Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Ningependa tufanye kitu kuwa na world Class cruise terminal at Dar , znz na hata Kilwa /Lindi kama investements za hotels zitafanyika
Ningependa tufanye kitu kuwa na world Class cruise terminal at Dar , znz na hata Kilwa /Lindi kama investements za hotels zitafanyika
Kuna siku nyinyi watanzania mmekubali mapungufu yenu kwenye hizi mijadala? Ni mara ngapi mumekana hadi ripoti za kimataifa zinazoweka Tanzania chini ya Kenya? Sasa hii ndio mtakubali? Mbona tushawazoea?Ni sawa kabisa lakini hii theory yao tusiiache ipite hivi hivi lazima tuwajibu kiutu uzima waache huu ujinga. Wanatengeza vitu vya kijinga kuharibu image ya Taifa letu.
Watu wengi wanafuatilia hizi clip na kupata picha mbaya kwa kuonyesha kwamba watu wetu wana maisha magumu kiasi kwamba wanakimbilia Kenya kwenda kuomba omba.
Hii inaonyesha sisi tuna maisha magumu kuliko wao wakati siyo kweli..lazima tufanye kitu kukomesha huu upotoshaji.
Changamoto zipo sikatai. Ila nitapinga mwanzo mwisho kwamba sisi tuna maisha magumu sana kiasi kwamba watu wetu wanakuja kwenu kuomba omba mitaani. Vitu vingi vibaya vinavyoongelewa kwenu kuhusu sisi viko staged, kwa kuwa mnaambiwa kuwa ndivyo mnaamini, lakini si kweli. Nasimamia msimamo wangu huu mkuu.Kuna siku nyinyi watanzania mmekubali mapungufu yenu kwenye hizi mijadala? Ni mara ngapi mumekana hadi ripoti za kimataifa zinazoweka Tanzania chini ya Kenya? Sasa hii ndio mtakubali? Mbona tushawazoea?
Unasema sio kweli mko na maisha magumu wakati ripoti za kimataifa zinasema nyinyi ndio mnaongoza kwa ufukara ukanda huu, ripoti ambayo pia mlikana kama kawaida yenu. Ni lini mtakubali mapungufu yenu kama nchi na kujua kwamba nyinyi ni taifa ambalo bado iko na changamoto kama nchi zingine nyingi za kiafrika?
Yaonekana kwamba hili swala la ombaomba limekuuma sana. Sisi sio wakatili na wenye chuki na wivu dhidi ta majirani zetu kama nyie. If the Kenyan government decides to deport them then I believe it will be done in a humane and respectable manner.Hatutaki maneno mengi warudisheni kwao tena muite na press kabisa mtangaze dunia nzima tujue wametokea maeneo gani ,na pia serikali yetu ijiridhishe kwamba ni Watanzania kweli, lasivyo tukianza kujibu mapigo msijeanza kimbilia UN kwenda kushitaki kama kawaida yenu [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Hapa nakuunga mkono maana mimi ni mdau mkubwa sana wa miti, iwe natural forest au artificial forest yote ni muhimu kwasababu miti na misitu kwa ujumla ina faida nyingi. Siku zote kijani na water bodies zina mandhari nzuri sana.Mentality ya kukulia kwenye low income suburbs Ndio inakufanya uchukuie mapori. Maeneo yenye miti Mingi kwanza yana hewa safi zaidi, joto la chini, mandhari tulivu na ya kuvutia, pia yana thamani kubwa zaidi kwasababu miti ni resource. Fungua google maps uangalie satellite pictures za Oysterbay na Masaki halafu linganisha na sehemu nyingine za Dar uone utofauti. Maeneo ya matajiri yana miti mingi kuliko maeneo wanayoishi watu wenye kipato cha chini.
Pia ni reflection ya hali halisi ya Tanzania. Dar haina public park hata moja! Mji wa watu milioni saba haina green spaces kwasababu hakuna urban planning.
Mbona Matajiri kama Reginald Mengi wana nyumba “porini.” Kwa hiyo ni mentality yako ya umasikini Ndio inakusumbua.
View attachment 2272328
Sure limeniuma sana hujadanganya niwe mkweli, iweje Watanzania wenzangu na nchi yangu idhalilishwe kwa kiwango hiki na serikali ipo kimya tu? Haioni? Kama ni kweli yenyewe ifanye mchakato iwarudishe na kuwasaidia maana tuna mfuko wa TASAF kusaidia Kaya na watu masikini.Yaonekana kwamba hili swala la ombaomba limekuuma sana. Sisi sio wakatili na wenye chuki na wivu dhidi ta majirani zetu kama nyie. If the Kenyan government decides to deport them then I believe it will be done in a humane and respectable manner.
Why would we stage a story/thory about Tanzania? To what benefit? Explain to me how that would help Kenya and Kenyans deal with their challenges.Changamoto zipo sikatai. Ila nitapinga mwanzo mwisho kwamba sisi tuna maisha magumu sana kiasi kwamba watu wetu wanakuja kwenu kuomba omba mitaani. Vitu vingi vibaya vinavyoongelewa kwenu kuhusu sisi viko staged, kwa kuwa mnaambiwa kuwa ndivyo mnaamini, lakini si kweli. Nasimamia msimamo wangu huu mkuu.
Kitu kimepiga mzinga kwenye expressway ya mchina
Mchina kama kawaida yake ataoverprice ukaratabat hapo
I understand your pain. Just the same way sisi pia hatufurahii tukiona wenzetu wa kaskazini wakikosa chakula sababu ya ukame and the government is not doing enough to alleviate the suffering. Sema tu serikali zetu hazitilii mkazo maswala muhimu za kitaifa.Sure limeniuma sana hujadanganya niwe mkweli, iweje Watanzania wenzangu na nchi yangu idhalilishwe kwa kiwango hiki na serikali ipo kimya tu? Haioni? Kama ni kweli yenyewe ifanye mchakato iwarudishe na kuwasaidia maana tuna mfuko wa TASAF kusaidia Kaya na watu masikini.
Mpaka serikali itakaposema ni kweli ni Watanzania ,nitarudi tena kwako kusema sorry nilipotoka. Kama pesa zao zipo na hawakupata mpaka wakaamua kuondoka kwenda kuomba zitafutwe zijulikane zilikwenda wapi na watu wachukuliwe hatua kali. Uzuri sisi hatulei ujinga siku hizi.
Ushabadilisha gear 😂 😂
Stop being irrelevant! Konza City is not in Nairobi bongolala
hawa jamaa wanaingia kenya soil watakavyo
Kitu kimepiga mzinga kwenye expressway ya mchina
Mchina kama kawaida yake ataoverprice ukaratabat hapo
Huyu journalist anasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3 billion in 2019.
Hii site inasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3.4 billion in 2020.
![]()
The Observatory of Economic Complexity
The world's leading data visualization tool for international trade data.oec.world
Sasa swali ni je hizi gold zinatokea wapi kwa maana Uganda kwa sasa hawana gold mines kubwa? Hizi gold zitakuwa zinatokea DRC. Uganda wamediscover gold mining site yenye gold ores worth $12 trillion in western Uganda juzi lakini bado hawajaanza kuichimba. Sasa sijui kwa nini Mungu katusahau sisi Kenya kwenye suala la madini. Yaani kabisa Kenya hatuna madini, isipokuwa titanium ambayo inakwisha next year. Soda ash tunayo lakini haina thamani. Anyway, DRC, Uganda na Tanzania nyote mna dhahabu kwa wingi chini ya ardhi lakini bado nyote ni masikini kutushinda. Hapo ndio kuna kizungumkuti. Mungu hawezi kupatia kila kitu.
www.sudanspost.com
msumbiji huko wamejuta kuna kamanda wangu yupo kule alipostia video aisee JWTZ ni nuksi yaani walikuwa wanawatwanga nakuwachinja waasi kutoka msumbiji kama kuku na wamewalaza kama kuni..Yani wanafanya kama kwao, wakati bongo ukienda huko mtwara kwenye buffer zone alafu unatembea ovyo bila barua ya utumbulisho kutoka kwa mwenyekiti na mjumbe utaipata vizuri
Usiniambukize ushamba please, mimi napenda pori sana
Upotoshaji upi wakati ni kweli kuna omba omba wengi kutoka Tanzania wamejaa Nairobi wakiomba omba pesa barabarani.Ni sawa kabisa lakini hii theory yao tusiiache ipite hivi hivi lazima tuwajibu kiutu uzima waache huu ujinga. Wanatengeza vitu vya kijinga kuharibu image ya Taifa letu.
Watu wengi wanafuatilia hizi clip na kupata picha mbaya kwa kuonyesha kwamba watu wetu wana maisha magumu kiasi kwamba wanakimbilia Kenya kwenda kuomba omba.
Hii inaonyesha sisi tuna maisha magumu kuliko wao wakati siyo kweli..lazima tufanye kitu kukomesha huu upotoshaji.
Yani uko mtwara paskie tuu broo mm nawashanga wakenya wanawachekea alshababmsumbiji huko wamejuta kuna kamanda wangu yupo kule alipostia video aisee JWTZ ni nuksi yaani walikuwa wanawatwanga nakuwachinja waasi kutoka msumbiji kama kuku na wamewalaza kama kuni..
ni mwendo wa vyuma tu