Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Sasa kelele za nini kama si mnagombea interests zenu? Umewahi ona Tanzania ikilalamika Masai kuhamishwa huko Kunyaland? Mlipowatoa Mau forest tulipiga kelele?Sijawahi kuona nchi imejaa wajinga kama Tz , kila utoto wanaambiwa wanafuatafuata , hakuna mmasai wa narok Ako na ngombe Tz infact wao ndio wanaleta narok areas around Eminangio Forests towards Loita Plains. Huyu Ledama yeye anajishugulisha na dairy cows si izo takataka za nyama(sahiwal,borana etc)