Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ni majinga a.k.a majitu ya kupigwa na miradi tembo mweupe, kuna limoja hapo juu eti linasema tunaionea wivu expressway nmecheka sn, eti mm na akili zangu timamu nionee wivu mradi usio na tija? Yani nchi yangu inajenga miradi yenye tija kwa wananchi na yenye thamani kuliko miradi yao alafu nionee wivu road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sasa barabara hilo hapo lishaanza kubomoka niambie tena kwamba naona wivu, daily dosage on flick [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2271114
Hapana boss hio imesababishwa na tetemeko, watarekebisha 😁😁
 
Development in Kenya is spread out. This is Nakuru. Huezipata anywhere else in Tz apart from Dar with infrastructures like these.
View attachment 2271452
And this is Lodwar town in Turkana County. Places our where brothers from south believe there are no roads or any tangible development.
1656139130638~2.jpg

Watuonyeshe barabara kama hiyo pale Mbeya "city"
 
Back
Top Bottom