Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Kabisa mkuu, neema yaja Tanzania.Ulaya kipindi cha baridi ndio uwa wanatoka nje ya europe,hasa waskandanavia uwa ndio kipindi cha likizo kabisa,so tutegee kuanzia des hapo kuongezeka kwa watalii
Kazi imeanza. Waendelee hivi hivi hadi heshima itamalaki.Kimenuka sasa muongee vzr
Hii ni sawa na kusogeza huduma karibu na jamii. Mfano mtu ajenge frem za maduka, anatapata kodi, wale watakaopanga watauza bidhaa zenye uhitaji kwa wananchi, badala ya mtu kusafiri mwendo mrefu kufuata bidhaa atatumia muda mfupi. So ataokao muda na nauli ambao atautumia kufanya mambo mengine. Kwa hii naona uko sawa Tony254,labda kama nimeelewa vibaya.Kujenga malls pia ni part of kujenga uchumi. Malls ni part of retail sector ya Uchumi. Wajinga tu ndio wanadhani kwamba kujenga malls hakusaidii uchumi wa nchi. Hapo ndani ya malls kutakuwa na maduka 3,000 za wafanyibiashara wadogo wadogo. Sasa hii mall pia itasaidia wafanyibiashara wadogo. Pili kutakuwa na banks na supermarket ndani ya hio mall. Pengine kutakuwa na Safaricom shop, pengine hoteli, pengine bookshop, pengine duka ya kuuza simu, na kadhalika. Sasa hii mall unataka kudanganya watu kwamba haina maana yoyote kwa uchumi wa Kenya. Wewe mambo ya uchumi huwa imekishinda kabisa.
Hii ama kuna ingine?Huijui dar unaiona kwenye picha tu nakusihi endelea kubaki tu hapo mabandani kama mbwa au nguruwe wa kichaga
China inamheshimu sana huyu mzee. Bila shaka huko kwao anakumbukwa mno kwenye mioyo yao.
Ana tittle gani hapo Kenya. Siulizi kwa ushabiki kama utapenda kuniambia itakuwa poa maana simjui.
kama sio yeye China isinge-claim her rightful place at permanent member security council! Yeye ndiye aliye-mobilize Africa, central and South America, middle east na all non aligned members kuipitisha China na kuitimua Taiwan!China inamheshimu sana huyu mzee. Bila shaka huko kwao anakumbukwa mno kwenye mioyo yao.
Kweli mkuu lazima wamkumbuke sana.Tanzania tuna vichwa mahiri na wabobezi kwenye suala la diplomasia.kama sio yeye China isingekuwa permanent member security council
Umeelewa vizuri rafiki. Malls zina manufaa mengi tu kwa uchumi. Watu kama akina joto la jiwe ambao wanaidharau mall hawaelewi malls zina manufaa mengi kwa uchumi. Kimsingi hakuna tofauti kubwa kati ya mall na soko la kariokoo isipokuwa aina ya bidhaa zinazouzwa. Soko la Kariokoo kunauzwa matunda, mboga na mambo kama hayo ila kwenye mall utakuta kila kitu kinauzwa humo. Ukitaka bookshop utaipata humo, ukitaka hoteli utaipata humo, ukitaka kununua simu au laptop utaipata humo. In fact nchi za wazungu zimepunguza sana matumiza ya masoko yaani open air market na hata vyakula vinauzwa ndani ya malls na supermarkets. Kimsingi hakuna tofauti kubwa kati ya mall na soko kwa maana hata huko Uzunguni, matunda, mboga, samaki na nyama yanauzwa ndani ya mall. Sasa hata hakuna haja ya soko. Masoko mengi yamefungwa sana huko Uzunguni. Ya mwisho ni kwamba mall inaongeza value ya ardhi ya eneo iliyojengwa. Wakati mall inapojengwa mahali fulani, value ya shamba ya eneo hilo inaongezeka kishenzi.Hii ni sawa na kusogeza huduma karibu na jamii. Mfano mtu ajenge frem za maduka, anatapata kodi, wale watakaopanga watauza bidhaa zenye uhitaji kwa wananchi, badala ya mtu kusafiri mwendo mrefu kufuata bidhaa atatumia muda mfupi. So ataokao muda na nauli ambao atautumia kufanya mambo mengine. Kwa hii naona uko sawa Tony254,labda kama nimeelewa vibaya.
CEO wa Equity groupAna tittle gani hapo Kenya. Siulizi kwa ushabiki kama utapenda kuniambia itakuwa poa maana simjui.
Uzuri wa hizo ni kuwa zimejengwa kwa foundation,ukuta tofali,juu kuna paa,ina tiles ndani na gypsum kwa mbali....ila upande wa Nairobi mnaishi kwenye nyumba za mbwa au nguruwe kama hivi 👇👇Hii ama kuna ingine?View attachment 2268909
Kweli mkuu lazima wamkumbuke sana.Tanzania tuna vichwa mahiri na wabobezi kwenye suala la diplomasia.
What is equity bank launching in Rwanda?
Sasa mimi si criticise nyumba, nakuonyesha picha nimepiga mwenyewe nikiwa dar, mtu aishi kwa banda la nguruwe ama banda la farasi, ni kwa kupenda kwa mwenyezi mungu, ila we are all hustling to live better lives than we presently live,nimezunguka tz sana mimi si kama wewe naokota mapicha onlineUzuri wa hizo ni kuwa zimejengwa kwa foundation,ukuta tofali,juu kuna paa,ina tiles ndani na gypsum kwa mbali....ila upande wa Nairobi mnaishi kwenye nyumba za mbwa au nguruwe kama hivi [emoji116][emoji116]
pole sana ila nakusihi fanya kazi kwa bidii ili utoke humo mabandani,hiyo sio sehem ya kuishi binadamu mnatuaibisha sana Waafrika yaani tunaonekana kama vile sisi ni wanyama sio binadamuSasa mimi si criticise nyumba, nakuonyesha picha nimepiga mwenyewe nikiwa dar, mtu aishi kwa banda la nguruwe ama banda la farasi, ni kwa kupenda kwa mwenyezi mungu, ila we are all hustling to live better lives than we presently live,nimezunguka tz sana mimi si k