Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu kuna hili swala la choo cha nje, kenya hii tabia iko ushago pekeake.
Dar wanatumia Choo cha nje (pit latrine) wanashare nyumba Kama kumi hivi! 😂😂 a very useless city.
Nairobi hizo vioja huwezipata nje ya slums and mostly in Kibera.
 
Dar wanatumia Choo cha nje (pit latrine) wanashare nyumba Kama kumi hivi! 😂😂 a very useless city.
Nairobi hizo vioja huwezipata nje ya slums and mostly in Kibera.
Alafu hizo choo huwaga ziko open kwa juu, ukioga unaonekana.
 
Wtf 😃😃😃😃😃
Tandale hali ni mbaya sana , huyo mtoto ananitia huruma sana mimi kama mjomba🔨 🔨
images (4).jpeg
images (3).jpeg
images.jpeg
images (1).jpeg
 
Nimepigwa na mshangao mkubwa kugundua kwamba port of Djiboiti ilihandle 812,000 TEUs per annum in 2020. Yaani hawa watu wajinga wanaopenda kulinganisha hii port ya Djibouti na ya Mombasa huwa wamerogwa na nani? Port ya Mombasa inahandle zaidi ya 1.4 million TEUs per annum.


Djibouti Container Port Throughput​

2008 - 2020 | YEARLY | TEU | UNITED NATIONS CONFERENCE ON TRADE AND DEVELOPMENT
Key information about Djibouti Container Port Throughput

  • Djibouti Container Port Throughput was reported at 812,569.000 TEU in Dec 2020
  • This records a decrease from the previous number of 932,000.000 TEU for Dec 2019. Djibouti Container Port Throughput data is updated yearly, averaging 736,000.000 TEU from Dec 2008 to 2020, with 13 observations

Djibouti port ishindane na Dar port maana Dar port ndio size yake. Wanaoilinganisha Djibouti port na Mombasa port ni wajinga.
 
Shukran sana soja kwa bonge la picha japokua unatumia kopo la tecno. 🔨 🔨 😂😂😂😂
tapatalk_-515893553_360x720 (1).jpg
 
Hawa jamaa wa kikenya bhana [emoji23][emoji23][emoji23] wapo humu kujisifia uimara wa jeshi lao kila siku while on the ground ni vichekesho, wanafanywa kitu mbaya na watoto wadogo (wakora) kwa jina la Al shabab [emoji23][emoji23][emoji23].. hawa bhana hamna kitu wanaweza ni maneno mengi tu
Kwani huo mkoa wa Mandera hakuna kambi ya jeshi????
Tz ikitokea sehemu kuna shida Hua tunaweka kanda maalumu au kuweka kambi ya jeshi kabsa y kenya wasiweke kambi huko jaman
 
Kama Tanzania ni nchi ya asali na maziwa mbona dada na ndugu zako wakaacha hayo yote kuja kutembeza bakuli Katina mitaa na barabara za miji zetu? Beats logic!
Anko huko kwenu kuna wizara ya uhamiaji????
Maana sielewi hao ombaomba wanaingiaje huko na sielewi ka wanavibali vya kukaa huko walivipataje?
 
Hofu yangu ni kwamba hawa kina Bakhressa wakienda kule watafanya investment za kufa mtu kama walizofanya huku alafu itakuwa shida mbele, kule wasifanye investment ila wapeleke products tu, au wafanye vi investment kama wanavyofanya Wakenya huku kwetu, vi investment jua kali.
Cartel ya kenya haiwez kuruhusu bakhresa afungue viwanda kule maana bei zake ndogo ataharbu biashara ya nyang'au..
 
Anko huko kwenu kuna wizara ya uhamiaji????
Maana sielewi hao ombaomba wanaingiaje huko na sielewi ka wanavibali vya kukaa huko walivipataje?
Watanzania wamejaa Kenya babaa. Of course most of them are here illegally
 
Oya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazo
IMG_20220626_165501_020.jpg
IMG_20220626_165749_055.jpg
IMG_20220626_165754_956.jpg
IMG_20220626_165852_505.jpg
IMG_20220626_165623_371.jpg
IMG_20220626_165645_273.jpg
angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️
 
Back
Top Bottom