kabla hujachukua hatua, hasa watu wanaofanya hii michakato kwa njia za panya.
 
Back
Top Bottom