Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
  • why kusema Tanzanian beggars?
  • beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
  • does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
  • uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
  • kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
  • Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?

Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Majority of beggars on Kenyan streets are Tanzanians and they are spread out in all major towns in Kenya, not just Nairobi alone

Sawa
Hahahaha we chura jaribu tena, hizo barabara zilikua fixed kitambo, hata kabla utoe meno.
Image

Image
Screenshot_20200101-131450_Chrome.jpg
 
Majority of beggars on Kenyan streets are Tanzanians and they are spread out in all major towns in Kenya, not just Nairobi alone

Wanafikaje huko? Uhamiaj yenu ni dhaifu? Kwann msiwakamate kama wahamiaj haramu? Hizo ni hujuma nyingine ambazo bado watu hawajajua..
Hakuna Mtanzania anataka kuondoka Tanzania na kuja kenya kutafuta maisha
 
Kisumu looking way organized. I doubt if you can find a middle-class area like this one below in Mwanza
Screenshot_20220625-213044_Gallery.jpg
 
Wanafikaje huko? Uhamiaj yenu ni dhaifu? Kwann msiwakamate kama wahamiaj haramu? Hizo ni hujuma nyingine ambazo bado watu hawajajua..
Hakuna Mtanzania anataka kuondoka Tanzania na kuja kenya kutafuta maisha
Wanavyofika wala isikupe wasiwasi. What should worry you is the fact that they are your bothers and sisters from Tanzania
 
Back
Top Bottom