Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni majinga a.k.a majitu ya kupigwa na miradi tembo mweupe, kuna limoja hapo juu eti linasema tunaionea wivu expressway nmecheka sn, eti mm na akili zangu timamu nionee wivu mradi usio na tija? Yani nchi yangu inajenga miradi yenye tija kwa wananchi na yenye thamani kuliko miradi yao alafu nionee wivu road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sasa barabara hilo hapo lishaanza kubomoka niambie tena kwamba naona wivu, daily dosage on flick [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2271114
Halafu angalia hivyo vitofali vya udongo hapo ni aibu tupu.
 
Express way ya kunyaland imeanza kuanguanguka🤣🤣🤣👇👇

IMG_20220625_114821.jpg
 
Expressway imeshaanza kurudisha chenchi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2271101
Hii noma hapo chini nawaona masela wamechill tu hawana habari. Walichakachua, kuna vitu si vya kufanyia mzaha maana vinaweza kugharimu maish ya watu. Usikute serikali iko kimya inasubiria la kutokea ndipo i-act [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Haya ni majinga a.k.a majitu ya kupigwa na miradi tembo mweupe, kuna limoja hapo juu eti linasema tunaionea wivu expressway nmecheka sn, eti mm na akili zangu timamu nionee wivu mradi usio na tija? Yani nchi yangu inajenga miradi yenye tija kwa wananchi na yenye thamani kuliko miradi yao alafu nionee wivu road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sasa barabara hilo hapo lishaanza kubomoka niambie tena kwamba naona wivu, daily dosage on flick [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2271114
Imagine ujinga kama huu ufanyike Tanzania nini kitatokea kwa mkandarasi zaidi ya kuambiwa arudie huku passport yake ikiwa imehifadhiwa sehemu salama [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii noma hapo chini nawaona masela wamechill tu hawana habari. Walichakachua, kuna vitu si vya kufanyia mzaha maana vinaweza kugharimu maish ya watu. Usikute serikali iko kimya inasubiria la kutokea ndipo i-act [emoji24][emoji24][emoji24]
Elevated roads are so many in Nairobi. Tulianza kuziona wakati bado zilikuwa ndoto huko kwenu. Umewahi sikia hata moja imeanguka? Mnawashwa sana vilaza 😂 😂
 
Wachina wanawaonea sana wakunya , sijui hawana quality controllers , yaani wanachezewa sana . Tatizo wakunya wanababaikia sana ngozi nyeupe
Rushwa hupofusha macho, uzalendo uwekwa kando, wizi na ufisadi, elimu mbovu ndio chanzo cha haya yote.
 
watakuambia kuwa hayo ni masuala ya earth quake
Keshasema ni expansion joint, kwahiyo siyo shida hata kidogo maisha yaendelee watu waendelee kupita tu haitaleta madhara [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
 
Bro ni lini tena hii!!?
Majirani hii dhambi ya kuua watu wasio na hatia nachelea kusema kuna kipindi itawatafuna.
Ninadhani ni expansion joint tu ilitokea kwa ghorafa kule underground likaanguka na kuleta madhara kidogo kwa watu, hapana shida engineers wako well organized (In Kenyan voice).
 
Back
Top Bottom