Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waga sina utani, juzi niliianika mbeya hapa. Hata zanzibar pia ni bonge la slum. Very soon naanza kupiga nyundo tena.
Upige nyundo ukiwa na published sources kama cc tunavyofanya na co kulazimisha fikra zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania huwa napokea shukran zenu mara kwa mara kutoka mataifa mbalimbali ila huwa nasahau kuwapa, kuna wagonjwa wengi sana kutoka mataifa tofauti hapa Afrika wanakuja hapa Muimbili kutibiwa magonjwa mbalimbali wanapona wanarudi kwao, wengine mpaka wanalia wakiwashukuru Watz.

Miezi kama mitano iliyopita kuna balozi wa nchi fulani nimesahau jina sijui ni wa Colombia vile, ila wa kutoka mataifa ya Amerika kusini, ni mmama alikuwa anaondoka na familia yake baada ya muda wake kuisha, aisee alikuwa analia mpaka anaingia kwenye ndege, anasema ameishi Tz kwa miaka mitano kwakweli anashindwa la kuongea zaidi ya kusema asante, anasema hakupenda kabisa kuondoka ila ndiyo hivyo ni lazima aondoke.

Jamani hii nchi inapendwa asikuambie mtu.
Meanwhile kwa jirani Mambo yanayoendelea kila siku ndiyo haya, hivi nani ataipenda nchi ya hovyo kiasi hiki?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hio point hakuna mtanzania anaweza kujibu. Tanzania na hivyo viinchi vya burundi hazina financial muscle kuipandisha namba dar port, sasa sijui hio port ingekua inatumika na tz pekeake hizo namba zingekuaje?
Kunyaland, here we come, hapo bado Bagamoyo haijaanza. Nyie ndugu zetu tuhesabiane miaka tu. Na ukisema all combined Tanzanian ports hazifikii Mombasa mnakuwa mnachekesha, Hapo ni 600k kwa 500K containers between MBS na DSM, hatujaweka Mtw, Tng ukiachilia Zanzibar.
1656410741130.png
 
Because Kenya as a country imports everything, you even imports large volume of cereals from abroad, stupid country, stupid economy[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So unataka kusema kwamba dar port inayotumika na shitholes kama tanzania, burundi, congo, malawi, zambia ,zimbabwe, DRC zote zina positive balance of trade.? Unaleta majibu ya mzaha kwa mambo serious.
 
Meanwhile kwa jirani Mambo yanayoendelea kila siku ndiyo haya, hivi nani ataipenda nchi ya hovyo kiasi hiki?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Walikuwa wanatembelea nyota ya Tz kwenye utalii baada ya Magufuli kuingia na kuweka mambo hadharani now hakuna kutembelea nyota ya Tz wako hoi kwenye utalii na sector nyingine zote. Sasa cjui watafanya nn mana uchawa wao kwa Tz umefutwa rasmi now cjui wakawe chawa wa nchi gani wallahi, huyu Magufuli hawatomsahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunyaland, here we come, hapo bado Bagamoyo haijaanza. Nyie ndugu zetu tuhesabiane miaka tu. Na ukisema all combined Tanzanian ports hazifikii Mombasa mnakuwa mnachekesha, Hapo ni 600k kwa 500K containers between MBS na DSM, hatujaweka Mtw, Tng ukiachilia Zanzibar.
View attachment 2275356
Na hapo ni kwasababu 400,000 containers out of 600,000 containers ni domestic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
@Tony254 hii ni jibu kwa Kenya baada ya Kenya kuongeza Kodi kwenye gas ya kupikia toka Tanzania na wewe uliunga mkono hilo

Kama ninavyokuambia kwamba Tanzania huwa tunajibu mapigo baada ya Kenya kuanzisha chokochoko "always".

Mara nyingi nilikuambia kwamba, Kenya hamuwezi kuelewana na kiongozi yeyote yule, ulikua ukisema kwamba mama Samia Hana chuki na Kenya Kama Magufuli, chokochoko za biashara hazitokuwepo tena, Sasa kikowapi mbona zinaendelea pamoja na mama Samia kujishusha na kumfedhehesha Magufuli kwenu kwamba yeye ndiye aliyekua chanzo cha migogoro Kati ya Kenya na Tanzania?. Ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shida ya Kenya ni kutokutaka usawa kwenye biashara na jirani yake, anataka kunyonga tu kama alivyokuwa amezoea .Sasa hivi hatukubali lazima waonje vya kuchinja ili akili iwakae sawa.
 
Na hapo ni kwasababu 400,000 containers out of 600,000 containers ni domestic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sure Bro, 😀😀😀😀😀😀
 
Look now, you are running away from your own question. Didn't you ask us to list all the countries that use Mombasa port? Now that we've done exactly that, sasa unaleta vimaneno. If it's about numbers, Mombasa port handles more cargo than all Tanzanian ports combined. Ama lipi la kusema now that we've given you the data?
Do you think you can list anything from your head even if you can't support by evidences?, you must be mad.
Any sane person can't mention Ethiopia, Tanzania, Burundi, Zambia and other countries among the customers of Mombasa ports despite the fact that there are few customers from those countries who use Mombasa port, the same situation that, there are few Kenyans who use Tanzanian ports too

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kunyaland, here we come, hapo bado Bagamoyo haijaanza. Nyie ndugu zetu tuhesabiane miaka tu. Na ukisema all combined Tanzanian ports hazifikii Mombasa mnakuwa mnachekesha, Hapo ni 600k kwa 500K containers between MBS na DSM, hatujaweka Mtw, Tng ukiachilia Zanzibar.
View attachment 2275356
Tofautisha capacity na volume, hii ndio makosa mnafanya mkilinganisha JKIA na JNIA,moja ina capacity kubwa lakini abiria kidongo nyingine ina capacity ndogo lakini inatumika na abiria wengi.
 
Kenya ma slums yamejaa kila kona kiasi kwamba nyumba moja ya tajiri nyumba 10,000 za mafukara, Eastleigh and Eastland [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2275335
That's Kahawa West, a place I know very well. It has apartments almost everywhere you look with running water and a sewer system. Most apartments there are one bedroom and two bedroom houses with few bedsitters. In short, the houses are self-contained, and the estate is well planned with tamarc roads.
Sasa linganisha Kahawa West below...
images - 2022-06-26T161104.733.jpeg

...with these disorganized shanties called dreamhouses that occupants have to do with shared pit latrines, no visible road network, and congestion
2209114_tapatalk_1567199234954.jpg
images - 2022-06-26T132741.249.jpeg
Screenshot_20220531-182543.jpg
images - 2022-06-26T164417.404.jpeg
images - 2022-06-26T164441.079.jpeg
images (97).jpeg
 
Attachments

  • images (97).jpeg
    images (97).jpeg
    79.5 KB · Views: 19
  • images - 2022-06-26T132741.249.jpeg
    images - 2022-06-26T132741.249.jpeg
    75 KB · Views: 15
  • images - 2022-06-26T164441.079.jpeg
    images - 2022-06-26T164441.079.jpeg
    25.8 KB · Views: 19
  • images - 2022-06-26T164417.404.jpeg
    images - 2022-06-26T164417.404.jpeg
    52.3 KB · Views: 17
  • images - 2022-06-27T202549.181.jpeg
    images - 2022-06-27T202549.181.jpeg
    62.4 KB · Views: 15
Jamaa tumewapiga gape kila idara, wamebaki kuji console na vineno vyao vya kizamani kabla tuwanyamazishe kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tofautisha capacity na volume, hii ndio makosa mnafanya mkilinganisha JKIA na JNIA, the former ina capacity kubwa lakini the later inatumika na abiria wengi.
Unawezaje kupima capacity ya Bandari bila volume??????? Wacha bangi wewe, najua nimekutandika kwenye mshono.😀😀😀😀
 
Hahahaha, hahahaha, hahahaha. Hivi huko kwenu bado matumizi ya miraa ni halali?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wajinga ninyi, ndio sababu Alshababs wanawatia vidole kila siku, kwahiyo hizo containers mbili au tatu za Ethiopia, Tanzania, DRC, Burundi na Rwanda zinazopitia Mombasa mnahesabu?.

Ethiopia inatumia Djibouti ports by 98%, Eastern DRC, Burundi, Rwanda na Zambia wote Hutumia bandari ya Dar by 90%.

Wekeni data ni kiasi gani kinachopitia Kenya kwa mizigo ya Tanzania, Ethiopia, Burundi, Rwanda na DRC tuone [emoji23][emoji23][emoji23]

tapatalk_1656411524772.png
 
Unawezaje kupima capacity ya Bandari bila volume??????? Wacha bangi wewe, najua nimekutandika kwenye mshono.😀😀😀😀
Twende pole pole, tuchukue mfano wa airports, kati ya JNIA na JKIA gani kubwa in terms of capacity.?
 
Back
Top Bottom