7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Aiseee! Sasa mwisho wake ulikuwaje, alipona kweli??
Aiseee! Sasa mwisho wake ulikuwaje, alipona kweli??
[emoji849][emoji849][emoji849]Hii Kibera ni overrated sana, Kenya kuna ma slums makubwa zaidi ya Kibera sema tu Kibera ni famous kwa sababu watu wanakula mavi, the largest slums in the world as of 22/6/2022[emoji116][emoji116]View attachment 2268981
Ni video ya zaman hio.. South Africa.. simba aliuliwa kwa kupigwa risasi.. huyo mzungu wanasema ni mmliki wa hio parkAiseee! Sasa mwisho wake ulikuwaje, alipona kweli??
Yani nione wivu kwa kenya? Acha mawazo ya kishamba,hayo maneno dangananeni na waganda ndio levels zenu sio mimi mtoto wa KambarageHahaha sawa ,nitafanya kazi nitoke kwa hayo mabanda ya nguruwe,ila punguza uongo na wivu utakaa mchawi
Sasa si amekuonyesha simulator ya 737,mimi naona amekupiga uppercut[emoji1787]Umeonaee nmemkamata huyo pimbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
initialy thought hapa ni kanairo... this is an exclusion rare shot where darslam slightly looks like nairobi 👍🏽👍🏽 kongole kwa hii picha, maana hatujazoea kuona scenes kaa hizi, barabara na streetlighting kaa hizi bongo
Ohhh! Sawa maana nilidhani ni kwetu ingeleta image mbaya kwenye utalii wetu.Ni video ya zaman hio.. South Africa.. simba aliuliwa kwa kupigwa rosasi.. huyo mzungu wanasema ni mmliki wa hio park
![]()
British wildlife park owner mauled by lion in South Africa
Mike Hodge injured in jaw and neck after being attacked at Marakele animal sanctuarywww.theguardian.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa hapa Bongo hakuna picha kama hii, safi hivi bila make up waweza pata wapi Kanairo?Umenichekesha sana rafiki yangu dyfre.initialy thought hapa ni kanairo... this is an exclusion rare shot where darslam slightly looks like nairobi [emoji1417][emoji1417] kongole kwa hii picha
View attachment 2269041View attachment 2269042
Kipigo tulichowapiga this time ni kitakatifu, huoni wanaona uvivu hata ku share picha zao za tourists [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi hawaongelei kabisa kuhusu kuwa hub ya utalii na uwekezaji.
Sijui ndiyo wamesusa.
[emoji1787] [emoji14] [emoji23]