Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Ona nipe 20 mins Tandale ni hapo chini tu, nashuka now upate picha kadhaa, nakukomesha leo mbwa wewe
Leo utatambea Dar yote kilaza wewe. Ukitoka Tandale nenda Mvuti utuletee picha za mashamba ya mihogo 😂 😂😂
Screenshot_20220625-235947~2.png
 
Galilaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220626-163140.jpg
 
Kenya ni Mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo nimejifunza kumbe Githurai sio mbaya sana tukiilinganisha na dar.
Yani ki ufupi ni kwamba zile mitaa wanaita slum ni bora mara mia kuliko zile uswazi zao. Githurai nyumba nyingi ni self-contained alafu unasikia mtu anasema ni slum. Niambie pale Tandale na ile mrundiko wa nyumba in every little space available you can compare with Githurai that has this level of planning
Screenshot_20220622-060915.png
 
😇 waliopo humu hawapendi kusikia vitu kama hiv

Airport yenu terminal 3 ni mpya na ina design ya kisasa, sasa ulikuwa unataka airport yetu ishindane na yenu kwenye urembo? Yetu inaweza kuwa ni nzee ila inawapiga kwenye idadi ya abiria wanaoitumia kila mwaka. Urembo pekee sio hoja ikiwa tunawapiga kwenye idadi ya abiria. Ila hata mimi nataka JKIA tujenge terminal mpya ya kisasa.
 
Yani ki ufupi ni kwamba zile mitaa wanaita slum ni bora mara mia kuliko zile uswazi zao. Githurai nyumba nyingi ni self-contained alafu unasikia mtu anasema ni slum. Niambie pale Tandale na ile mrundiko wa nyumba in every little space available you can compare with Githurai that has this level of planning View attachment 2273145
Ngoja tulinganishe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-515893553_360x720.jpg
Screenshot_20220626-142209.jpg
 
Airport yenu terminal 3 ni mpya na ina design ya kisasa, sasa ulikuwa unataka airport yetu ishindane na yenu kwenye urembo? Yetu inaweza kuwa ni nzee ila inawapiga kwenye idadi ya abiria wanaoitumia kila mwaka. Urembo pekee sio hoja ikiwa tunawapiga kwenye idadi ya abiria. Ila hata mimi nataka JKIA tujenge terminal mpya ya kisasa.
Haya maneno yako ni mwiba mkali kwa Wakunya humu bwana Tony japo kwenye idadi ya abiria lazima tuwapige gape mwaka huu, tuko vzr sn.
 
Back
Top Bottom