Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano [emoji116]. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita[emoji116]. Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example [emoji116]. Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA
Umeongea vizuri sana kaka.Tutaanza kujibu, halafu watakurupuka kujua kuna nini kinaendelea,sisi tutawajibu kiungwana na Kizalendo kwamba" Serikali haifanyii kazi mambo ya mitandaoni" wakati huo huo tumeshajibu.
 
I understand your pain. Just the same way sisi pia hatufurahii tukiona wenzetu wa kaskazini wakikosa chakula sababu ya ukame and the government is not doing enough to alleviate the suffering. Sema tu serikali zetu hazitilii mkazo maswala muhimu za kitaifa.

Lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna watanzania wapo kwenye mitaa na barabara za Kenya kama ombaomba. Sio eti ombaomba wote ni watanzania ila majority of them are Tanzanians
Hivi hujui kwamba ombaomba ni "criminal offence" huku Tanzania Kama ilivyo ujambazi?, Sasa majambazi toka Kenya wanapokuja Tanzania huwa tunalalamika au tunawashughulikia?.

Kama Tanzania ingeruhusu ombaomba Kama ninyi mlivyoruhusu, Tanzania ingekua ni Nyumbani mwa ombaomba wote kutoka nchi zote zinazotuzunguka ikiwemo Kenya kwasababu Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana huenda kuna omba omba Tanzanians kunako Kenya lakini heb mjiulize maswali marahisi, huyo mtu he/she is just a omba omba, means them can't afford even bus fare, amevukaje boda kufika mpaka Nairobi Kenya.? (ukizingatia Nai haiko mpakani mwa Tz na Kenya), amepataje hati za kusafiria (kutengeneza passport hapo ni 300k Tz shillings ujue), amepataje residential permit.? After all kwanini msiwarudishe Tz kama ni watanzania au hao omba omba ni miradi ya watu hapo NAIROBI.? Ikiwa hapa Dar walishafukuzwa mara nyingi mno vipi huko ambako sio kwao (wahamiaji haramu) mnawaaacha.? Heb Angalia DAR kwa mfano 👇. Wanakamatwa hao wapuuzi wanaowaleta omba omba kutoka mikoani kuja kuomba omba DAR.. na manispaa ya Ilala imewahi kuweka adhabu kali kwa atakae kutwa anampa hela omba omba 300k Tz shillings au jela miezi sita👇. Kuomba omba ni suala linalopigwa vikali Tanzania hasa kwenye miji ya Pwani since sio tamaduni zetu Zanzibar for example 👇. Muelewa nyie watu na muache tabia za kishenzi za kufuata walemavu ili wakutafutieni hela kirahisi.. WAPUMBAVU NYIE WAKENYA

Nimefurah mmeanza kugundua hii kitu 😀

ngoja niongeze au nikuwekee maelezo vizur
Passport ni 150,000/= lkn kuipata kwake ni shughuli.. passport hupew tu sababu unataka, bali unapewa kama unasafir nje ya nchi.. na unatakiwa kuonyesha evidence ya hio safar au hata mwaliko official wa kutoka nje.. imagine 'ombaomba' anaenda ofisi za uhamiaji za kibongo kuomba passport (hiki ni kituko 😂😂).. ok, eti ombaomba anatumia nauli (FEDHA) kwenda ofisi za uhamiaj kufatilia passport, akifanikiwa kupata hio passport anatumia tena nauli (FEDHA) ya kwenda nairobi, hapa sijui ni kwa bus au ndege 😂
Kiufupi zinduken.. hakuna ombaomba mtanzania kenya.. na mlikemee mtakapoona mtandaoni kuwa kuna ombaomba 'watanzania' nchin kenya.. huku ni kutuchafua
 
Huyu journalist anasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3 billion in 2019.

Hii site inasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3.4 billion in 2020.

Sasa swali ni je hizi gold zinatokea wapi kwa maana Uganda kwa sasa hawana gold mines kubwa? Hizi gold zitakuwa zinatokea DRC. Uganda wamediscover gold mining site yenye gold ores worth $12 trillion in western Uganda juzi lakini bado hawajaanza kuichimba. Sasa sijui kwa nini Mungu katusahau sisi Kenya kwenye suala la madini. Yaani kabisa Kenya hatuna madini, isipokuwa titanium ambayo inakwisha next year. Soda ash tunayo lakini haina thamani. Anyway, DRC, Uganda na Tanzania nyote mna dhahabu kwa wingi chini ya ardhi lakini bado nyote ni masikini kutushinda. Hapo ndio kuna kizungumkuti. Mungu hawezi kupatia kila kitu.
Uganda Kuna kiwanda cha kuchakata dhahabu, kwahiyo dhahabu kutoka Eastern DRC, part of Tanzania na Uganda yenyewe hupelekwa huko kisha husafirishwa nje ya nchi kwa jina la Uganda.

Hata Kama Kenya Kuna madini/dhahabu, sio rahisi kugundulika kwasababu maeneo mengi ya Kenya ni maeneo ya watu binafsi/matajiri ambao wengi wapo nje ya nchi, hawaruhusu wachimbaji wadogo wadogo kuingia na kuanza kutafuta madini, kumbuka kwamba wenye kugundua uwepo wa madini ni wenyeji kabla ya makampuni makubwa kujua.

Sera za uchumi wa kibepari zinaendelea kuwaumiza, lazima muachane nazo, vinginevyo mtabaki kuonea wivu Uganda na Tanzania ambao wanaendelea kugundua utajiri mkubwa ambao miaka ijayo hizi nchi zinaweza kufanana na Dubai au Qatar ambazo ziligundua utajiri mkubwa wa mafuta 1970s, kabla ya hapo zilikuwa masikini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bado eti KDF wanataka kwenda DRC, wamewashindwa Alshabab wanafanya watakavyo ndani ya ardhi ya Kenya, bado eti wanataka kusaidia DRC. Kenya hakuna jeshi ni genge la wahuni waliopewa dare za jeshi.
Tony254
Don YF
Nicxie
dyfre
IamLee
NairobiWalker

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wa kikenya bhana 😂😂😂 wapo humu kujisifia uimara wa jeshi lao kila siku while on the ground ni vichekesho, wanafanywa kitu mbaya na watoto wadogo (wakora) kwa jina la Al shabab 😂😂😂.. hawa bhana hamna kitu wanaweza ni maneno mengi tu
 
Nimefurah mmeanza kugundua hii kitu 😀

ngoja niongeze au nikuwekee maelezo vizur
Passport ni 150,000/= lkn kuipata kwake ni shughuli.. passport hupew tu sababu unataka, bali unapewa kama unasafir nje ya nchi.. na unatakiwa kuonyesha evidence ya hio safar au hata mwaliko official wa kutoka nje.. imagine 'ombaomba' anaenda ofisi za uhamiaji za kibongo kuomba passport (hiki ni kituko 😂😂).. ok, eti ombaomba anatumia nauli (FEDHA) kwenda ofisi za uhamiaj kufatilia passport, akifanikiwa kupata hio passport anatumia tena nauli (FEDHA) ya kwenda nairobi, hapa sijui ni kwa bus au ndege 😂
Kiufupi zinduken.. hakuna ombaomba mtanzania kenya.. na mlikemee mtakapoona mtandaoni kuwa kuna ombaomba 'watanzania' nchin kenya.. huku ni kutuchafua
Hawa wajinga wanajitoa ufahamu

Hawa jirani zetu ni washenzi sana, wanatuchafua sana.. mimi sipendezwi hata kidogo na hizi tabia zao hata kidogo
 
Hivi hujui kwamba ombaomba ni "criminal offence" huku Tanzania Kama ilivyo ujambazi?, Sasa majambazi toka Kenya wanapokuja Tanzania huwa tunalalamika au tunawashughulikia?.

Kama Tanzania ingeruhusu ombaomba Kama ninyi mlivyoruhusu, Tanzania ingekua ni Nyumbani mwa ombaomba wote kutoka nchi zote zinazotuzunguka ikiwemo Kenya kwasababu Tanzania ni nchi ya maziwa na asali.
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama Tanzania ni nchi ya asali na maziwa mbona dada na ndugu zako wakaacha hayo yote kuja kutembeza bakuli Katina mitaa na barabara za miji zetu? Beats logic!
 
Back
Top Bottom