Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

swali langu tu moja..
eversince we begun posting the streets of all our cities; mombasa, nairobi, kisumu, eldoret, nakuru, machakos, thika, kisii, nyeri, meru, kericho, kakamega, kitale, malindi, naivasha, embu, garissa, nanyuki..
have you EVER seen even one
beggar in our streets.!??

note: here, street begging is only limited to tanzanians beggars
View attachment 2272319

View attachment 2272321View attachment 2272325View attachment 2272323
Serikali ya danganyika haisaidii walemavu wa kitanzania ndio maana wanapotea na kuna kuombaomba Kenya. Danganyika ni inchi maskini kishenzi usione wanajifariji hapa.
 
hii winter sio mchezo babake.. nairobi is damn freezing cold rightnow.! but even though still, me i prefer cold and temperate places 100fold than hot tropical areas. afteral ushago kwetu kericho ni baridi..

hehehe... 😆😆 then i hear, annual average temperatures in Darslam is 36°celsius just like mogadishu!.🥵🥵 to hell with such places!..
nb: mombasa is colder than dar due to northeasterly trade winds..

Screenshot_20220626-051449_Chrome.jpg
 
Dah aiseee, serikali ya Kenya ni ya kishetani sn aloo, haya mambo yanaumiza sn wakuu, Wakenya wengi wamepitia haya maisha na ndiyo unaona hasira zao hawa wa humu, ukisikia wakenya wapo ladhi kuchinjana ni kwa ajili ya hali kama hii, mm nawaruhusu kwa roho kunjufu kabisa wauwane tu mwaka huu, haiwezekani wachache wafaidi mema ya nchi alafu majolity waishi kama mbwa.
Kweli sana brother!
 
Kweli sana brother!
Shebby01, wacha kuwafariji wabongo wenzako kwa kuwadokezea uongo bhana.. ata wee unajua vizuri sana ndani ya moyoni mwako, ni nchi gani iliye na afueni wa maisha, na iliyopiga hatua zaidi kimaendeleo kati ya hizi nchi mbili.. fungua roho yako bana... acha kua ivo..
 
Get the difference between green spaces za Karen na hizo pori zenu. Karen was named as one of the best residential areas in the world utalinganishaje na hizo pori za Dar za kupanda mihogo?
View attachment 2272308View attachment 2272309View attachment 2272304View attachment 2272305View attachment 2272306View attachment 2272307View attachment 2272310View attachment 2272311View attachment 2272312View attachment 2272313View attachment 2272314View attachment 2272315View attachment 2272316
Nionyeshe mandhari na nyumba Kama hizo za Karen kwenye hizo pori zenu ambazo hazina hata barabara/stima/nyumba
Soma hii reality vizuri kisha jitafakari

PicsArt_12-12-11.45.24.jpg
 
Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
  • why kusema Tanzanian beggars?
  • beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
  • does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
  • uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
  • kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
  • Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?

Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Hata mimi nina mashaka sana na hizi taarifa zao za "Tanzanian beggars".Kwa dhiki gani tulizo nazo Watanzania twende kuomba omba Kenya wakati wao wana maisha magumu kuliko sisi?

Tunachafuliwa per see.We should wake up and act accordingly!
 
Wanafikaje huko? Uhamiaj yenu ni dhaifu? Kwann msiwakamate kama wahamiaj haramu? Hizo ni hujuma nyingine ambazo bado watu hawajajua..
Hakuna Mtanzania anataka kuondoka Tanzania na kuja kenya kutafuta maisha
Kabisa. Uhamiaji na Foreign Affairs wanatakiwa kuliangalia hili lasivyo tutaendelea kuchafuliwa na hizi sera za kijinga.
 
Wanavyofika wala isikupe wasiwasi. What should worry you is the fact that they are your bothers and sisters from Tanzania
Hatutaki maneno mengi warudisheni kwao tena muite na press kabisa mtangaze dunia nzima tujue wametokea maeneo gani ,na pia serikali yetu ijiridhishe kwamba ni Watanzania kweli, lasivyo tukianza kujibu mapigo msijeanza kimbilia UN kwenda kushitaki kama kawaida yenu [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Zipo nyingi sana hata huwezimaliza. Alafu utasikia wanavyojisifu vile Dar ni kubwa kwa Nairobi mara tatu. Kumbe huo ukubwa wote nusu ni vichaka tu![emoji2][emoji2]
Unasikitisha sana, so hujui kama dar ni mkoa au?
 
Kuhusu suala la beggars wala usipate shida, inajulikana wazi nchi gani ni ombaomba kati ya Tanzania na Kenya, pia mkuu ni nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyowajali wananchi wake? Mamilioni ya Wakenya hawana ardhi, hawana chakula, hawajui kesho yao itakuwaje kwnn wasiwe ombaomba? Yani ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kutoka katikati ya nchi yake aende nchi jirani? Ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kukata pasipoti ikiwa 70% ya Wakenya hawana passport za kusafiria? Sasa hao watakuwa ombaomba au middle class?

Ukweli ni kwamba serikali ya Kenya haijali wananchi wake, 90% ya Wakenya wanaishi maisha ya kubahatisha mno, mnaweza kuona hata humu kwenye huu uzi Wakenya wa humu ambao kwao ndio kidogo wana afadhali, angalia simu tu ya maana kidogo hawawezi ku afford, humu tukileta idadi ya wakenya wenye magari kwenye huu uzi sidhani kama wanazidi wawili huo ndio ukweli, so hii inakupa taswira ya kwamba ombaomba hao ni lazima wawe Wakenya mana hata hawa walio humu pia wengi wao ni ombaomba amini kwamba.
Ni sawa kabisa lakini hii theory yao tusiiache ipite hivi hivi lazima tuwajibu kiutu uzima waache huu ujinga. Wanatengeza vitu vya kijinga kuharibu image ya Taifa letu.

Watu wengi wanafuatilia hizi clip na kupata picha mbaya kwa kuonyesha kwamba watu wetu wana maisha magumu kiasi kwamba wanakimbilia Kenya kwenda kuomba omba.

Hii inaonyesha sisi tuna maisha magumu kuliko wao wakati siyo kweli..lazima tufanye kitu kukomesha huu upotoshaji.
 
Huyu journalist anasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3 billion in 2019.


Hii site inasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3.4 billion in 2020.

Sasa swali ni je hizi gold zinatokea wapi kwa maana Uganda kwa sasa hawana gold mines kubwa? Hizi gold zitakuwa zinatokea DRC. Uganda wamediscover gold mining site yenye gold ores worth $12 trillion in western Uganda juzi lakini bado hawajaanza kuichimba. Sasa sijui kwa nini Mungu katusahau sisi Kenya kwenye suala la madini. Yaani kabisa Kenya hatuna madini, isipokuwa titanium ambayo inakwisha next year. Soda ash tunayo lakini haina thamani. Anyway, DRC, Uganda na Tanzania nyote mna dhahabu kwa wingi chini ya ardhi lakini bado nyote ni masikini kutushinda. Hapo ndio kuna kizungumkuti. Mungu hawezi kupatia kila kitu.
 
Kunyahii winter sio mchezo babake.. nairobi is damn freezing cold rightnow.! but even though still, me i prefer cold and temperate places 100fold than hot tropical areas. afteral ushago kwetu kericho ni baridi..

hehehe... 😆😆 then i hear, annual average temperatures in Darslam is 36°celsius just like mogadishu!.🥵🥵 to hell with such places!..
nb: mombasa is colder than dar due to northeasterly trade winds..

View attachment 2272336
 

Attachments

  • Screenshot_20220626-084121_Chrome.jpg
    Screenshot_20220626-084121_Chrome.jpg
    38.9 KB · Views: 16
Unasikitisha sana, so hujui kama dar ni mkoa au?
That doesn't matter. Hata Nairobi pia ni county na pia ilikuwa ni mkoa kabla ya ugatuzi kuingia. Kila siku hapa mnatutajia ukubwa wa Dar Kumbe ukubwa wenyewe ni pori na shamba za mihogo 😂😂
Msiwahi tuambia tena kwamba Dar ni kubwa kwa Nairobi mara tatu
 
Huyu journalist anasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3 billion in 2019.


Hii site inasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3.4 billion in 2020.

Sasa swali ni je hizi gold zinatokea wapi kwa maana Uganda kwa sasa hawana gold mines kubwa? Hizi gold zitakuwa zinatokea DRC. Uganda wamediscover gold mining site yenye gold ores worth $12 trillion in western Uganda juzi lakini bado hawajaanza kuichimba. Sasa sijui kwa nini Mungu katusahau sisi Kenya kwenye suala la madini. Yaani kabisa Kenya hatuna madini, isipokuwa titanium ambayo inakwisha next year. Soda ash tunayo lakini haina thamani. Anyway, DRC, Uganda na Tanzania nyote mna dhahabu kwa wingi chini ya ardhi lakini bado nyote ni masikini kutushinda. Hapo ndio kuna kizungumkuti. Mungu hawezi kupatia kila kitu.
Danganyika hawana akili
 
Financial Institutions currently based in Dar aren’t there because there was a “grand plan” to establish the city as a financial capital. They have headquarters in Dar because it’s the most populous city in the country, that’s where all major businesses and industries are based. The city also has the Dar stock exchange.


However, if I were to create an actual, thriving financial hub, where local and international businesses and financial institutions would come together, I would choose a city other than Dar. Tanzania’s economy is mainly concentrated along the coast! Dar, Pwani, and Tanga are major manufacturing regions. The economy of Dar es salaam in particular consists of activities such as Industry, tourism, transportation, e-commerce, retail, and technology. If a financial hub could be set up in a city other than Dar, it could open up a lot more economic potential for Tanzania. I’m talking real estate, retail, tourism, manufacturing, education, transport etc.

Take Germany for example. Berlin is their largest city, but their financial capital is Frankfurt, which is where the European Central Bank has its HQ. Frankfurt is also the largest financial hub in continental Europe. Speaking of Banks, I heard that there’s an active selection process for a city to host the East African Central Bank as the EAC plans to adopt a single currency. Apparently Kenya and Tanzania have shown interest to host.

cc: Nicxie
Good reasoning
But i still would like Dar iwe finanical centre..Dar stock exhange and major banks ziko Dar

Dodoma iwe more of administrative
Arusha more of Safari Capital
Mwanza iwe mix of finanical and safari
 
Back
Top Bottom