Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuhusu suala la beggars wala usipate shida, inajulikana wazi nchi gani ni ombaomba kati ya Tanzania na Kenya, pia mkuu ni nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyowajali wananchi wake? Mamilioni ya Wakenya hawana ardhi, hawana chakula, hawajui kesho yao itakuwaje kwnn wasiwe ombaomba? Yani ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kutoka katikati ya nchi yake aende nchi jirani? Ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kukata pasipoti ikiwa 70% ya Wakenya hawana passport za kusafiria? Sasa hao watakuwa ombaomba au middle class?

Ukweli ni kwamba serikali ya Kenya haijali wananchi wake, 90% ya Wakenya wanaishi maisha ya kubahatisha mno, mnaweza kuona hata humu kwenye huu uzi Wakenya wa humu ambao kwao ndio kidogo wana afadhali, angalia simu tu ya maana kidogo hawawezi ku afford, humu tukileta idadi ya wakenya wenye magari kwenye huu uzi sidhani kama wanazidi wawili huo ndio ukweli, so hii inakupa taswira ya kwamba ombaomba hao ni lazima wawe Wakenya mana hata hawa walio humu pia wengi wao ni ombaomba amini kwamba.
Hii story inakuumiza sana bongolala hadi ukaamua kuandika insha 😂 😂 😂
 
Kwahyo hili ni pori sindio.?
Dar kuna hadi shamba za mihogo 😂 😂 😂
Screenshot_20220625-235947~2.png
 
Nimekutana na hawa madogo katika pita pita zangu kwa kweli nimeumia sana ni Neema kubwaa mno kuzaliwa Tanzania [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mombasa moja hiyo View attachment 2271643
Dah aiseee, serikali ya Kenya ni ya kishetani sn aloo, haya mambo yanaumiza sn wakuu, Wakenya wengi wamepitia haya maisha na ndiyo unaona hasira zao hawa wa humu, ukisikia wakenya wapo ladhi kuchinjana ni kwa ajili ya hali kama hii, mm nawaruhusu kwa roho kunjufu kabisa wauwane tu mwaka huu, haiwezekani wachache wafaidi mema ya nchi alafu majolity waishi kama mbwa.
 
Express way ya kunyaland imeanza kuanguanguka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

View attachment 2271464
Kuna mbwa mmoja anakuambia hii ni physics, kwamba ni uwazi wa kuruhusu expansion and contraction of the structure, mm nawaambia hii itauwa wakenya wengi kama hawatokuwa makini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1909572555_270x427.jpg
 
Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
  • why kusema Tanzanian beggars?
  • beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
  • does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
  • uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
  • kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
  • Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?

Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
usisumbue kichwa kuhusu hili

we waenjoy tu
 
ebu ona huyu kilaza eti Simon. kwani hawa wanatoka nchi gani.!? kubali tu matokeo masera wangu. ila shida yenu kubwa nyinyi watanganyika humu, mnapenda sana kukana kilakitu ata kama ni more than obvious..

Abek, please please, take away your beggars, wanatuchafulia hewa. 💨💨 they are making kenya look like a Least Developed Country.! 🤮yhaak!

T

Unahangaika kutafuta viwanja vinavyouzwa Dar, alafu Angalia hiyo Caren your posh, ilivyo porini 😂😂View attachment 2272271View attachment 2272272View attachment 2272273hii si misitu kabisa, humu hamfugi Simba kweli.? 😂😂😂
Get the difference between green spaces za Karen na hizo pori zenu. Karen was named as one of the best residential areas in the world utalinganishaje na hizo pori za Dar za kupanda mihogo?
images - 2022-06-26T013033.212.jpeg
images - 2022-06-26T013117.532.jpeg
images - 2022-06-26T013248.508.jpeg
images - 2022-06-26T013459.938.jpeg
images - 2022-06-26T013631.649.jpeg
images - 2022-06-26T013657.326.jpeg
images - 2022-06-26T013143.192.jpeg
images - 2022-06-26T012643.630.jpeg
images - 2022-06-26T012754.706.jpeg
images - 2022-06-26T012939.235.jpeg
images - 2022-06-26T012540.826.jpeg
images - 2022-06-26T012602.203.jpeg
images - 2022-06-26T012616.793.jpeg

Nionyeshe mandhari na nyumba Kama hizo za Karen kwenye hizo pori zenu ambazo hazina hata barabara/stima/nyumba
 
Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
  • why kusema Tanzanian beggars?
  • beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
  • does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
  • uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
  • kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
  • Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?

Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
swali langu tu moja..
eversince we begun posting the streets of all our cities; mombasa, nairobi, kisumu, eldoret, nakuru, machakos, thika, kisii, nyeri, meru, kericho, kakamega, kitale, malindi, naivasha, embu, garissa, nanyuki..
have you EVER seen even one
beggar in our streets.!??

note: here in kenya, street begging is only limited to tanzanians
20220101_193326.jpg

Screenshot_20220626-023131_Chrome.jpg
Screenshot_20220626-023438_Chrome.jpg
Screenshot_20220626-023204_Chrome.jpg
 
T

Unahangaika kutafuta viwanja vinavyouzwa Dar, alafu Angalia hiyo Caren your posh, ilivyo porini 😂😂View attachment 2272271View attachment 2272272View attachment 2272273hii si misitu kabisa, humu hamfugi Simba kweli.? 😂😂😂
Mentality ya kukulia kwenye low income suburbs Ndio inakufanya uchukuie mapori. Maeneo yenye miti Mingi kwanza yana hewa safi zaidi, joto la chini, mandhari tulivu na ya kuvutia, pia yana thamani kubwa zaidi kwasababu miti ni resource. Fungua google maps uangalie satellite pictures za Oysterbay na Masaki halafu linganisha na sehemu nyingine za Dar uone utofauti. Maeneo ya matajiri yana miti mingi kuliko maeneo wanayoishi watu wenye kipato cha chini.

Pia ni reflection ya hali halisi ya Tanzania. Dar haina public park hata moja! Mji wa watu milioni saba haina green spaces kwasababu hakuna urban planning.

Mbona Matajiri kama Reginald Mengi wana nyumba “porini.” Kwa hiyo ni mentality yako ya umasikini Ndio inakusumbua.
BC9B883B-89E3-469B-90E6-DE3B79B541EF.jpeg
 
Back
Top Bottom